Chama cha Wamiliki wa Matatu nchini (Matatu Owners Association) kimetangaza ongezeko la nauli za usafiri wa umma kwa asilimia 10 kufuatia kupanda kwa bei ya mafuta, hatua inayotarajiwa kuongeza gharama za usafiri kwa Wakenya.
Rais wa chama hicho, Albert Karakacha, alisema uamuzi huo umefikiwa...
Wadau kama nimekaa miaka minne mradi umeisha NSSF yangu inasoma 24,000,000. Je NSSF inanilipa kiasi gan . wamekaa na fedha yangu mda wote wa miaka minne, je waniongezea kiasi gani
UKIWAZA DUNIA IMEKOSEWA AU HAIJAKAMILIKA UJUE TAYARI UMEYABANANGA. DUNIA IKO PERFECT ASILIMIA MIA MOJA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Ukishasikia mtu anakuambia dunia hii haijakamilika. Imekosewa. Au sehemu sahihi ujue tayari keshaingizwa kingi. Yupo ndani ya mifumo ya wajanja na wahuni...
Baadhi ya maeneo mfano gongo la bonto walichokifanya siyo kuwandoaa,bali Ile barabara ya watembea kwa miguu ,wameigawa katikati mfanyabiasha atapanga bidha asivuke ktkt ya hilo eneo ,na Kuna meza nzuri wamechonga.
Ukitazama ni ubunifu mzuri
Swali langu lengo la kujenga Barabara / Road reserve...
Nikiwa shule ya msingi, miaka 30 aliyopita.Nikiwa darasa la nne au la tano hivi, nilitokea kuvutiwa sana na Dada mmoja, namuita Dada kwa sababu alikuwa mkubwa kwangu, alikuwa darasa la sita au saba wakati huo sikumbuki vizuri.Alikuwa anaitwa Caroline.
Alikuwa mweupe, nywele laini macho makubwa...
Mradi wa Maji Mto Ruvuma wenye thamani ya Shilingi bilioni 38.15 umefikia asilimia 97.6 ya utekelezaji na tayari umeanza kutoa huduma kwa wananchi tangu Agosti 2026.
Mradi huo utazalisha lita milioni 5 za maji, na unatarajiwa kunufaisha wakazi 82,000, huku ukiongeza upatikanaji wa maji kutoka...
Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
asilimia
hata
hizi
huzuni
ila
katika
kushiriki
kuvumilia
kwenda
marekebisho
maswali
mpya
mwelekeo
nchi
shaka
sifa
suala
teuzi
udini
upendo
usawa
uwakilishi
uwiano
waislam
waislamu
wakristo
wananchi
wengi
wote
zaidi ya
Siyo poa Wakuu! Idadi ya Wanaume Vijana Wasiooa Marekani Yafikia Milioni 30.4
Dondoo
Ripoti ya mwaka 2026 imeonyesha kuwa mwaka 2025, wanaume milioni 30.4 wenye umri wa miaka 20–39 nchini Marekani hawakuwa wameoa, ikilinganishwa na milioni 20.7 mwaka 2000. Hilo ni ongezeko la takriban 47%...
Mjasiriamali kijana Ifra Ahmed, anayejishughulisha na uendeshaji wa saluni za kike na za kiume, ameeleza namna wageni kutoka mataifa mbalimbali wanaohudhuria mikutano ya kimataifa wanavyochangia kukuza biashara yake.
Ifra, ambaye amepata mikopo isiyo na riba kutoka Halmashauri ya Jiji la...
Na. Philipo Hassan - Kilimanjaro
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), leo Septemba 5, 2026, ametembelea eneo ulipozuka moto ndani ya Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro kwa lengo la kujionea hali ya eneo hilo na hatua zinazochukuliwa kudhibiti na kuzima moto huo.
Akizungumza baada...
Watumishi wanaohama kutoka Halmashauri moja kwenda nyingine wanakabiliwa na changamoto ya mfumo wa PEPMIS, ambapo wanapohamishwa, asilimia zao za utendaji kazi zinaonekana kuanza upya kutoka sifuri, hata kama mtumishi alikuwa amefikisha, kwa mfano, asilimia 60 katika Halmashauri aliyotoka.
Hali...
Anonymous
Thread
asilimia
hii
inaumiza
katika
mfumo
mfumo wa pepmis
mtumishi
pepmis
utendaji
Mradi wa kwanza wa kisasa na usafi wa Mazingira Afrika Mashariki wa kuchakata majitaka Mbezi Beach unaotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) umefikia asilimia 88 ya utekelezaji wake huku ukitajwa kunufaisha kaya takribani 11,000 katika Wilaya ya Kinondoni...
Mke anataka mshahara wote umkabidhi yeye. Anataka umsikilize yeye kuliko mtu mwingine yeyote Duniani. Wanawake wengi wanapenda mwanaume ambaye kwake atakuwa bwege.
Afanye kila kitu ambacho mwanamke huyo atataka. Mali zote ziandikishwe jina lake mwanamke. Mume awahi kurudi nyumbani, akiweza...
BUNGE LAMTHIBITISHA NDEJEMBI KWA ASILIMIA 100 UMAKAMU WA RAIS.
▪️Waziri Mkuu asema anatosha, kiti kimempata mtu sahihi wa kumsaidia Mheshimiwa Rais.
BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo (Ijumaa, Agosti 28, 2026) limemthibitisha Mheshimiwa Deogratius Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa...
Wakuu
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ametangaza kuwa Deogratius John Ndejembi amepitishwa na Bunge kuwa Makamu wa Rais kwa kura 324 sawa na 100%, na kwamba aliongea na baadhi ya mabalozi wa nchi mbalimbali nchini na walimwambia wameridhika uteuzi huo.
Ndejembi, alikuwa ni Mbunge wa Chamwino...
Tanzania kwa sasa inapita katika kipindi cha mpito wa kisiasa ambacho kinahitaji viongozi wenye busara na ujasiri wa kusimamia ukweli bila uoga wala upendeleo. Katika muktadha huu, Jaji Joseph Sinde Warioba anasimama kama moja ya tunu chache za kitaifa zilizobaki—sauti ya maadili na hekima...
aibu
asilimia
ccm
demokrasia
jaji
jaji warioba
katiba
katiba mpya
kauli
kuhusu
makubaliano
mchango
mkutano
mpya
muhtasari
siri
uchaguzi
uchambuzi
uhaini
ukweli
ukweli wa
ushindi
vifo
vifo vya uchaguzi
wimbi
Na Benny Mwaipaja, Addis Ababa
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khams Mussa Omar, amesisitiza kuwa katika kipindi cha miaka miwili ijayo asilimia 100 ya kaya zitakuwa zimesajiliwa katika Mpango wa Huduma ya Bima ya Afya kwa Wote ikiwa ni dhamira ya Serikali ya kuwekeza katika rasilimali watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.