Utangulizi: Tulipoishia mwezi uliopita,
Mwezi uliopita, kama mtaalamu na mzoefu wa utoaji huduma (Customer Experience/CX), niliorodhesha dalili za huduma mbaya Tanzania: vitu kama"chenji na pipi," simu zisizopokelewa, majibu kama"Boss/mkubwa hayupo," na hadithi ya mgeni aliyeambiwa aende...
Kukaa bila kufanya chochote kwa dakika 90 kunaweza kuonekana kuwa jambo rahisi. Lakini kwa baadhi ya watu, hilo limegeuka kuwa changamoto inayohitaji nidhamu kubwa.
Nchini Korea Kusini, mashindano ya Space-out yamekuwa yakifanyika kila mwaka, ambapo washiriki hutakiwa kutofanya chochote kwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Diwani wa Kata Myamba wilaya ya Same, Greyson Kyondo Fue (42), kwa tuhuma za kuendesha gari kwa uzembe na kumgonga mwendesha pikipiki maarufu kama boda boda aliyetajwa kwa jina la Daudi Kibwengo (24), mkazi wa Kijiji cha Myamba na kusababisha...
Ukiona mwanaume au mwanamke ni kibonge, amejazia minyama uzembe ana kitambi/tumbo kubwa ujue anakula hovyo, hana nidhamu ya chakula na pia ni mzembe na mvivu wa kushughulisha mwili.
Binadamu hawatakiwi kunenepeana au kuwa na matumbo makubwa kama sio wagonjwa.
Kuna uzembe na udhaifu na mara kwa mara ninekuwa nachanganya hivi vitu,
Uzembe kuufanya uonekane udhaifu na hivyo nibebwe au ile kuonewa huruma kwamba "ni udhaifu tu"
Lakini kiuhalisia ni uzembe mkubwa
uzembe sasa naona ni pale ninaweza kufanya kitu ili mambo yabadilike na bado sifanyi
Na...
ACT Wazalendo imefuatilia kwa karibu kukithiri kwa tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo mbalimbali nchini, hususan ongezeko la mgao wa maji unaowaacha mamilioni ya wananchi bila hakika ya huduma hiyo kwa siku kadhaa mfululizo. Katika maeneo tuliyofuatilia maji hutoka mara...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ametoa maelekezo hayo Juni 23, 2026 kwa niaba ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 katika Viwanja vya...
Imekuwa ni tabia endelevu, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa MAWENZI. Watumiehi wake wamekuwa wakifanya kazi kwa mazoea katika idara zote kwanzia Emergency hadi Mochwari.
Chumba cha kuhifadhia maiti kimekuwa kama Biashara, Bila Pesa ya Hongo basi Miili inakuja chukulia na ndugu ikiwa imeharibika mnoo...
Naona wanaChadema wameanza kukubaliana na mimi juu namna hayati Magufuli alivyokuwa shujaa na mpambanaji kuzuia uzembe na ufisadi.
Kwanza asingeweza kwenda Urusi na na mtoto wake au delegation kubwa namna ile na kuharibu pesa za Watanganyika.
Akiwa nchini Urusi kwa ziada ya kikazi, rais Samia alijikuta katika mtanange ambapo mji wa St Peterburg ulishambuliwa na drone za Ukraine. Kwa kiongozi wa nchi, hii inaleta picha gani?
Mbali na hilo, alivyokuwa akihangaika kusoma wakati akitoa salamu za kawaida ambazo hazikuhitaji maandishi...
MABINTI WAAMBIWE UKWELI SERIKALI HAITAKUWA NA MUDA WA KUSHUGHULIKIA UJINGA NA UZEMBE WAO WATAKAPOZALISHWA NA WANAUME WAPENDA UZINZI. HASA MABINTI MASKINI.
