mtikila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mtikila (RIP) alikuwa na wazo zuri kuuchukua Mwenge na kwenda kuutupa katikati ya bahari

    Huwezi kuwa na lidubwana kama hili alafu ukasumbua watoto wa watu kutoka mashuleni kuanzia asubuhi hadi jioni hii. Hii imetokea Chato watoto wanachukuliwa mashuleni na kupelekwa Muungano kusubria Mwenge bila chakula na maji ya kunywa.
  2. Ambuje Akunnungu

    JamiiForums Tanzania Tanzania na kenya: Tofauti za kiuelewa kwa wananchi wa kawaida hadi kwa wanataaluma. Kumbukumbu ya gwiji mzee wangu MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA

    NIMEJIKUTA NAMKUMBUKA MCHUNGAJI MTIKILA. Binafsi nimefuatilia sana siasa za kenya kama kama ninavyofuatilia siasa za hapa nchini kwetu Tanzania. Ukweli ni kwamba nchi hizi mbili ni miliki ya jumuiya moja ya Africa mashariki na zina historia ya kiasi fulani ya utawala wa kingereza kama...
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi kama Christopher Mtikila angekuwa hai Samia na wenzake wangeyafanya haya?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Mtikila alijulikana alivyowatikisa watawala akiwamo Nyerere mwenyewe. Je, ahgekuwa hai, kweli haya mambo yangefanyika au kuishia hivi?
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Natamani mtanganyika Mtikila angekuwa hai ili siasa zinoge

    Sijui kama mwanangu Christopher Mtikila angekuwa hai hali ingekuwaje alivyokuwa haogopi na kuona mbali?
  5. Synonyms MP

    JamiiForums Tanzania DP- DEMOCRATIC PARTY ni Chama Kizuri Sana Cha Mtikila

    Kama CHADEMA mtakataa kuwa tawi la CCM basi DP (Chama Cha Demokrasia) kitawafaa sana au njooni CCM, Mbowe aendelee tu na SACCOS yake. Haya ndio majibizano kati ya Mwanachadema na MwanaCCM wakiwa njiani wakitembea kwa Miguu. Asanteni.
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Jambo TV afokewa vikali kisa kuliza swali tukio la kupigwa risasi Lissu

    Mwandishi wa Jambo TV amejikuta kwenye wakati mgumu alipokuwa akimuhoji Katibu Mkuu wa Chama cha DP Abdul Mluya, muda mfupi baada ya Mluya ambaye pia ni Mwenyekiti wa umoja wa vyama 13 vilivyotoa tamko la kupinga maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA kumaliza kuzungumza na wanahabari Septemba 17...
  7. proff g

    JamiiForums Tanzania Kiusalama Marehemu Mchungaji Mtikila alikuwa na cheo gani??

    Ukiisikiliza sauti katika video Kuna maneno mchungaji anayasema, Kwa cheo chako huna mamlaka ya kunikamata, akisisitiza Kwani we hujui?
  8. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Leo 4 October Mch. Mtikila ametimiza miaka Nane tangu atwaliwe

    Asubuhi ya Tarehe 4Th October 2015 zilisambaa taarifa za ajali na Kwamba ajali hio ilichukua uhai wa Mchungaji Christopher Mtikila. Angekuepo Leo hii tungekua tunaongea mengine kuhusu DP WORLD. Huyu Mzee Alikua Jeshi la MTU mmoja na mshauri Mkuu akiwa Mke wake. Wote waliwahi kufungwa.... alikua...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Sheria na Busara ni mapacha. Mchungaji Mtikila aliwahi kumwambia Rais Mwinyi ‘watamrudisha Zanzibar kwenye jeneza’, hakuitwa mhaini

    Enzi za utawala wa Mwinyi miaka ya 80, mwanasiasa machachari Joseph Mtikila alikuwa akimuita Rais Mwinyi ni ‘TX’ kutoka Zanzibar na aliwahi kumwambia arudi mwenyewe Zanzibar kabla hajarudishwa kwenye jeneza, hii ilikuwa kwenye mkutano wa hadhara viwanja vya Jangwani kwa waliokuwepo wakati huo...
  10. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Viongozi waliokufa vifo tata

    1. Dr. Omary Ali Juma Huyu alikuwa ni Makamu wa Rais katika Serikali ya Rais Benjamin Mkapa. Alienda kufungua maonyeshi ya sabasaba akiwa na Rais Kabila wa Kongo, kesho yake tukapata tanzia. 2. Benjamin Mkapa Rais wa awamu ya tatu, jioni moja ya mwezi july mwaka 2020 ikiwa imebaki miezi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu

    Majina mazito mazito haya ni kielelezo kamili cha wapigania haki wenye kutukuka. Nini kisimame mbele ya watu kama hao kuzuia haki kutamalaki? Nini thamani ya maisha ya awaye yote kama ukosefu wa haki ndiyo unaozidi kuota mizizi? Nini kimetupata watanzania sisi leo kutokuwa na kizazi cha...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi Kitabu cha Mwinyi: Sitawasahau Maalim Seif, Mrema na Mtikila katika utawala wangu

    Dar es Salaam. Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi ametaja baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani waliompa shida katika utawala wake akiwamo Katibu mkuu wa zamani wa CUF na baadaye mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad. Wengine ni Mwenyekiti wa TLP, Augustine...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi: Nilijilaumu kwa kuliachia Bunge hadi likapitisha hoja ya Serikali ya Tanganyika, Mtikila aliisumbua Serikali yangu

    Rais Mwinyi anasema alijutia namna alivyoliachia bunge hadi likafikia hatua ya kupiga kura na kuwaunga mkono kundi la wabunge waliojulikana kama G55 waliodai Serikali ya Tanganyika. Lakini hatimaye jambo hili lilienda kukwamishwa na vikao vikuu vya CCM na kutupiliwa mbali. Kadhalika Mwinyi...
  14. KING COBRA

    JamiiForums Tanzania Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

    Mtikila amesambaza Waraka unaomtuhumu Kagame Kusambaza Wanyaranda 35,000 katika Tz na ameitaka serikali kuchukua hatua!!! Ni jambo la Kushangaza Gvt inatumia Nguvu nyingi kulinda mpaka wa Malawi na Tanzania lakini Wamemwacha Kagame na Mseveni wakipenyeza Wanyarwanda 35,000 na wamehesabiwa...
Back
Top Bottom