Baadhi ya Viongozi waliokufa vifo tata

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
1,267
2,519
1. Dr. Omary Ali Juma
Huyu alikuwa ni Makamu wa Rais katika Serikali ya Rais Benjamin Mkapa. Alienda kufungua maonyeshi ya sabasaba akiwa na Rais Kabila wa Kongo, kesho yake tukapata tanzia.

2. Benjamin Mkapa
Rais wa awamu ya tatu, jioni moja ya mwezi july mwaka 2020 ikiwa imebaki miezi michache kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 tulitangaziwa kifo chake cha kushtusha. Maswali yakawa mengi

3. Edward Sokoine
Waziri Mkuu mzalendo pengine kuwahi kutokea. Alifariki katika ajali ya gari huko Dumila. Mpaka leo watu wanajiuliza gari ya Dumisan Dube iliwezaje kuifikia gari ya Sokoine?

4. Horace Kolimba
Alikuwa ni katibu mkuu wa ccm, akateleza kwakusema ccm imepoteza dira. Akaitwa Kizota Dodoma kujieleza mbele ya CC ya CCM baada ya kumalizia kuongea akadondoka na kufariki dunia.

5. Mchungaji Christopher Mtikila
Mwenyekiti wa chama cha DP, zikiwa zimebaki siki chache kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2015 alipata ajali huku mkanda wake ukikutwa shingoni mwake.

Itaendeleaaaa....
 
Kuongezea mchungaji Mtikila alikuwa ameshashinda au upepo ulikuwa unaelekea kwenye ushindi katika kesi yake ya kikatiba juu ya mgombea binafsi.

Dr Omary, kwa story niliyoipata, siasa ni mchezo mchafu all the time.
 
Back
Top Bottom