ukraine

  1. Fbn

    Hivi kwa nini urusi kwa nchi za afrika zinashindwa kuishtaki kwa udanganyifu wa ajira wakapigane Ukraine.

    Malalamiko mengi na mashuuda wameeleza kuhusu urusi ilivyo wafikisha kwa udanganyifu wa ajira na mambo mengine mwisho wa siku wanajikuta kulazimishwa kupigana na ukrain. Cha kushangaza tumeona raisi feki kaenda huko na nyie JWTZ msipo kuwa makini mtapelekwa kwa lolote.
  2. kyaibumba

    Pamoja na vita maisha ya Ukraine yaendelea kawaida na wanakula bata zaidi ya Mwanamatumbi

    Juzi nilienda lviv japo ilikuwa naaminishwa kuwa wanaume wakiingia hawaruhusiwi kutoka, Lakin nimeingia nikatoka kawaida watu shughuli zao zinaendelea kawaida tu Ila maeneo ya Mashariki huko dnipro ! Khakive ndo kuna shida mizinga wanaisikia kawaida tumeruka music na mke wangu na familia then...
  3. K

    Current Status of Russia - Ukraine War (19 June 2026)

    The war remains active, with no ceasefire or peace agreement in place. Fighting continues along multiple fronts, while both sides increasingly rely on long-range drones and missile strikes. Battlefield Situation Russian forces continue offensive operations in eastern Ukraine, particularly...
  4. S

    Putin anazidi kudhalilishwa na makombora ya Ukraine na kuzidiwa; je atafanya kwa Ukraine kile USA walichofanya kwa Japan mwaka 1945 ili kushinda vita?

    Baada ya Ukraine kuruhusiwa kumpiga Mrusi ndani ya mipaka yake, Ukraine amejijengea uwezo mkubwa sana wa kutumia drone katika kuipiga Urusi anavyotaka kwa masafa marefu. Upigaji wa Ukraine kwa Urusi umekuwa wakisaikolojia sana - wakati wa mkutano wa kimataifa ambao hata raisi Samia...
  5. MakinikiA

    Watu wengi hawajui sababu kwa nini Russia kaivamia Ukraine ..

    © Getty Images; Adam Gault US Director of National Intelligence (DNI) Tulsi Gabbard has released new evidence that US-funded biological laboratories in Ukraine were researching dangerous pathogens. Washington previously denied any role in running these labs. Published on Friday, the...
  6. H

    Iran Yatangaza Maofisa Wake Wawili Kuuawa na Mashambulizi ya Israel

    Juzi Iran iliishambulia Israel ikidai ni kutokana na kitendo cha Israel kuendelea Kuwashambulia Hezbollah huko Lebanon. Baada ya shambulio la Iran nchini Israel, Rais Trump alimsihi Netanyahu asijibu mashambulizi ili mazungumzo ya kumaliza vita yasiharibike. Lakini Israel iliishambulia Iran...
  7. Dalton elijah

    KWELI Ukraine yashambulia mji ambao rais Samia atahudhuria mkutano wa uchumi na Putin huko st petersburg nchini urusi

    Kumekuwepo na chapisho ambalo limechapishwa kwenye mtandao wa instagram likiwa na nukuu ambayo inasema kuwa ukraine yashambulia mji ambao rais samia atahudhuria mkutano na putin huko st petersburg nchini urusi je uhalisia wa video hiyo ni upi ?
  8. F

    Ni uzembe au kutapatapa kama siyo kutengwa ziara ya Samia Urusi kupigwa mabomu na Ukraine?

    Akiwa nchini Urusi kwa ziada ya kikazi, rais Samia alijikuta katika mtanange ambapo mji wa St Peterburg ulishambuliwa na drone za Ukraine. Kwa kiongozi wa nchi, hii inaleta picha gani? Mbali na hilo, alivyokuwa akihangaika kusoma wakati akitoa salamu za kawaida ambazo hazikuhitaji maandishi...
  9. MakinikiA

    Baada ya Ukraine kupiga makazi ya wanafunzi ,Kiev yapondwa pondwa .

    Wameanza kulia kulia na kuweka vikao kujadili silaha iliyotumika used a powerful hypersonic Oreshnik ballistic missile in an overnight missile and drone attack on Kyiv, Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said on Sunday. Russia's army later confirmed it had used the missile. The EU's top...
  10. Echolima1

    Baada ya Ukraine kuzishambulia vinu vya kuchakata mafuta leo hii Russia nayo ya shambulio makazi ya Raia

    Urusi pia ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati ya Oreshnik yenye risasi za MIRV kuelekea eneo la Kiev, huku picha zikionyesha athari nyingi za kuingizwa tena karibu na Bila Tserkva kusini-magharibi mwa mji mkuu. Rais Volodymyr Zelenskyy na Ubalozi wa Marekani walikuwa wameonya saa chache...
  11. Echolima1

    Kiwanda cha Metafrax Chemicals katika eneo la Perm nchini Urusi chashambuliwa na Drones za Ukraine!!

