kinana

 1. T

  Elections 2020 Kinana na Membe 2020 wanaitosha CHADEMA

  Tetesi kitaa zinasema, wale maswahiba wakubwa wa JK enzi zake, Abdulrahman Kinana a.k.a. Mzee wa Tembo, na Bernard Membe a.k.a Jasusi, wanaungana nguvu kuchapisha tiketi yao ya kupeperusha bendera ya CHADEMA 2020. Msidhani msigwa kakurupuka kuanza kumsafisha Kinana. Chadema wamejifunza toka...
 2. Chachu Ombara

  Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi

  Natoa tamko la kumuomba radhi Abdulrahman Kinana, ikumbukwe nilikuwa na kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania iliyofunguliwa na Kinana kutokana na matamshi niliyowahi kuyatoa kumuhusisha na ujangili. Ninakiri tuhuma hizo hazikuwa za kweli wala ushahidi wowote, bali zilikuwa na malengo potofu ya...
 3. J

  Kinana kutoka kuwaita Mawaziri ni mizigo hadi yeye mwenyewe kuwa mzigo, hakika siasa za CCM hazitabiriki

  Ama kwa hakika CCM ni chama kikubwa chenye demokrasia pana tofauti na Chadema. Awamu iliyopita akiwa Katibu mkuu wa CCM mzee Kinana alinukuliwa mara kadhaa akiwaita mawaziri wa serikali yake kuwa ni mizigo lakini leo yeye ndio amegeuka kuwa mzigo mbele ya Wasomi wanaokiongoza chama kwa sasa...
 4. Synthesizer

  Swali kwa CCM: Ikiwa "makosa" ya Membe, Makamba na Kinana yalihumhusu Magufuli, ilikuwa sahihi kwa Magufuli kuwa Mwenyekiti wa Kamati iliyowaadhibu?

  Ninaamini CCM wanauelewa msemo kwamba kesi ya kima huwezi kupeleka kwa nyani. Hakutakuwa na haki katika hukumu. Vivyohivyo, Watanzania wote wanaelewa kwamba tuhuma za CCM dhidi ya Membe, Makamba na Kinana kwa namna kubwa zilikuwa zinamhusu Magufuli. Membe siku zote ameonwa kuwa mpinzani na...
 5. Roving Journalist

  CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema kuwa Membe aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Tanzania amefukuzwa ndani ya chama hicho Amesema uamuzi huo umekuja baada ya taarifa zake ndani ya chama kuonesha mwenendo wake kutoka mwaka 2014 kuwa amewahi kupata...
 6. J

  Dr Bashiru: Ripoti ya Makamba, Kinana na Membe iko tayari na itawasilishwa kwa kamati kuu kwa maamuzi wiki hii

  Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema ripoti ya Makamba, Kinana na Membe iko tayari na itawasilishwa mbele ya kamati kuu ya CCM wiki hii tayari kwa kufanyiwa maamuzi. Kadhalika Dr Bashiru amesema swala la katiba mpya ni la mchakato wa muda mrefu na siyo la wiki moja kama wenye tamaa ya kwenda...
 7. Boniphace Kichonge

  Lumumba, Dar: Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM imetoa siku 7 kwa Kamati yake ndogo kuwasilisha taarifa ya mahojiano ya Membe, Makamba na Kinana

  Wadau, Kamati Kuu ya Halmashauri ya Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi inakutana leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli akipokelewa na Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally Makamu...
 8. Erythrocyte

  Video: Busara za Mzee Kinana zilivyogusa hisia za wasikilizaji

  Kuna msemo wa Kiswahili unaodai kwamba Wazee ni hazina, ama unaweza kusema Mkubwa dawa.
 9. Synthesizer

  CCM semeni ukweli: Kinana na Makamba wameipuuza Kamati ya Maadili Dodoma wakaenda kuonana na Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM hapa Dar

  Kuna mambo kadhaa ambayo CCM wanataka kutuchanganya hapa. Lakini kama usemi unavyoenda - you can fool some people sometimes but not all the people all the time. Je, Kinana na Makamba wameonana na Kamati ya Maadili ya CCM au wamekutana na Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM? Tunaelewa...
 10. Fiziolojia

  Lumumba, Dar: Mzee Kinana na Mzee Makamba waitikia wito Kamati ya Maadili ya CCM

  Kuna habari zinazosemekana kuwa mzee Makamba na Abdulrahman Kinana (makatibu wakuu wa zamani CCM) wanaweza kuhojiwa na kamati ya maadili CCM leo hii jumatatu ya tarehe 10 February, 2020. Hii ni baada ya wazee hao wakongwe wa chama hicho kuwachomesha mahindi wajumbe wa kamati ya maadili kwa siku...
 11. H

