Hii ni taarifa ambayo imekuwepo kwa muda kupitia Asasi zisizo za kiserikali. Ukiwa na elimu unashindwa kuamini haraka kwamba kweli tunaongozwa na watu wadhaifu kichwani kiasi hiki? Yaani huu ndo mwisho wa kufikiri wa wana CCM na serikali wanayaosema ni yao?
Soma hapa...
Ndugu Watanzania!
Nchi yetu imeingia katika dimbwi la matope na kinyesi. Tanzania inatuhumiwa kupeleka watu kwenda kusaidia kupora Uchaguzi wa Zambia kumsadia Hakainde Hichilema anayesadikika kuwa ameshindwa Uchaguzi ili aapishwewa kuwa Rais wa Zambia kwa muhula mwingine.
Mgombea wa upinzani...
China inasafiwa kwa kupiga hatua kubwa za maendeleo ya kiuchumi lakini inaisfiwa zaidi kwa hatua kubwa na za haraka za uchumi na maendeleo yaliyomaliza umasikini wa watu wake hadi kuwa china ya 1%.
Ni muhimu kujua unaweza kuwa taifa lenye uchumi ukubwa mkubwa na umasikini mkubwa sana kama vile...
Amani kwa wote.
Naomba kujenga hoja yangu katika msingi wa mustakabali wa taifa kwa vizazi vinavyo tuandama.
Mimi kama baba ambaye nina watoto , moja kati kitu kinacho nipa mawazo makubwa ninini nitawaachia watoto wangu, na kizazi kinacho tokana na mimi.
Wazee wangu walishindwa kacha...
Serikali ya Tanzania imeiomba Marekani kuondoa vikwazo vya viza kwa Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo, pamoja na vikwazo vingine vya kiuchumi na kiusafiri vilivyowekwa dhidi ya Tanzania, ili kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na wananchi wa nchi hizo mbili.
Ombi hilo limewasilishwa...
Uholanzi ni mfano wa nchi iliyoonyesha kwamba usalama wa taifa haujengwi kwa kuongeza magereza pekee, bali kwa kupunguza sababu zinazowasukuma watu kuingia kwenye uhalifu. Kwa miongo miwili iliyopita, idadi ya wafungwa nchini humo ilishuka kwa kiasi kikubwa, hali iliyosababisha kufungwa kwa...
Ikiwa mtu kama balozi Polepole alitekwa na mpaka leo Samia na serikali yake hawana majibu, Ally Kibao aliuawa na serikali ikasema kifo ni kifo tu, nasasa magaidi ya CHADEMA yanakamatwa kila kukicha na mhaini Lissu yuko gerezani, usalama wa wageni wa AFCON ni mdogo sana.
Kwakuwa serikali haina...
Hivi mnajua kila kitu kingefanyika kwa wakati tokea kupata uhuru mpaka leo pale bungeni usingesikia habari za kuzungumzia magovi.
Kuna mambo ambayo ukipeleka serikalini ya ccm wanakwambia haya haya takiwi kwa sasa na masoud kipanya alishaeleza sana.
Mfano mmoja ambao nitakupa maana hii...
Wawakilishi wa Asasi za Kiraia (AZAKI) Tanzania, Julai 16, 2026, wamesema kumekuwa na jitihada za kutumia njia za mkato kushughulikia changamoto za kisiasa na kiutawala nchini badala ya kuzingatia misingi ya katiba na utawala wa sheria.
Wamedai kuwa kumekuwa na matukio ya utekaji, mateso...
Ni kama dunia ilikuwa haijui kinachoendelea Tanzania, now it has been taken by surprise by what has been aired by bbc on the horrific human rights abuse and the persecution of opposition members.
Kuna comments za raia huko duniani zinashangaa sana kusikia kinachoendelea Tanzania. Hawajawahi...
Sio kwa ubaya ila mada hapa JF zinaangiwa mpaka kuna wataalamu wa lugha wanajitokeza kutafuta kiswahili ni sahihi jambo linaro sema ukweli.
Kuna mikoa ambayo inapatikana gesi na mpaka sasa wanajeshi wapo wamejazana.
Leo pale dodoma kuna uranium ya kutosha mshapeleka urusi.
Kuna makahaa ya...
Wazo kwa Serikali ya Tanzania: Tuwe na App Moja ya Kitaifa ya Kuripoti Changamoto za Wananchi
Teknolojia imebadilisha namna serikali nyingi duniani zinavyowahudumia wananchi.
Nchi kama Indonesia imefanikiwa kupitia mfumo wa SP4N-LAPOR!, ambapo mwananchi anaweza kuripoti changamoto yoyote na...
Wakuu,
Katika ulimwengu wa siasa na diplomasia za kimataifa, taswira ni kila kitu. Lakini taswira hiyo inagharimu kiasi gani, na ni nani anayelipa ankara hiyo?
Uchunguzi wa kina umebaini mkataba wa kushtusha wa Dola za Marekani milioni 3 (takriban Shilingi bilioni 7.8 za Kitanzania)...
Labda Mimi ndio sielewi naomba nieleweshwe Yani Kwa mujibu wa serikali yetu TUNDU LISSU ni mtu Mbaya sana kuliko shehe mwaipopo?
Kwa kauli hakustahili kukaa uraiani hata sekunde moja hii inanikumbusha hadithi ya BARABA NA YESU KWA WAYAHUDI MBELE YA PILATO.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekanusha vikali madai yaliyomo kwenye rasimu ya hoja ya kimataifa inayovumisha kuwa nchi hiyo "ilikataa" ziara ya Kamati Ndogo ya Bunge la Ulaya kuhusu Haki za Binadamu, ikitaja madai hayo kama upotoshaji mkubwa wa kidiplomasia.
Katika ufafanuzi...
Viongozi wa serikali, washirika wa maendeleo, wataalamu wa afya, asasi za kiraia pamoja na wawakilishi wa jamii wamekutana jijini Dodoma, Juni 18, 2026 katika kongamano la kujifunza lenye kaulimbiu “Kudumisha Mafanikio Yaliyopatikana katika Afya ya Uzazi na Jinsia”, kuadhimisha kufungwa rasmi...
Kama umewahi kusikia usemi wa nyani haoni..., basi hiyo ndio Tanzania ya uongozi wetu wa sasa.
Hebu Fikiria. Huko Afrika Kusini, tarehe 16 mwezi wa sita mwaka 1976, wanafunzi waliandamana kwa ajili ya kupinga kulazimishwa kutumika lugha ya Afrikaans kwenye masomo. Wanafunzi hawa walikuwa...
Kila nchi na serikali yake zinajitahidi kuwasaidia raia wao kwa kinachoendelea.
Ila Tanzania ni sikio la kufa wala hata kujionesha kuwa wameguswa na kusaidia raia wao.Zaidi ya kukaa kimya kila ucheo.
Itakuwa kosa kubwa sana kwa Seneti ya Marekani kujadili mauaji ya kikatili ya Oktoba 29 nchini Tanzania bila pia kuchunguza nafasi ambayo Meta ilicheza katika kuisaidia serikali ya Tanzania kuficha mauaji hayo na kueneza ukandamizaji wake nje ya mipaka ya Tanzania.
Wakati serikali ya kigeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.