kubwa

 1. Chizi Maarifa

  Hili ni Somo kubwa nililojifunza kuhusu Corona. Litatusaidia kwa magonjwa mengine pia

  Corona ni pepo/jini tu linataka kutambulika na kuabudiwa. Linapenda sifa. Ukilidharau lina mind sana na kuona halina tena nafasi liliyotaka. Kipindi kile Corona tumeanza kuiabudu na kuiogopa ilitaka kuanza kutikisa.kumbe dawa yake ni ndogo sana ...kuidharau tu na kuendelea na maisha mengine...
 2. VUTA-NKUVUTE

  Mkoa wa Ruvuma: CCM bado ina nguvu kubwa; CHADEMA yaimarika, CUF yafifia; ACT-Wazalendo yachomoza

  Ni matumaini yangu kuwa kichwa cha habari hii kinatoa tahmini ya jumla juu ya mkoa huu wa Ruvuma. Niko hapa kwa takribani juma moja katika kufanya tathmini binafsi ya kisiasa kuelekea Oktoba mwaka huu. Nimepita Songea na Mbinga; Nikaenda Tunduru na Namtumbo; nikasonga hadi Peramiho na sasa niko...
 3. Z

  UCHAMBUZI: Anguko kubwa kwa watu wote maarufu wanaodandia siasa za CCM wakati wa uchaguzi

  Mwaka huu wa 2020 kuna uchaguzi mkuu, kumekuwa na heka heka kila kona ya nchi, katika vyama mbali mbali watu wakipigana vikumbo kuomba kugombea nafasi mbali mbali, hususani viti vya ubunge. Kwa leo hapa nitajikita kuchambua heka heka hizo kwa nafasi ya ubunge hasa kwa chama cha mapinduzi (CCM)...
 4. dosama

  Mradi wa Stieglers: Mwarabu anaharibu mradi hana utaalamu wala ujuzi wa kujenga bwawa, italeta hasara kubwa kwa taifa na ubora hafifu

  Naongea kama mwananchi na kushauri kuwa kumwendekeza huyu mwarabu wa Egypt's ni hasara kwa taifa na uharibifu wa mradi na uasili wake wa stiegler's gorge unapotea kwa sababu zifuatazo. 1. Hawa waarabu wa Misri kutoka Elsewedy electric na Arab contractors kutoka Misri hawana utaalamu wowote wa...
 5. mwarobaini_

  Uchaguzi 2020 Upinzani kumsimamisha Membe: Kosa kubwa, usaliti na dhambi isiyosameheka

  Benard Membe ameweka wazi kuwa ikiwa vyama vya upinzani vitaungana na kumkubalia agombee ,basi yuko tayari kupeperusha bendera. Hili litakua kosa kubwa, usaliti wa hali ya juu na dhambi isiyo sameheka kwa sababu zifuatazo. 1. Kama ilivyokuwa kwa Lowasa, Benard Membe atakua amejiunga na...
 6. MK254

  Gatuzi/kaunti ya Murang'a yaanza ujenzi wa hospitali kubwa ukanda huu kwa ajili ya saratani - maendeleo kote Kenya, nje ya Nairobi

  Kila siku tunalisema hili, miji yote Kenya inapiga hatua za kimaendeleo utadhani wameingiwa na ukichaa fulani, yaani Nairobi inapigwa ushindani mkali sana. Construction of a specialized cancer and research hospital has kicked off in Murang’a County. The facility, estimated to be constructed...
 7. Freddie Matuja

  Rais Magufuli arejesha form kwa dakika 45 za kipindi cha pili, UVCCM mmepitwa na fursa kubwa dakika 45 za Kwanza

  (Ushauri wa JF Mods, tafadhali usichanganye mada. Haina maana kuitoa mada ya muandishi na kuichanganya na mada zigine. Hii sio mada ya taarifa bali ni mada fikirishi. Mods chonde chonde tusidhibiti fikra maadam hakuna utaratibu umekiukwa) Ndugu zangu wana JF, nimerudisha bandiko hili baada ya...
 8. J

  Uchaguzi 2020 Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

  Dkt. Magufuli ambaye ndiye Rais wa Tanzania leo atarudisha fomu ya maombi ya kugombea urais kupitia CCM kwenye makao makuu ya chama jijini Dodoma. === Updates: Rais Magufuli anarudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Makao Makuu ya chama, Dodoma. Hadi sasa ni...
 9. CARIFONIA

  Tanzania yazindua meli kubwa ya abiria katika ukanda huu wa Afrika

  Hatimaye Tanzania imefanya uzinduzi wa meli kubwa ya abiria Mv Mwanza hapa kazi tu, uzinduzi huu unarejesha safari za meli kati ya Mwanza na Bukoba baada ya miaka kadhaa kupita kufuatia ajali ya MV Bukoba kutokea, meli hii inasemekana ndio meli kubwa ya abiria Kusini mwa Jangwa la Sahara
 10. Mzukulu

  Kwa jinsi tulivyo na Dreamliners na Bombardiers za kutosha hadi zinabeba Samaki badala ya Abiria, kwa Tanzania nahisi ATCL imepata Faida Kubwa sana

