wema

Wema Bank Plc, commonly known as Wema Bank, is a Nigerian commercial bank. It is licensed by the Central Bank of Nigeria; the regulator of the nation's banking sector. As of 2019, Wema bank operates the largest digital banking system in Nigeria, ALAT By Wema, which is fully in use in all of the nation's thirty seven states and territory. Wema Bank is the fastest growing commercial bank in Nigeria.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Msaada Mwema Uliokaribia Kuniponza

    Eehe bhana eeh, kabla weekend haijaisha na kuingia kwenye hekaheka za wiki nyingine kusaka ugali, acha niwaachie kisa hiki. Majuzi nilipata mchongo mkoa A. Ni mkoa ambao nilikuwa sijawahi kuishi hapo kabla. Mitaa niliyopata nyumba ya kuishi (getto) kuna uki-sure (mijengo mikali) fulani hivi. Ni...
  2. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu: “Siwezi kutoa msaada kwa Mtanzania yeyote, labda watoto yatima tu”

    Mgogoro mpya wa kijamii umeibuka mtandaoni leo baada ya msanii na mwanamitindo maarufu nchini, Wema Sepetu, kuweka wazi msimamo wake wa kutotoa msaada wowote kwa Mtanzania yeyote wa kawaida. Mjadala huo uliwashwa upya kwenye mtandao wa Instagram mara baada ya Wema kupakia video akiwa na...
  3. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu: Sijawahi ku-cheat maishani mwangu, ni kitu kinachochosha sana

    Muigizaji na mfanyabiashara mashuhuri nchini Tanzania, Wema Sepetu, amezua mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuweka wazi kuwa hajawahi kusaliti mpenzi wake yeyote tangu anaanza mahusiano ya kimapenzi. Wema alibainisha ukweli huo Alhamisi kupitia ujumbe mfupi aliochapisha kwenye...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wabaya wanadumu na wema wanakufa?

    Wakuu, Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini watu wabaya wanaotesa watu wanaobakaza raia kwanini huishi muda mwingi na hata ukiwaombea mabaya wanaendelea kuishi na kustawi? Nawasilisha
  5. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Wema unalipa

    Mzee Walter Swords (89), ambaye alikuwa mwanajeshi mstaafu wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia, alikuwa akila kwenye mgahawa huo kila siku. Alikuwa na tabia ngumu, akifoka, kutukana, na kutaka chakula chake kiwe cha moto sana. Wafanyakazi wote walimkimbia. Muhudumu mmoja wa kike aitwaye Melina...
  6. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Aunt Ezekiel: Zuchu kajifungua kwa upasuaji kama Wema, leo hii anakata mauno na hamsemi

    "huyu zuchu kajifungua Kwa Upasuaji kama Wema, Leo hii anakata mauno na watu hawaulizi kuhusu mshono, ila Kwa Wema kipindi kile kucheza tu na kupokea Wageni watu walikuwa wakiongea sana mara oooh hakuna aliye jifungua hapo, mara kaiba Mtoto. Leo niwaulize kwanini Kwa Zuchu hamuongei, hivi Wema...
  7. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wema, Zuchu, na Maua Sama, Ciara yeye atarajia mtoto wa tano

    Baada ya mastaa wa Bongo, Wema Sepetu, Zuchu, Maua Sama kupata watoto hivi karibuni, mwimbaji wa Marekani, Ciara (40) na mumewe Russell Wilson wanatarajia mtoto mwingine, ikiwa ni mtoto wa tano kwa mwimbaji huyo na wa nne katika ndoa yao. Ciara ametangaza habari hizi njema siku ya jana Jumapili...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Raia wema wote wako salama Tanzania, isipokuwa wahalifu na wakiuka sheria

    Ni muhimu kwa wananchi na waTanzania wote kujitenga na matukio au magenge ya kihalifu, lakini pia kujiepusha kabisa katika kukiuka sheria za nchi na vitendo vya uvunjifu wa amani. Ni vizuri kutii sheria bila shuruti na kuishi na watu vizuri na kwa upendo na amani. Hii itasaidia sana kila moja...
  9. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa msanii Maua Sama wazua gumzo, mimba iheshimiwe, Wema ana mwili mzuri hata akunenepa uso

    Ukimuona Maua Sama sasa hivi huwezi hata kuaminisha yani kabadilika sura ilivo Pana ukikutana nae njiani unampita asee. Maua na Zuchu hatari SANA, wamenenepa sana, kwenye ujauzito ilihali Wema yeye alikua kawaida tu, hizi picha ni kabla na baada ya ujauzito.
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vita ya Wema na Haki inahitaji Subira. Mikazo na kutokukata tamaa

