bar

The bar is a metric unit of pressure, but not part of the International System of Units (SI). It is defined as exactly equal to 100,000 Pa (100 kPa), or slightly less than the current average atmospheric pressure on Earth at sea level (approximately 1.013 bar). By the barometric formula, 1 bar is roughly the atmospheric pressure on Earth at an altitude of 111 metres at 15 °C.
The bar and the millibar were introduced by the Norwegian meteorologist Vilhelm Bjerknes, who was a founder of the modern practice of weather forecasting.The International Bureau of Weights and Measures (BIPM) lists the bar as one of the "non-SI units [that authors] should have the freedom to use", but has declined to include it among the "non-SI units accepted for use with the SI". The bar has been legally recognised in countries of the European Union since 2004. The US National Institute of Standards and Technology (NIST) deprecates its use except for "limited use in meteorology" and lists it as one of several units that "must not be introduced in fields where they are not presently used". The International Astronomical Union (IAU) also lists it under "Non-SI units and symbols whose continued use is deprecated".Units derived from the bar include the megabar (symbol: Mbar), kilobar (symbol: kbar), decibar (symbol: dbar), centibar (symbol: cbar), and millibar (symbol: mbar). The notation bar(g), though deprecated by various bodies, represents gauge pressure, i.e., pressure in bars above ambient or atmospheric pressure.

View More On Wikipedia.org
  1. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Je Alitop Sound bar SP - 1036 ni mzuri kulinganisha na Mr UK - 911A Subwoofer?

    Je soundbar inaweza kuja kuuwa soko la sabufa,? Je soundbar kama Alitop Sound bar SP - 1036 inaweza kuwa bora zaidi kulinganisha na sabufa za bei ya chini kama mr UK na Sean peano? Je ni wakati wa kubadilisha sabufa zote na tuanze kutumia soundbar? Je soundbar kama za 12000 wtt huwa zina...
  2. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu nilimtukana matusi ya nguoni tukiwa bar na nikiwa nimelewa, kanishtaki. Je, nina kesi ya kujibu?

    Mambo zenu wakuu Juzi jumapili nilikua bar flani mitaa ya tabata,sasa kuna mzee mmoja wa jumuia akaniletea pigo flani za kijinga na nilikua maji sio poa, nikamvaa na matusi ya nguoni Sasa jana kaenda kunishtaki police na mpelelezi wa kesi anafosi hiyo kesi iende mahakamani, wamenipa kesi ya...
  3. min -me

    JamiiForums Tanzania Asee bar kuna pisi kali mno

    Juzi kati , nipo zangu bar natia gambe , huku nikicheki game ya Manchester United, kupiga jicho nakutana na jicho la mtoto mkali kinouma. Halafu kwa makusudi kabisa akasimama akatoka kwenda maliwato , huku akinikata jicho nakutingisha makalio yake mazuri na malaini mno. Mwamba nikajikaza...
  4. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda “Ssenyonyi Demands Action as Over 800 LDC Bar Course Graduates Remain Locked Out of Practice”

    Leader of Opposition Joel Ssenyonyi has sounded the alarm over Uganda’s growing legal training crisis, highlighting that more than 800 graduates of the Law Development Centre’s (LDC) Bar Course remain stuck in an enrolment backlog, unable to join the Roll of Advocates despite completing their...
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kwanini unaenda bar na maeneo ya starehe?

    Mimi huwa naenda kwa ajili ya kusikiliza mziki wenye 'vibe' pamoja na kuosha macho kwa kuona warembo walivyopendeza. Hii inaniondolea msongo wa mawazo wa kimaisha na kuendelea kutamani kuishi zaidi na zaidi. Pia nakuwa sina muda wa kutembelea watu mbali mbali majumbani mwao, kwa sababu binadamu...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Lake zone Huu utaribu mmeiga wapi, pub, Bar Eti unalipia 10,000 unamtoa mhudumu

    Walevi Oyee, Wakeshaji Safi, CCM , CHADEMA, ACT CHAUMA OYEEE, Huku kwenye mabaa hamna mambo ya uchama. Sasa walevi , wale wa kukesha kwenye bar, Pub nilitembea mikoa ya kanda ya ziwa huko Kagera, mwanza, mara, kigoma, katavi , rukwa nilishangaa utaratibu wa bar za huko, Sasa sijui upande wa...
  7. Eva_Eva19900000

    JamiiForums Tanzania Looking for angel investors for bar business in Zanzibar

    We have an idea in which we open a bar with imported beer in Zanzibar. The bar will have a classy central European style, designed to deliver an unforgettable social experience in one of East Africa's most iconic tourist destinations. The bar will attract both international visitors and local...
  8. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Nikienda bar nadili na wale wafanya kazi wadogo wadogo

    SITAKI yule mmliki Elie kaunta, asije akaniambia sijui itabidi uninu ulie masofa niweke kwa jili ya wateja. Wale wafanyakazi wanalipwa elfu3/4 kwa siku, ukimuonyesha kibunda analoa hapohapo
  9. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Nini kinakifanya uende bar ukanywe

