vitu

 1. Ben Zen Tarot

  Panya Magawa astaafu kazi ya kufichua mabomu kimataifa

  Panya wa Tanzania mwenye sifa ya kufichua mabomu kimataifa astaafu Cambodia Magawa (panya) aliyejishindia tuzo kwa ushujaa wake anastaafu katika kazi yake ya kufichua mabomu yaliotegwa ardhini. Kila ugunduzi alioufanya ulipunguza hatari ya kuumia au kifo kwa watu wa Kambodia. Katika kazi ya...
 2. Ethan Cruz

  Vitu vya kufanya na kuepuka unapomtumia meseji Mwanamke

  Katika ulimwengu wa sasa mawasiliano kupitia jumbe fupi unazidi kutumika kiasi cha kuwa mazungumzo baina ya watu yamegeuzwa kuwa meseji fupifupi. Kupewa namba kutoka kwa mwanamke ni nusu ya muelekeo wako wa kuuteka moyo wake. Lakini je wakati wa kumtext mwanamke je unatumia mbinu ipasayo...
 3. Echililo

  Nauza vitu vyangu vya ndani

  Nimepata dharura nauza tv 55" samsung smart 1.2mil, radio sony soundbar 1000w 1mil na meza ya chakula viti sita laki 6 atakaechukua tv na redio nitamfanyia 2mil.. vyote bado ni vipya Vipo mwanza Mawasiliano 0765682453 Hiyo meza ni ya kioo kayikati ina viti sita bei laki 5
 4. sky soldier

  Safari za mabasi: Tuelimishane maandalizi muhimu kabla ya safari ndefu

  Toilet paper - Siwezi kujisafisha na yale maji ya vyoo vya kuchimbia dawa. Vidonge vya Fragyly (endapo tumbo likizingua) na panadol (kichwa kikiuma) Sinunuagi chakula njiani, huwa kinapkwa asubuhi nakiweka kwenye hotpot Maombi, haya ni muhimu kabla na baada ya safari. Kuchaji simu / power...
 5. Ngariba1

  Mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) bandarini Dar Es Salaam yatumbukia baharini

  Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaujulisha Umma kuwa Jumapili tarehe 23 Mei 2021, Majira ya saa 8 Mchana katika Bandari ya Dar es Salaam, mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) iliyokuwa ikishushwa kutoka kwenye meli ya LCT AJE 1 ilipata ajali ya kutumbukia baharini. Mashine...
 6. Paa

  Naomba kujuzwa gharama za ufundi pamoja na bei za vitu vifuatavyo

  To design and install video recording studio Installation of an acoustic wall to improve silence in the range of 60-70dB Installation of ceiling panels to improve silence in the range of 60-70dB Installation of LED lighting Installation of air-conditioning system Painting and decorations...
 7. Richmoto Kushmoto

  Kuna ofisi zozote za kuaminika kwa ambao wananunua vitu E. bay

  Nilikuwa na nampango wakununua simu e bay aina ya google pixel lakiji sina card ya banki hivi kwa hapa Dar hakuna ofisi zozote zile mabazo ni trusted zinajihusisha na uagizaji wa mizigo e bay. Kama kuna mtu anazijua anifahamisha na kama alaishawahi kuagiza kupitia hizo ofisi. Muwe na jumapili...
 8. sky soldier

  Hii ndio silaha kuu ya Hamas (Magaidi wa Palestina) inayowaumiza vichwa Israel

  Silaha kuu wanayotumia Magaidi wa Palestina (HAMAS) ni raia wema na makazi yao, Ni ngumu sana kupigana na mtu anaetumia maisha ya raia wema kama ngao. Pale Israel napopanga shambulizi huwa inatumia rasilimali nyingi, muda mwingi na maandalizi ya umakini ili kupunguza maafa kwa raia wema pindi...
 9. The Boss

  Hivi vitu tunavidharau, vinakuja kututesa sana

  Wale ambao wazazi walitusimamia na wakatufundisha hardwok, nidhamu, kuwa busy na mambo yako. Lakini mitaani maofisini na kila maeneo unakuja kugundua kumbe hardworking alone sio dawa. Watu mitaani na maofisini wana vipaji vya ajabu kwenye kujipendekeza unafiki, fitina kuchafua wengine n.k...
 10. Sky Eclat

  Huyu mtoto ana vitu viwili ambavyo hela haiwezi kuvinunua. Furaha na Afya njema

 11. Ethan Cruz

  Vitu 13 akikuonyesha Mwanamke ujue amekuzimia kwa dhati

  Amekuzimia? Anakupenda Kweli? Nini Kina Ashiria?. Kumuelewa mwanamke kama amedata na wewe inahitaji ujanja mwingi. Zifuatazo ni dalili 13 akikuonyesha mwanamke, kuna uwezekano mkubwa amekuzimia kimahaba. Ukiziona dalili hizi kwa mwanamke unaempenda, usisite kumuweka wazi kile unacho jisikia...
 12. stineriga