  Tetesi: Ansbert Ngurumo: Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba, wamejivua uanachama wa CCM

  Kinana, Makamba wajivua uanachama CCM Ansbert Ngurumo8th February 20200 Comments MAKATIBU wakuu wastaafu wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba, wamejivua uanachama wa chama hicho. Habari zilizoifikia SAUTI KUBWA zinasema Kinana na Makamba walijiondoa rasmi...
 12. J

  Wanajeshi wana maamuzi magumu hasa nikimkumbuka Kapteni Lowassa na sasa Kanali Kinana na Luteni Makamba

  Mara nyingi niwaonapo wazee hawa huwa naikumbuka vita ya Kagera iliyomng'oa dikteta nduli fashisti Iddi Amini Dada pale Uganda. Wakati huo nilikuwa nafanya kazi pale TRC Mwanza station......hakika niliwashuhudia wapiganaji wetu WAZALENDO wengi wakielekea vitani. Nasi tulitoa kila aina ya msaada...
 13. Mystery

  Ni sababu zipi zilizowafanya makatibu wakuu wastaafu wa CCM, Kinana na Makamba wagomee mwito wa kuhojiwa na kamati ya maadili ya CCM?

  Jana tarehe 8/2/2020 ndiyo ilikuwa siku tuliyotangaziwa kuwa makatibu wakuu wastaafu wa CCM, Abdrahman Kinana na Yusuph Makamba, watafika mbele ya Kamati ya maadili ya CCM, kuwahoji kwa vitendo vyao vinavyodaiwa kuwa ni kukiuka maadili ya Chama chao cha CCM Umma wa watanzania walikuwa wametega...
 14. H

  Ansbert Ngurumo: Kinana, Makamba, wajivua uanachama CCM

  Kinana, Makamba wajivua uanachama CCM Ansbert Ngurumo8th February 20200 Comments MAKATIBU wakuu wastaafu wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba, wamejivua uanachama wa chama hicho. Habari zilizoifikia SAUTI KUBWA zinasema Kinana na Makamba walijiondoa rasmi...
 15. G Sam

  Tetesi: Kinana agoma kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM

  Wakati Membe akitamba kuwa alienda mbele ya kamati ya maadili ya CCM kuwafunda na kuwaelimisha kuhusu mambo mbalimbali, Kinana amegoma kufika mbele ya kamati hiyo. Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, Kinana ameona ni kama kudharauliwa kwa kuitwa kuhojiwa mambo ambayo kimsingi ni malalamiko...
 16. Synthesizer

  CCM mnafikia hatua ya kuwafikisha Kinana, Makamba kamati ya Nidhamu? Hakika huko mnakoenda mwisho wake sio mzuri

  Nimeangalia sana mwenendo wa CCM ya leo na viongozi ambao wana historia nzito sana katika CCM na Tanzania kwa ujumla, na kufikia muafaka kwamba safari ya CCM kwenda huko wanakojua wenyewe mwisho wake sio mzuri. Tangu uongozi wa CCM ya sasa uingie madarakani umekorofishana na karibu viongozi...
 17. Erythrocyte

  Barua za kuwaita Kinana, Membe na Makamba zaota mbawa, Mikono ya Bashiru Ally yatetemeka kila akishika kalamu

  Hii ndio habari mpya kwa sasa, kwamba barua za kuwaita wastaafu ili wahojiwe kwenye vikao vya chama chao mpaka leo hazijaandaliwa baada ya Katibu Mkuu wa ccm ndugu Bashiru Ally kukumbwa na " Kindengu ndengu " watu wa Nyasa wanaita hali hii kama kutetemeka mikono kunakoweza kusababisha mhusika...
 18. idawa

  Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

  Chama cha Mapindizi CCM kimeridhia kwa kauli moja kuwasamehe Nape, January Makamba na Ngeleje hata hivyo wamepewa onyo kali wasirudie tena kosa hilo. Hata hivyo kimeagiza kwa kauli moja kuhojiwa kwa Makatibu wakuu wastaafu Kinana na Makamba pamoja na Waziri wa Zamani Ndugu Bernard Membe...
 19. T2015CCM

  Ukweli mchungu kuhusu KINANA

  Ni mtu asiyejali au mpuuzi asiyezijua vyema siasa za Tanzania anayeweza akasimama na kuudharau uteuzi uliofanywa na Rais Kikwete ambaye baada ya kushindwa mara kadhaa hatimaye amefanikiwa kumshawishi, mmoja wa wanasiasa makini na wakongwe, mtumishi wa umma wa muda mrefu, mwanadiplomasia na...
Top Bottom