Ingawa vifo humhuzunisha yeyote ila vinapishana viwango vya huzuni. Kwa mfano huzuni ya kufiwa na mama haiwezi kuwa sawa na huzuni ya kufiwa na girlfriend. Sasa hawa nitakaowataja kwenye huu uzi walikuwa watu maarufu ambao sikuwa na ukaribu nao wowote ila vifo vyao vilinifanya nihuzunike kama...
Amitabh Bachchan (mwigizaji gwiji nchini India) aliwahi kusema:
"Katika kilele cha kazi yangu, wakati fulani nilikuwa nikisafiri kwa ndege. Abiria mmoja karibu yangu alikuwa bwana mzee aliyevaa shati ya kawaida sana na suruali. Alionekana kuwa mtu wa kawaida na mwenye kipato cha kawaida sana...
Sijui ilikuaje bongo mabilionea uchwara na wababaishaji wakafahamika na kuwa maarufu zaidi kuliko bilionea halisi.
Hapa bongo mabilionea wanaofahamika kutoka Zimbabwe ni matepeli tu kama Ginimbi, Chivayo na baba yake Tony Kapola, Uebert Angel ila Zimbabwe ina bilionea wa kweli usiyiweza...
Tunaomba mtupazie sauti sisi wakazi wa Pwani, Wilaya ya Mkuranga, eneo la Mipeko maarufu kama Msikiti wa Kipati, kutokana na tatizo la umeme hafifu (Low Voltage ya takriban 133V).
Tumeshatoa taarifa mara kadhaa TANESCO, na tuliambiwa kuwa inahitajika kufungwa transformer mpya kutokana na...
Anonymous
Thread
low voltage
maarufu
maeneo
mdogo
msikiti
sana
sauti
umeme
wakazi
Hivi Mbeya, Mwanza, Arusha, Tanga, Dodoma na Morogoro hakufai kuishi watu maarufu ?
Ukifuatilia umbea wote nchi hii wa wanaonekana watu maarufu hasa wa mitandaoni ni Dar tu!
M-Pesa attendant mmoja Garissa alidhani anasaidiwa kufanya line upgrade. Dakika chache baadaye, line yake ilikuwa imeswap na fedha zikahamishwa kwenda account nyingine.
Polisi sasa wamemkamata Edwin Mugoi, ambaye DCI inamtuhumu kujifanya Safaricom agent na kuwalenga M-Pesa attendants katika...
Ukiachana na Wamasai ambao wapo Kenya na Tanzania.
Wachagga ndio Kabila pekee ambalo lipo Tanzania tu lilotokea kwenye hii list.
Cha kushangaza Wachagga sio wanaongoza kwa idadi ya watu hapa Tanzania kama ilivyo kwa nchi nyingine nyingi ambazo makabila yaliyotokea ndio yanaongoza kwa wingi...
Hii habari ni moto sana! Kila mtu anapaswa kuisoma mwanzo mpaka mwisho.
Kweli Mungu anawapenda watu wote. Amebadilisha maisha ya Mtengeneza Maudhui(Youtuber) maarufu mwenye umri wa miaka 30, aliyejizolea mamilioni ya Subscribers kwa video zake za comedy, muziki, boxing na survival challenges...
Mfano mdogo kipindi kabla mondi hajatoka alipenda kuitwa domo Kaya..
Ila baada ya kutoboa tu akageuka kuwa mtu wa kupendwa na kutamaniwa na wanawake?
Je mtu maarufu, hata kwa ujinga kwa nini hugeuka kuwa crush kwa mademu?
Swali la kizushi tu.
Wanawake wangekuja kusema ili tuone, je ni nini...
Katika kufuatilia kesi hii ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu, kumetokea kauli nyingi ambazo zinaweza kusimama zenyewe kama zenyewe.
Uzi huu ni wa kukusanya kauli hizi. Kama umefuatilia kesi hii toka mwanzo, tusaidiane katika kushare katika uzi huu.
Mfano, wakati John Mnyika anahojiwa siku...
Katika maisha nimekuja kugundua we know exactly who we are, we just try not to act soo
Mimi de Gunner nimekuwa nikiwaambia watu since nikiwa mdogo kabisa ya kuwa am gonna be known worldwide like mtu maarufu na aliecha a big impact but these mediocres Wanaishia kuongea faul words juu yangu...
Ni stress kwa kweli...
late night calls maana ndo katoka kwenye mambo yao
A lot of Dm za mabinti
duhh am going to ruin this tooo...
Siwezi kwa kweli how unaweza dili na mtu wa namna hii
Kwa kile kinacho onekana kuendelea kukomoa raia yeyote anae enda kinyuma na usawa na haki , Mhimili wa Dola , Mahakama na Polisi wameamua kufungulia kesi za Ugaidi wote watakaoisema serikali ya Samia vibaya. Huku Jeshi la Polisi likiwa kinara kupin point anaefuata wa kupewa kesi ya Ugaidi jambo...
Kwa level niliyo ifikia Itoshe kusema mimi ni mtu maarufu zaidi katika hili jukwaa kwa sasa
Mimi ni kama maji tu usipo yanywa utaya oga, siogopi kitu chochote..
Nimesha vuka fear, ni naweza kuhandle presha na maneno ya watu, hakuna anyeweza kuni challenge na kunitoa mchezoni.
Siongei haya...
Karibu mwenetu wa faida kutoka kwenye ban , ila sijajua kosa lako , ila siwalaumu mods , seran karibu sasa sisi wafuasi wako ,tuna kukubali kinouma 🤗
Seran ,She carries the weight of the world without asking for sympathy.
Hauna haki ya kuwa chawa ni kujikosesha heshima tu, hamlipwi mnashinikizwa sababu mnafahamika.
mtu kama Pascal Mayalla Robert Heriel Mtibeli n.k
Ni case study hawana namna .
kama mimi nilivyoenda ikulu nikakuta darasa la viongozi yule mama anawafundisha yeye ni mwema na alivyoniona mgeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.