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli
Baba
1. Hakuna cha huruma hapa. Binti Yangu hakuna wa kukuonea huruma dunia hii. Kama hutojionea huruma...
Kwa wale tunaofanya kazi chini ya TAMISEMI kwakweli hii wizara inachosha yaani mtu unahama miaka miwili ila mshahara bado upo huko ulikotoka,unaanza kumbembeleza mkuu wa huko ulikotoka apitishe kazi zako,
Sasa hapa changamoto ni kwamba mkuu anakwambia mimi siwezi kukupitishia kazi zako ikiwa...
Waziri umeshirikiana na UD kutatua 'mgogoro' wa kijana aliyeshindwa kuendelea na masomo kwa faini ya kizembe. Au tuseme uonevu wa UD kwa wanafunzi. Hiyo ni ishara kwamba Vyuo vikuu vyetu vinaendeshwa kishenz. Nasema tena Kishenz! Ni aibu kuwa na viongozi wa aina hiyo, halafu ukasema ni chuo...
Habari,
Mimi ni mkazi wa Morogoro mjini.
Changamoto niliyokutana nayo TTCL Morogoro ni kuwa nilituma maombi kwa ajili ya kuja kufungiwa fiber internet kwenye eneo langu la kazi lakini maombi hayo hayakujibiwa mpaka nilipoenda ofisini kwao kuwauliza.
Wakaniambia subiri zamu yako ikifika...
Je ni kweli thamani ya binadamu inabadilika kulingana na wakati??
Nimeuguza mtu wangu wa karibu Hospital kubwa tuu pale Mwanza. Alifariki kwa uzembe wa watoa huduma kutorejesha oxygen baada ya mgonjwa kujigeuza kichwa bila kujua(alikua unconscious)
Kwani thamani ya binadamu inabadilika? Ikiwa...
Madereva wa bajaji na bodaboda ni moja ya kundi lenye madereva ambao wamekuwa wakilalamikiwa sana kwa kukosa utulivu barabarani.
Wengine huendesha kwa pupa kukimbizana na pesa, wengine kwa fujo kuonekana maridadi mbele ya wenzao, wengine hawazijui kabisa sheria za barabarani wanaingia kwa...
Kutoendelezwa kwa miradi mbalimbali jijini Dar es Salaam, iliyogharimu mabilioni ya fedha za umma kumetajwa kuwa ni ufujaji wa fedha hizo.
Mwandishi wa habari hizi ametembelea baadhi ya miradi ya vyoo katika Halmashauri ya Kigamboni, Ilala, Temeke, Kinondoni, na Ubungo.
Mamlaka ya Majisafi na...
Wana-JF,
Mnamo Agosti mwaka huu, Serikali kupitia Wizara ya Ardhi ilitangaza fursa kubwa kwa wakazi wa Arusha na Watanzania kwa ujumla. Tulitangaziwa uuzaji wa viwanja katika eneo la Olmoti/Oloresho, eneo ambalo limezunguka uwanja mpya wa kisasa wa Samia Suluhu Stadium.
Lengo lilikuwa ni...
TANESCO kata ya Kibamba -Dar, inafanya uzembe mkubwa sana kwa kushindwa kuhamisha nguzo za Umeme kwa muda kwenye barabara ya Hondogo iliyokuwa inajengwa.
Hii imesababisha Mkandarasi kuhamisha vifaa vya kazi na kupeleka sehemu nyingine, na kuacha kero kubwa kwa wakazi hasa mvua inaponyesha...
Wadau,
Ni msiba mzito kwa Tanzania kuwa CCM priority yake ni kupambana kuendelea kuwa madarakani kwa gharama yoyote ikiwemo kupokea pesa chafu kutoka kwa watu ambao wakati mwingine inawaita mafisadi, kuua, kuteka na kulawiti wale wanaopingana nayo kwa hoja , yote hayo inaweza kuyafanya...
bila
kupata
kupata maendeleo
kutengeneza
madarakani
maendeleo
miaka
miaka 60
miaka 60 ya uhuru
passport
serikali
serikali ya ccm
shaka
uhuru
umaskini
uzembe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.