Wakuu katika pita pita yangu kuna sehemu nilikutana na ujumbe wa Mh. Diwani Manara juu ya kauli ya Mh. Makonda kuhusu kujenga msikiti Arusha. Manara alitoa kauli hii naomba kunukuu:-
"Mimi naheshimu sana mawazo ya Sheikh Shafii lakini naomba asiingilie serikali kwenye masuala ya ujenzi wa...
Wakuu,
Kuna jambo nimekuwa nikijiuliza kwa muda na naamini kuna watu humu wanaweza kuwa na uzoefu au uelewa mzuri wa sheria za ujenzi Tanzania.
Je, mtu anayejenga nyumba yake ya makazi kwenye kiwanja chake anatakiwa kuwa na kibali cha ujenzi kabla ya kuanza kujenga?
Kwa sababu ukienda mikoani...
Najua wengi mtapinga ila ukweli ni kwamba kama nchi tunataka miji yetu iwe mizuri swala la kujenga nyumba wapewe makampuni ya real estate
Nchi zote zilizofanikiwa kwenye mipango miji za ulaya, north america, east asia (china, japan na korea kusini na singapore) na australia huamki tu na kuanza...
Mimi leo ndo napata majibu ya kwanini zamani tulikuwa tunaona watu wana-staff hawana nyumba Wala kiwanja licha ya kuwa walikuwa na vyeo vikubwa sana serikalin/private sectors.
Baadhi ya Sababu za mtu kushindwa kujenga kipindi cha utumishi ni:
• kuwa na boss asiyeamini kwenye uwekezaji wa...
Salaam waungwana,
Mimi ni mwanamke mwenye mtoto mmoja kiu yangu kubwa ni kupata kijumba changu kidogo tustirike na mwanangu, naombeni mnitie moyo je kwa shilingi laki mbili kwa mwezi naweza kujenga chumba, sebule, jiko dogo na choo? kiwanja kipo tayari maeneo ya Mkuranga, hili jambo...
Wakuu habari, ninaishi kwenye upangaji kwa sasa hivyo naendelea kupambana na adha za baba mwenye nyumba lakini kwa bahati nzuri nimeweza kununua kiwanja na sasa najipanga na ujenzi lakini wakati huo mawazo ni mengi kichwani mwangu nikiwaza kujenga nyumba ya ndoto yangu ambayo itanichukua muda...
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umetangaza rasmi fursa za uwekezaji kupitia mfumo wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), kwa kualika wawekezaji wenye uwezo, uzoefu na sifa stahiki kuwasilisha Expression of Interest (EOI) kwa ajili ya kuendeleza viwanja mbalimbali vya Serikali...
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Habarini wadau.
Kutokana na udogo wa kipato na changamoto ya kutopatikana kwa miti ya maana ya kupaulia, napata wazo kichwani la kujenga na kupaua kwa kutumia vyuma. Sijajua gharama yake ila hiyo ndo ndoto niliyonayo......nahisi hilo litakuwa nafuu huko mbele (kwa maana nitatulia muda mrefu...
Kiukweli licha ya kuwa kuna makazi mengi duni Tanzania lakini sikuhizi watu wanajenga nyumba standard na nyumba nzuri
Kwenye miji yetu yenye mazingira ya uswazi utagundua kuwa uswazi huo ulijengwa miaka mingi iliyopita, ila ukisikia kuna mtaa wowote mpya unajengwa, basi lazima utakuta nyumba...
VITU VYA KUZINGATIA UKITAKA KUJENGA NYUMBA YA KUPANGISHA.
1. Angalia aina ya watu unaohitaji kuwapangisha Kuna matabaka matano (05) ambayo ni kama IFUATAVYO:-
a). Wanachuo, Vijana walio single wenye kipato Cha uhakika Chumba self Chenye choo Kwa Ndani.
b). Wanafunzi na Watu wa Uswahilini...
Bure kabisa fatilia hapa
Natoa ofa kuanzia leo Nitajie kiwanja chako kina ukubwa gani mimi nikwambie unaweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi vya kulala
Wasalaam Eng James 0743 257 669
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.