  Shirika la Ndege la Kenya (KQ) limekadiria kupata Hasara ya Dola Milioni 100 katika Kipindi hiki cha janga la CORONA. Kwa jinsi Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) lilivyo na Ndege zake nyingi tu na zikibeba Sato na Sangara wakikaa Vitini nadhani Wamepata Faida. ======== Kenya Airways...
 11. YEHODAYA

  Baadhi ya fani zenye ajira kubwa Duniani: Wazazi somesheni watoto nje Degree za Cyber Security na Aeronautical Engineering

  Kuna degree Tanzania hamna ila zina soko sana duniani, vijana wa PCM zinawafaa. Wazazi, mkiwa na pesa na mkiwa na watoto wazuri waliofaulu vizuri PCM pelekeni Ulaya au Marekani wakasome degree za Cyber Security na Aeronautical Engineering. Ni baadhi ya hot cake degrees, dunia nzima inawataka.
 12. F

  Wizara ya Elimu izibadilishe shule za msingi za Serikali ziwe English Medium. Soko kubwa sana, Serikali ipate hela ya ada yanayovunwa na watu binafsi

  Habari wadau Naona kuna soko kubwa sana la wazazi wanaopenda watoto wao wasome English Medium. Nawashauri Serikali, kila wilaya nchii hii wawe na shule za msingi za Serikali za English Medium kama Olimpio na Diamond. Wazazi watashukuru sana na sana. Hizo pesa ambazo shule binafsi wanazivuna ni...
 13. Chizi Maarifa

  Mzee Hussen Kheri umeacha Darsa kubwa Ulimwenguni katika Mahusiano

  Ni miaka zaidi ya 30 nakufahamu mzee wewe wa kipekee kabisa katika suala la mahusiano.uliwahi sema hutogombania K hata iweje.kama mtu mwingine atakula K ya mkeo ukagundua wala si Issue ya kumind. Itaoshwa tu nawe utaendelea kula kwa wakati wake. Mzee kheri umefariki ukiacha Urithi Ulimwenguni...
 14. Zillionaire_tz

  INAUZWA Friji kubwa bei ya kutupwa

  Friji kubwa inauzwa,imetumika miezi 4 tu. Bei 650000/= Location Dodoma. Picha hizi apo chini #0624052205
 15. R

  Natafuta Kiwanja kilichoko mbele ya barabara kubwa (Budget-8m)/Goba/Bunju/Salasala/Madale nk)

  Habari . Natafuta kiwanja kuanzia maeneo ya Goba/Bunju/Salasala/madale nk ambacho kipo pembezoni mwa barabara kubwa. Kiwanja kinachofaa kwa kuweka biashara. Mwenye nacho ani DM. Shukrani.
 16. W

  Tunaomba zianzishwe kamati za maadili hospitali zote kubwa kama ilivyo Mloganzila

  Ni mara kwa mara tumekuwa tukiona malalamiko mengi ya wagonjwa mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu suala la maadili katika sekta hii ya afya; isitoshe mengi tumeyaona ya kusikitisha kama wenzetu wagonjwa wanvyotendewa na watendaji huko katika hospitali. Ni juzi tu nilikuwa Ocean...
 17. G Sam

  Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Akson afanya tena jambo kubwa lililomshinda Sugu kipindi chake chote cha ubunge, apongezwa kila kona

  Chini ya ufundi makini wa Dkt. Tulia Akson naambiwa kuwa huu mjengo upo katika hatua za mwisho. Fundi mkuu ni Tulia huku akiwa na wasaidizi kadhaa. Ama kwa hakika zaidi ni kuwa Mbeya mmempata mtu ambaye mara mojamoja atakuwa anatoka bungeni kuja kufyatua mijengo ya wapiga kura wake hapo Mbeya...
 18. YEHODAYA

  Je, wajua kuwa wanyama waweza kukupa taarifa kama kuna janga kubwa sana linakuja?

  Kila alichokiumba Mwenyezi Mungu kina kazi yake maalumu ambayo binadamu mara ingine kuijua yaweza chukua karne. Wanyama huwa wana uwezo wa kujua janga kubwa sana linapotaka kuja. Kwa mfano, kondoo kama kuna radi inataka kupiga chini, huwehuka na kuanza kukimbia huku na kule na kugonga miti kwa...
 19. WaHapahapa

  Picha na elimu kubwa

  Picha hii ni ya mwaka 2010, yaani miaka nane iliyopita. Wa tatu kwa waliokaa kutoka nyuma ni Kassim Majaliwa ambaye wakati huo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji. Majaliwa hakuwa hata mbunge wakati huo. Nyuma ya Majaliwa ni Prof Mark Mwandosya ambaye wakati huo alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya...
 20. miss zomboko

  Hali ya kutokuaminiana ni tishio kubwa kwa uhai wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

  NAIROBI, Kenya RAIS Uhuru Kenyatta wa Kenya, amesema kwamba bado anaunga mkono juhudi za kuimarisha Jumuiya ya Afrika Mashariki licha ya changamoto zilizopo na kukiri kuwa moja ya vizingiti vikubwa katika mchakato huo “ni hali ya kutoaminiana.” Kenyatta aliyasema hayo wakati ambapo nchi za...
Top Bottom