  Mfanyakazi wa kuuza duka la viatu, rasta anahitajika Dodoma

  Mfanyakazi wa kuuza duka la viatu, rasta na vitu vingine anahitajika. Majukumu: Atauza vitu vya dukani na kupiga mahesabu ya dukani ya kila siku na kuchukua maoni ya wateja na kupendekeza nini wateja wanahitaji. Kituo cha kazi/duka lilipo: Mkonze, Dodoma Jinsia: awe mwanamke /msichana Umri...
 13. Daisy Llilies

  Kuna vitu mwanadamu huvifanya kuendana na umri

  Miaka 8 mtoto anaanza kujitambua kama amependeza. Hapa ukimvalisha maroronya mnakwenda kwenye party anaweza kugoma kwenda. Hapa mzazi kuwa makini kuhakikisha mtoto ni msafi hii inamjengea kujiamini akiwa mbele ya wenzake. 11-12 wengine wanaingia puberty age, hapa anaanza kupenda kupendeza...
 14. jitombashisho

  Ndugu zangu kwa mtiririko,umakini na hata namna vikao vyao huwa kwakweli napata tabu mno kuifananisha CCM na vitu vya ajabu!

  CCM bado ni chama imara ki-muundo na ki-mfumo pia. Ukiangalia mpangalio wa vikao wa CCM hakika unajawa na haja ya kuwafuatilia na kuziheshimu sera na itifaki zao. Pamoja na kulalamikiwa imekuwa ikitumia dola kubaki madarakani lakini bado chama hicho kinazo sifa na uwezo wa kuendelea kuongoza...
 15. Mowwo

  Ushauri, natarajia kuanza biashara ya vitu vya jumla vya dukani kutokea Dar es Salaam kuja mikoani

  Nawasalimu wote. Mimi ni kijana mjasiriamali ninaetarajia kufanya biashara ya jumla ya vitu vya dukani(Arusha&Moshi) lakini ningependa kupata mawazo na ushauri namna ya kuagiza vitu hivyo kutokea Dar kuja mkoani. Uzoefu wa biashara hii ningeupata kutoka kwenu ningeshukuru pia. Vitu...
 16. B

  Kama sili mbususi yako, acha kutamani vitu vyangu

  Kuwa na vibinti ni shida sana vinakuwa haviko interested na sex ila vinataka chips mayai, out, mdudu, kuvaa vizuri, na misaada mengine ila mwamba ukitaka kunyoosha goti hawataki, mimi huwa mapema sana napenda kuweka mwelekeo wa penzi kwamba mimi sihitaji chochote zaidi ya mbususi. Ila kama...
 17. J

  Vitu 6 vya kuandaa unapotaka kusajili kazi ya sanaa

  Nakala mbili za kazi yako ya sanaa; Picha mbili za utambulisho(Passport size); Nakala ya picha za utambulisho, Kitambulisho cha Kitaifa au cheti cha kuzaliwa; Nakala ya picha ya utambulisho, kitambulisho cha Kitaifa au cheti cha kuzaliwa cha ndugu wa mwombaji; Ushahidi wa maandishi kuhusu...
 18. A

  Msaada wa kuagiza vitu kutoka Kenya

  Habari za muda huu ndugu zangu? Ukweli ushamba mzigo kumbe kenya wanabei ndogo ya simu kuliko aliexpress? Juzi nilikuwa nataka simu aliexpress nilikuwa na laki 8 niliona ngoja nitafute xiamon maana kunawatu walikuwa wanazisifia sana nilipata xiamo note 10 pro kwa bei ya laki 8 niliongea na yule...
 19. E

  Wataalamu wa designing niongeze vitu gani kwenye hii model

  Habari za leo wakuu, Nimerudi tena, kuomba ushauri kutoka kwa watundu wa designing. Watundu wa design niongeze vitu gani kwenye hii design.
 20. Komeo Lachuma

  Ni aibu kama tutaanza kupamba hata kwa vitu vya kipuuzi

  Plato alipata kusema. "We can easily forgive a child who is afraid of the dark; the real tragedy of life is when men are afraid of the light" "Tunaweza msamehe kirahisi mtoto anayeogopa giza. Janga katika maisha ni pale ambapo mtu mzima anaogopa mwanga" Si tafsiri rasmi. Tunapoendelea na...
Top Bottom