Kwa kutoa nafasi kwa wadau wote, Tume iliunda mazingira ya mazungumzo ya kitaifa. Ripoti yake inawakilisha sauti ya Tanzania nzima katika kutafuta amani na maridhiano baada ya matukio ya ghasia. #TumeImesikilizaWananchi
#TumeYaUchunguziReport
Ripoti Ya Maridhiano
Jaji Joseph Sinde Warioba ameyasema hayo kwenye Mahojiano yaliyochapishwa leo 10, Mei 2026 na The Chanzo, ambapo amesema kuwa alikuwa akisikia kuwa wananchi watulie kwa kuwa Serikali imeunda tume.
Hivyo alitegemea baada ya tume kuweka ripoti hadharani ingebaki kuwa wazi na kusomwa na watu wote...
Hakuna hata idara yeyote inayo aminika imepongeza ripoti fake ya judge Chande. Ni mbaya kiasi kwamba imewaharibia hata washikiri wake kuaminika kimataifa hasa Sefue na Mwema wamekuwa wanajificha maana ni aibu kubwa.
Kusema vijana walikufa walichomwa na mikuki, utekaji ni mambo ya...
Anaongea with confidence as if amekuwa acquitted na Mahakama ya ICC kama hana hatia na mauaji ya kimbari ya october, 29th.
Anaongea with great confidence....mikwaju chapa etc etc!
Hivi Ruto alikuja kufanya nini? Ku normalise mauaji?
Time will tell!
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume hiyo imepokea ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kwa njia mbalimbali.
Amesema ushahidi huo umepatikana kupitia mahojiano...
ghasia
jaji chande
matukio oktoba 2025
ripotiripoti ya tume
tume
tume ya chande
tume ya jaji chande
tume ya uchunguzi
tume ya uchunguzi 2025
uchaguzi
uchunguzi
vifo maandamano tanzania
vurugu za uchaguzi
05 May 2026
Maazimio ya Kamati kuu ya CHADEMA
MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA, ASOMA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA WAIRARUA VIKALI RIPOTI YA JAJI CHANDE, WAMVAA RAIS SAMIA
https://m.youtube.com/watch?v=WgE5hkLdB_s
Kamati Kuu ya CHADEMA inasema imejiridhisha pasi kuwa na shaka kuwa...
chadema
chande
jaji
jaji chande
kamati
kamati kuu
kikao
kikao cha kamati kuu
kuu
maamuzi
mkuu
mwanasheria
mwanasheria mkuu
mwanasheria mkuu wa chadema
rais
rais samia
ripotiripoti ya jaji chande
samia
CHADEMA kufanya Uchambuzi wa Ripoti ya Jaji Chande Siku ya Jumanne Mei 5, 2026, Taarifa hiyo imetolewa leo Mei 5, 2026 na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, alipokuwa akifanya Mkutano na Waandishi wa habari kuhusu maazimio ya Kamati Kuu uliofanyika Aprili 28...
Kuna jirani yangu ameniletea habari kutoka mitandaoni bahati mbaya au nzuri huwa sina muda wa mambo haya ya mitandao, akanambia naomba unieleweshe.
Ripoti ya Chande kuhusu mauaji ya 29, Oktoba 2025, Ripoti ya Chande imepikwa na watu wasiojua hesabu, wamesema kuna vifo 518 nchi nzima wamesema...
Tume imetoa wito wa uwajibikaji wa haki, maridhiano na maendeleo ya taifa. Watanzania wote wanapaswa kukumbatia ukweli huu na kufanya kazi pamoja kujenga Tanzania yenye amani, haki na umoja wa kudumu. #UwajibikajiWaHaki
#TumeYaUchunguziReport
Haki Na Amani
Jaji chande ameyasema hayo leo, Aprili 28, 2025, wakati akizungumza kwenye mkutano wa tume ya uchunguzi na waandishi wa habari kuhusu matukio ya Vurugu za Oktoba 29, 2025 kabla na baada ya uchaguzi Mkuu.
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo.
Leo, nimeizungumzia Ripoti ya Jaji Chande kwa kuwa mtu wa shukrani, kushukuru kwa hiki kidogo ili tupatiwe kikubwa!.
Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Ripoti Imekidhi Haja, ila Haijamaliza Kiu!. Asante kwa Kutoa...
Mwanasheria na rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Boniphace Mwabukusi, ameibua hoja nzito kuhusu mchakato wa maridhiano, akisisitiza kuwa Ripoti ya Jaji Chande haiwezi kutumika kama msingi wa maamuzi makubwa ya kitaifa kama vile kuunda Katiba mpya.
Amesema ripoti hiyo ni mali ya Rais...
Labda sina exposure ya kujua vingi au mengi. Lakini utimamu wangu wa akili unakataa kabisa.
Kwamba wahudhuriaji katika uwasilishaji wa ripoti ya mauaji wanashangilia na kupiga makofi!! Serious, kama vile inawasilishwa ripoti ya mapato ya uwekezaji mkubwa au ugunduzi wa mafuta?!
Hayo makofi...
Binafsi nafikiri hiyo ndio sababu kubwa ingawa mtazamo wa wengi ni kuwa anakwepa watu kuichambua na kuonyesha mapungufu yaliyomo katika hiyo ripoti.
Inawzekana ICC wakaidai hiyo ripoti kabla ya kutoa uamuzi wao juu ya Samia na wenzake kama wsshitakiwe au laa kwahiyo wanakwepa /wanajihami
Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.
Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.
Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.
Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua...
Tulisikia mwenyekiti wa tume ya matukio baada na wakati wa uchaguzi mzee Mohamed Othuman Chande ya kwamba tume imepanga kukutana na wanahabari ili kujibu na kutolea ufafanuzi wa hoja na maswala yaliyomo ndani ya ripoti. Cha kushangaza na kushitua ni pale Samia aliposema ripoti ya tume ni mali...
Hatimaye Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imetoa ripoti yake baada ya kufanya uchunguzi kwa siku 153.
Tume hiyo iliyoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu, Mohamed Chande Othman, ilikuwa na wajumbe wanane ambao ni: Dkt. Stergomena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.