    Ndege zisizo na rubani za Ukraine za masafa marefu zilishambulia kiwanda cha Metafrax Chemicals katika eneo la Perm nchini Urusi, takriban kilomita 1,700 kutoka mpaka wa Ukraine, katika mojawapo ya operesheni za ndege zisizo na rubani za Ukraine zilizoripotiwa kushambulia ndani zaidi eneo la...
  12. H

    Tutarajie Ukraine Kuwa Israel ya Ulaya?

    Ni jambo la kawaida kwa jamii ya watu walio sensitive na matukio, kuelekeza nguvu zao kwa matatizo yanayowazunguka. Hali hiyo, huifanya jamii inayojitambua kuibuka na tafiti na gunduzi mbalimbali. Mataifa kama Israel, kutokana na mazingira ya kuwepo kwenye vita za mara kwa mara, yameelekeza...
  13. H

    Kwa Uadilifu wa Warioba, Ikitamkwa Kuna Tume ya Kuchunguza Mauaji ya 29 OCt Itakayoongozwa na Warioba, Kelele za kutaka Tume ya Nje zitapungua Sana

    Siku zote, historia ya mtu, na anavyotenda siku zote, ndiyo hujenga mazingira ya mtu huyo kuaminika au kudharaulika. Ni jambo lililo wazi kuwa watu wengi, hasa waliopo Serikalini, hawaaminiki kutokana na kuonekana kuwa wapo kwaajili ya tamaa ya matumbo yao, hata siku moja hawapendi kuwa wakweli...
  14. DogoWaNjombe

    Rais Kim Jong Un awasifia wanajeshi 'waliojilipua' kuepuka kukamatwa na Ukraine

    Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amewapongeza wanajeshi wa wa nchi hiyo waliojitoa uhai kwa kujilipua wakati wakiipigania Urusi dhidi ya Ukraine, na kuthibitisha sera inayoshukiwa kwa muda mrefu kwenye uwanja wa vita. Katika hotuba yake wiki hii, kiongozi huyo wa Korea Kaskazini alisema wale...
  15. Echolima1

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky kwa kuruhusu nafaka zilizoibiwa na Russia kupelekwa Haifa-Israel

    Volodymyr Zelensky aliishutumu Israeli kwa kuruhusu nafaka "zilizoibwa" za Kiukreni kutoka maeneo yanayokaliwa na Urusi kuingia bandarini mwake, akionya kwamba Kyiv inaandaa vikwazo dhidi ya wale waliohusika. Kulingana na ripoti ya Haaretz, meli inayodaiwa kubeba nafaka kama hizo ilikuwa...
  16. Mi mi

    Urusi imeshindwa kuua viongozi wa kutosha wa Ukraine. Je, ni udhaifu wa jeshi la Urusi

    Je, Urusi kushindwa kuua viongozi wa nchi ya Ukraine wa kutosha kama wafanyavyo Israel na Marekani sasa kwa Iran ni udhaifu wa idara za ulinzi na usalama wa nchi ya Urusi ? Faida zipi Israel na Marekani wanapata kwa kuua viongozi wa Iran katika vita vyao ambazo Urusi ana zikosa kwa kutoua...
  17. City Of Lies

    Urusi haina mpango wa kuwarejesha Wakenya wanaopigana vita ya Ukraine

    Serikali ya Urusi imesema hakutakuwa na mpango wowote wa kuwarudisha nyumbani Wakenya wanaodaiwa kuhudumu katika jeshi la Urusi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Musalia Mudavadi na Waziri mwenzake wa Urusi Sergey Lavrov wamesema mataifa hayo mawili hayakuwa sehemu ya mikataba iliyotiwa saini na...
  18. W

    Ukraine yashambulia Kiwanda muhimu cha Vifaa vya makombora Nchini Urusi

    Vikosi vya Ukraine vimeshambulia kimoja kati ya "viwanda muhimu zaidi vya kijeshi" vya Urusi, kulingana na kauli ya Rais Volodymyr Zelensky. Jeshi la Ukraine lilisema kuwa makombora ya masafa marefu ya Uingereza aina ya Storm Shadow yalitumika kukishambulia kiwanda cha Kremniy El...
  19. 6 Pack

    Super Power aomba msaada wa kijeshi kutoka kwa Ukraine ili wasaidiane kupambana na Iran

    Niaje waungwa Hii habari ingeandikwa na Al Jazeera misukule ya Netanyahu ingesema ni uongo, lkn kwa bahati nzuri imeandikwa na gazeti lao wenyewe kupitia kauli halali ya raisi wa Ukraine Mr Zelensky. Inapofikia hatua ya super power kumuomba maiti sanda, au muuguzi kumuomba mgonjwa uji, basi...
  20. Sir John Deere

    Urusi angekubali Ukraine iikaribishe NATO yangemkuta ya Iran kashtukia mchezo

    Iran anapata tabu sasa kutokana na nchi za kiarabu kuiruhusu marekani na nchi za ulaya kuweka majeshi Yao katika ardhi ya nchi zao Nimetafakari kama urusi angeruhusu Ukraine kuwakaribisha Hawa jamaa hivi sasa tungekuwa tunaongea mengine. Heko Russia kwa kulitambua hilo na kutoa ONYO Kali kwa...
Back
Top Bottom