Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.
Binafsi sioni kosa la Dudu baya
Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili
Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie?
BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani?
Kuna uwezekano hadi uko BASATA yamejipenyeza mabwabwa
Mashoga yamejipenyeza hadi serilini
Wafanya maamzi baadhi ni machoko
agenda
basata
chama
dhidi
dudu baya
dudubaya
hapo
hawajitambui
kichwani
migongo
mkono
nguvu
sehemu
tafakuri
trauma
ulinzi
ushoga
vitavita ya ushoga
wanachadema
watanzania
wenyewe
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwaambieni na Kuwakumbusheni Ya Kuwa Mwamba Mwenyewe Field Marshall Paul Makonda Hajawahi kushindwa vita yoyote ile katika vita zote alizowahi kupigana . Mwamba hajawahi kupoteza wala kuweka silaha chini katika Uwanja wa Vita .
Mwamba hajawahi kurudi nyuma ...
Lisu ni Icon
ikitokea tu court imesema Lisu anyongwe hadi kufa vita lazima itokee wananchi wengi wanahasira sana na yanayoendelea kwenye serikali dhalimu ,isiyo na haki ya ccm
Hakuna kazi ya hatari kama Ujasusi majukumu yake ni kukusanya taarifa nyeti kutoka mataifa mbalimbali ili kulinda maslahi ya nchi au kusaidia kufanya maamuzi sahihi kwa kuishauri serikali
Ujasusi ni hatari zaidi ya Mwanajeshi kuwa katika uwanja wa vita akikumbana na risasi na mabomu kwa sababu...
Sometime unakua mpole tu unaacha watu wanapita wanaenda Maisha yanaendelea. Sio wewe kila saa ni ubishi jamaa akisogeza gari na wewe unasogeza. kiongeza speed na wewe unaongeza eti unakaza/unabana sio sawa upole kiasi sio ujinga.
.
Na mpaka nasema haya nilishuhudia ajali moja ya isiyo ya lazima...
Kwa wale wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii wanafahamu namna Dudu Baya alivyoamua kupambana na ushoga na tabia za kishoga hadharani
Wapo wanaosema kwamba huenda ni namna alivyochagua kuendelea kujadiliwa kwenye media (ku trend) kwasababu uhai wa msanii hutegemea pia kusemwa semwa
Hata hivyo...
Mange Kimambi ni mmoja wa wanaharakati wa mtandaoni wenye ushawishi mkubwa zaidi nchini Tanzania, ambaye safari yake ya kisiasa imepitia mabadiliko makubwa—kutoka kuwa kada na mpambanaji wa dhati wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hadi kuwa mkosoaji mkubwa wa serikali. Ili kuuelewa uanaharakati wa...
Kama kuna tamthilia iliyowahi kuchanganya ukatili wa vita, usaliti wa kisiasa, na maonyesho ya hatari ya arena za Rumi, basi ni Spartacus.
Simulizi hii inaelezea historia ya kweli ya mtumwa na gladiator kutoka Thrace aliyetekwa na kuuzwa ili kuwaburudisha matajiri wa Dola ya Warumi mnamo miaka...
Mwadhiri wa chuo kikuu cha Dodoma bwana Melkisedek Kaijage leo kaachiwa huru baada ya upande wa mashtaka unoiwakilisha serikali kusema kwamba hauna nia ya kuendelea na kesi hiyo ya mchongo.
Hiyo ni kesi ya mchongo kwasababu siku wanasheria wa UDOM wakihangaikia dhamana kwa ajili yake dhidi ya...
Ujumbe ulioenda Moscow,ulienda kuongea na Putin kutaka vita iishe.
Sasa ujumbe huo umeenda Ukraine kuongea na Zelensky juu ya suala hilohilo la kumaliza vita. Katika Hali ya kawaida Zelensky ni mtu wao wala kwake hawatapata shida ya kumtaka vita iishe.
Leo hii Marekani inaenda Moscow kutafuta...
“Keki ni kubwa kwa ajili yetu wote.”
Si amini.
Kwenye biashara, kila mtu anataka kuongeza market share.
Kila mtu anataka scale.
Kila mtu anataka wateja wengi zaidi, branches nyingi zaidi, revenue kubwa zaidi.
Wateja wako kuhamia kwao ndio mafanikio ya kibiashara kwe wengine
Kuna muda...
Uchambuzi wa Mohamed Said: Mzozo wa Iran, Marekani, na Kumbukumbu ya My Lai
Mohamed Said anachambua mivutano ya kijeshi na kisiasa kati ya Iran na Marekani katika Ghuba ya Uarabuni, akirejea historia ya vita vya Vietnam:
Kuhusu mtazamo wa siri wa wananchi wa nchi za Ghuba (Arab Gulf) juu ya...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchembaakiwa Bungeni leo Septemba 3, 2026 amezungumzia malipo ya wanajeshi waliopigana katika Vita ya Kagera Mwaka 1978.
Pia soma ~Mafao ya Wanajeshi waliopigana vita ya Kagera imekuwa ahadi isiyotekelezeka
Mara kadhaa Wadau mbalimbali wamekuwa wakihoji kuhusu malipo...
Baada ya kuamua kumfuata Mungu shetani anaoneshwa kukasirika...
Imagine, saying to yourself kuanzia leo na acha kitu fulani, only to get the temptation right infront of your face? Imagine saying to yourself you love God only to get a disappointment just to make you bitter, urudi kama mwanzo...
Habari za Sabato!
Leo nilikuwa napitia hapa kitabu cha Asheri(Jasher). Nikaona kisa cha Waisrael kuwa utumwani kwa zaidi ya miaka 400 huko Misri.
Kisa hicho kwa sehemu kubwa ni simulizi ya kisiasa lakini yenye mchanganyiko na Imani ya Miungu.
Kupitia kisa hicho, moja yamambo niliyoyaona ni...
Lokole anadai kuwa Mulky na Wolper wamekuwa wakishushiana maneno mazito huku Isarito akitajwa kuwa kiini cha mvutano huo. Baadhi ya kurasa za burudani pia zimeanza kuripoti madai hayo, hali inayofanya sakata hilo kuendelea kuwa gumzo kwenye mitandao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.