    Habari za Sabato! Leo nilikuwa napitia hapa kitabu cha Asheri(Jasher). Nikaona kisa cha Waisrael kuwa utumwani kwa zaidi ya miaka 400 huko Misri. Kisa hicho kwa sehemu kubwa ni simulizi ya kisiasa lakini yenye mchanganyiko na Imani ya Miungu. Kupitia kisa hicho, moja yamambo niliyoyaona ni...
  11. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu atangaza kuwa single mother

    Staa wa filamu na mrembo maarufu Tanzania, Wema Sepetu, ameibua mjadala mkubwa baada ya kuandika ujumbe mzito kwenye akaunti yake ya Snapchat ambao umeonekana kama kutangaza rasmi kwamba kwa sasa anaendelea na maisha kama single mother. Kupitia Snapchat yake, Wema ameandika: “Being a single...
  12. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Usikute Wema na Whozu walinunua mtoto kwa mkataba wa mzazi kutojihusisha na chochote kuhusu mtoto.

    Nitakuwa wa mwisho kuamini hapa duniani kama huyu Olie ni mtoto wa Wema na Whozu . Ninadhani kuna uwezekano mkubwa huyu mtoto amenunuliwa kwa pesa ndefu sana huku siri ikibaki baina ya wazazi, medical personnels na wazazi wa kambo yani Wema na Whozu. Huenda kuna kiapo cha maandishi cha...
  13. Vien

    JamiiForums Tanzania Anachofanyiwa coy mzungu na comedian aliowapa nafasi kwenye platform yake ni ishara ya tenda wema nenda zako

    Wengi wetu tunamfahamu Coy Mzungu, CEO wa Cheka Tuu. Tukirudi nyuma kwenye historia ya stand-up comedy Tanzania, record zinaonyesha kuwa marehemu MC Pilipili alikuwa miongoni mwa waanzilishi muhimu wa stand-up comedy nchini. Lakini ni Coy ambaye alikuja kuipa industry hii nguvu mpya kupitia...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Huyu ni Wema Sepetu?

    Watu wanabadilika sana huwezi amini kama huyu ndo wema sepetu.
  15. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu ampa onyo kali Juma Lokole kuhusu Mume wake

    Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amempa onyo kali Juma Lokole akitaka aache kumzungumzia vibaya baba mtoto wake, Whozu, akidai tabia hiyo imeanza muda mrefu. "Heshima ni kitu cha bure sana kwenye maisha ya kila binadamu. Kuna jambo linanikwaza sana, na nimekuwa nikiliona mara kwa mara kwako Juma...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Sinza Mapambano tunaoishi karibu na Mama Wema Sepetu tunasumbuliwa na kelele za muziki nyakati za usiku

    Habari wana jamvi, Sisi wakazi wa Sinza Mapambano, wanaoishi jirani na nyumbani kwa mama mzazi wa Wema Sepetu, tunapitia changamoto kubwa kutokana na kelele za muziki unaopigwa usiku kucha katika sherehe inayofanyika eneo hilo. Kwa mujibu wa taarifa tulizonazo, Wema Sepetu amefanya sherehe ya...
  17. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Kwa wema Gani ulio nao mpaka ukatae kutumia uchawi

    Mijitu mingine hovyo kabisa "utalisikia Mimi siamini katika uchawi". Wakati huohuo linachuki dhidi ya wenzake, lisengenyaji, kahaba lakiume/ lakike, tapeli , jizi , linafiki na lioga likubwa. Ndio manaa binafsi sinaga huruma na ngozi nyeusi wenzangu, hususani wabongo , yaani ukijaa kwenye mfumo...
  18. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mtu atatoa milioni 5 kumuona mtoto wa wema kwanini mimi nae mhonga alfu 20 mwajuma wa mikorochini naonekana boya?

    Na mwajuma mwenyewe ana makebo furushi, ebu acheni nyieee.
  19. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tarehe 23 July 2026 Kuna Wapuuzi watalipa Tsh. Million 5 kumuona mtoto wa Wema Sepetu!

    Kwamba tar 23, ndio 40 ya dogo. Sasa maza kageuza mtaji kwa kuchaji laki 1, 3, 5 na Mil 5 kumuona bwana mdogo. Watu mna hela za mchezo.
  20. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Kubababake! Ujerumani hatuna matani hata kidogo! Lazima tuwafunge

    Ujerumani hatuna matani hata kidogo! Lazima tuwafunge hawa wapuuzi hata kama dakika zinebaki chache. Tumewaachia kidogo tu wameshaleta mazoea! Huruma wala si malezi.
Back
Top Bottom