    Kwa upande wangu ni kutafuta 🍑 za vodafasta. Yani mkipata sehem yenye Giza tuu ni kubend then 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 Vipi wewe??
  10. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Nimechungulia Bar nikasema kwa sauti "Mkeo Anakuja" watu wametawanyika

    Shida ni nini ndugu zanguni😁 Nimechungulia hapa Bar nikatamka kwa sauti kuu na ya mshtuko, "Mkeo anakuja", watu wote wametawanyika kwa kasi ya 5G, wengine wametawanyika kwa kuyumba yumba, wengine mlalo na wengine wima Cha ajabu mpaka wanawake nao wametawanyika, sijui wameskia vibaya? Au labda...
  11. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Wenye Uzoefu na hii JBL BAR 1300MK2

    Wakuu niliikuta sehemu jamaa akaijaribu niliipenda sana nawauliza ni Chaka gani hapa Tanzania naweza kuipata JBL BAR 1300MK2 chini ya sh. 4M kwa kweli Mziki wake unaotoka humo niliupenda sana Full Specifications JBL Bar 1300XMK2-11.1.4 Channel Soundbar System With Detachable Surround...
  12. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa TID kufungua kesi kudai fidia ya 500ml kutoka Bar ya Kitambaa Cheupe kwa kumchafulia jina

    Mwanamuziki wa Bongofleva, T.I.D (Khalid Mohamed), kupitia ofisi ya mawakili wake wanaomsimamia masuala yake yote ya kisheria, ametoa notisi ya siku saba (7) akiidai Bar ya Kitambaa Cheupe, kupitia Mkurugenzi wake Jessica Kikumbi, kulipa fidia ya Sh500 milioni. Katika notisi hiyo, T.I.D pia...
  13. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki TID akamatwa kwa kushindwa kulipa bili Bar

    Mwanamuziki mkongwe wa Bongofleva, TID amekamatwa na kuwekwa ndani baada ya kushindwa kulipa bili ya vinywaji alivyokunywa na marafiki zake. Inaelezwa TID alitumia vinywaji vya takribani Sh500,000 katika bar ya Kitambaa Cheupe Tabata lakini ilipofikaa saa ya kulipa ikawa ugomvi.
  14. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Meya: Kwanini umeacha bar ya bambataa iendelee kufanya kazi na iko barabarani inahatarisha usalama wa walevi

    Kuna Bar inaitwa Bambataa iko barabarani kiasi kwamba walevi ndani wakijaa wengine wanasimama barabarani , nimefatilia kwa nini yenyewe haipo katika list ya Bar hatarishi nikaambiwa ni ya Kigogo mmoja ambae hawezi kuguswa na so called Meta wa jiji
  15. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kufungwa kwa baadhi ya bar kubwa Dar ni fursa ya kupanga upya jiji, si kuua biashara

    Hatua ya mamlaka kufunga baadhi ya bar zilizokuwa zikisababisha kelele na usumbufu kwa wakazi imezua mjadala mkubwa. Lengo halipaswi kuwa kupinga burudani, bali kutafuta namna bora ya kuifanya iendane na ustawi wa jiji. Kwa mtazamo wangu, badala ya kuruhusu kumbi kubwa za burudani kuendelea...
  16. venchwa

    JamiiForums Tanzania Kule Vietnam sasa nikakutana na wadada wawili ma nes kutoka Marekani, club inaitwa Blue bar

    Mwaka ule ule napata connection ya kisanga cha Mnyarwanda kabla ya hapo nawaleta kati Katika Uzi uliopita niliiongelea Vietbam nikasema itakuwa story ya siku ngingine Kifupi Vietnam nimeenda Mara mbili Moja ni awali kabla sijampata mnyarwanda Na ya pili nilimpeleka mnyarwanda aka pate kutoa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania KERO Bar ya G Seven Mwanza imekuwa ikipiga muziki usiku kucha Kwa sauti ya juu Jambo ambalo limekuwa ni kero Kwa wakazi

    Habari ,naomba kufichua uovu kuhusu Bar inayoitwa G Seven iliyopo mkoani Mwanza sehemu inaitwa Darajani Kata ya mkolani , Bar hiyo imekuwa ikipiga muziki usiku kucha Kwa sauti ya juu Jambo ambalo limekuwa ni kero Kwa wakazi wanaoishi maeneo Jirani, Jambo ambalo limekuwa likileta makelele na...
  18. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Mshahara ukitoka tu nakuwa na wenge na akili haitulii inawaza kwenda tu bar kunywa pombe

    Mambo vipi wakuu? Leo nimekuja na shida yangu kubwa ni ulevi uliopindukia wa pombe kali kuna muda hadi narudishwa nyumbani na watu maana nikianza kunywa tu naweza fululiza ata siku mbili na kula unakuta nashindwa,yaani nimejaribu kuacha nimeshindwa kuna kipindi nimewahi pia kuomba ushauri na...
  19. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Masaka Bar Shooting leaves a toddler Killed and two Injured

    Police in Masaka District are investigating the tragic circumstances under which a two-year-old boy was shot dead and two other people were injured during a violent altercation at a local bar. The incident occurred at a bar in Ndeeba-Lwagulwe Village, Kyesiiga Sub-County, when the local Officer...
Back
Top Bottom