orodha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watu waliofanya unyama na uovu na kisha wakapandishwa vyeo na serikali ya CCM

    Jina Ramadhan Igwondu (au wakati mwingine likiandikwa kama Ramadhan Ighondo) linajulikana nchini Tanzania likihusishwa zaidi na matukio mawili makuu: Kashfa ya Kutekwa kwa Dr. Steven Ulimboka (2012): Jina hili liligonga vichwa vya habari na kujadiliwa sana kwenye majukwaa ya kijamii kama...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Maneno haya yanamhusu Mbowe na genge lake. Hawatafanikiwa kuibomoa Chadema kwa fedha za CCM

    Mbowe anapoteza muda👇
  3. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wanasiasa walioonja makali ya Samia

    Uzi huu ni kwaajili ya kuwakumbuka wanasiasa wote ambao kwa namna fulani wameonja joto la Rais Samia kwa kuwekwa kando ya madaraka. Naanza na Balozi Emmanuel Nchimbi, Spika Job Ndugai. Endelea na orodha…
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hata huyu yumo kwenye orodha ya chadema ya waliotekwa na serikali?

    Chadema ina orodha ndeeefu ya watu wasioonekana waliotekwa na serikali. Yaani kwa mujibu wa chadema kila asiyeonekana nyumbani kwao ametekwa na serikali, lakini huyu mama alitoroka mwenyewe usiku na kwenda Kenya na kurudu mwenyewe baada ya miaka 42 kupita. Hata polisi wetu hawakujua alienda wapi...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Jina la Dossa Aziz Halikuwemo Katika Orodha ya Watunuliwa Medali

    https://youtu.be/8bHn7ojbnlo?si=p3RGwTUvj34OmroN
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini imetoa orodha mpya ya nchi ambazo raia wake wanaweza kuingia nchini humo bila VISA

    Serikali ya Afrika Kusini imefanya maboresho katika sera yake ya msamaha wa visa, ikithibitisha kuwa raia kutoka nchi 22 za Afrika sasa wanaweza kuingia nchini humo bila visa kwa ajili ya utalii, biashara, au ziara fupi. Muda wa kukaa unaoruhusiwa unatofautiana kati ya siku 30 hadi 90, kulingana...
  7. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Orodha ya changamoto ulizowahi kukutana nazo TRA

    Wakuu samahani naomba mtu yeyote aliyewahi kukutana na changamoto yoyote katika suala lolote linalohusiana na Huduma za TRA aandike hapa,itapendeza zaidi ukifafanua ugumu ulikuwa wapi,? Zaidi naangazia katika malipo ya kodi,kujaza compliance,kutoa mzigo bandarini,kupitisha mzigo mpakani,nk...
  8. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Naomba orodha za changamoto ulizowahi kukutana nazo wakati ukifuatilia huduma TRA

    Wakuu samahani naomba mtu yeyote aliyewahi kukutana na changamoto yoyote katika suala lolote linalohusiana na Huduma za TRA aandike hapa,itapendeza zaidi ukifafanua ugumu ulikuwa wapi,? Zaidi naangazia katika malipo ya kodi,kujaza compliance,kutoa mzigo bandarini,kupitisha mzigo mpakani,nk...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Polepole ameingia kwenye orodha ya watu wasio na kaburi lake duniani.

    Wana ccm hivi mnajua POLEPOLE mwana ccm mwenzenu Hana kaburi lake? Mwenzake magufuli yeye analo Sasa mkitaka kuhiji mtaenda wapi?
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete Apinga KATIBA Mpya, Apinga kuachiwa kwa Lissu , yote haya ni sababu ya 'Urais' aloandaliwa anaona unapepea peeeee

    Huyu Jamaa Sasa ndio kajionyesha yeye ni Mtu wa Aina gan. Tulidhani labda ni Matumizi tu mabaya ya Nafasi ya Baba yake... Huyu Mtu ana uchu wa Madaraka, Mtu aliyetayari kufanya lolote ili mradi Awe Rais.
  11. britanicca

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Mawaziri Mizigo kuwahi kuteuliwa Tangu 1995-2026

    1. P. Katambi (Anashikilia Record) 2. Saada Mkuya (Wa fedha wakati wa Jakaya) 3. Hamis Kigwangalla 4. Nape Nnauye 5. Makame Mbalawa 6. Samia Suluhu Hassan (Kipindi cha Jakaya) 7. Joseph Mungai (Changanya Phisics na Chemistry na ufute agriculture) 8. Wilson Masilingi 9. Shukuru Kawambwa...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Confirmed !Hatimaye wamepewa Orodha ya Viongozi wa kisiasa, Mahakama, Vyombo vya Usalama ambao wanapenda kuwekewa Vikwazo !!

    Wakuuu Kuna Mtu hapa wa chomboni Mstaafu wa juu ambaye bado Connection yake huko Usalama IPO intact kabisa, kanipenyezea Taarifa hapa kua KUMBE SERIKALI, MAHAKAMA ,NA VYOMBO VYA USALAMA TANZANIA, WAMETUMIWA ORODHA YA IDADI NA AKINA NANI AMBAO VIKWAZO VITAWAKUMBA.........Mwisho Kwa sasa...
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Orodha ya waandishi bora wa muda wote Tanzania

    Hawa watu walinifanya ninunue sana magazeti kabla ya ujio wa social media. 1. Joseph Mihangwa 2. Ahmed Rajab 3. Edo Kumwembe 4. Jenerali Ulimwengu 5. Maggid Mjengwa 6. Irene Mwamfupe 7. Ayoub Rioba 8. Imelda Mtema 9. Luqman Maloto 10. Julius Mtatiro
  14. Pakome

    JamiiForums Tanzania Orodha ya raisi wafuatano wanaweza kuingiza dunia kwenye vita kwasababu wana tatizo la wenge

    Donald Trump Ni raisi mwenye chokochoko hana tofauti na kidawa mpenda kufunua Makaburi na vyungu vya sumu ambavyo havikutakiwa kufunuliwa, kesha funua vyungu vingi vipo wazi vinatema sumu na sasa dunia nzima inakohoa Kim Jong Un Ni raisi mwenye mikono inayowasha sana anapenda kuchezea moto...
  15. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Orodha ya vitu kadhaa ambavyo Wewe Mwanaume Mkeo hapaswi kujua kabisa kuhusu Wewe

    List ni ndefu ila nitataja vichache vingine wataongezea wengine hapo chini. 1. Mshahara Wako. Mkeo hapaswi kujua wewe unapokea Mshahara kiasi gani. Fanya unavyofanya usije ukathubutu ukamwambia mkeo napokea kiasi fulani sijui nini hivi na vile, imekula kwako. Nakusanua. 2. Kazi unayofanya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya majiji na watu walioyashikilia kiuchumi,

    DAR - Watu wa Kilimanjaro, Pemba, Njombe, Kigoma, Mara, Mwanza, n.k. MWANZA - Watu wa Simiyu na Mara. ARUSHA - watu wa Kilimanjaro wamedominate sana Mbeya - Watu wa Njombe Dodoma na Tanga sijajua
  17. M

    JamiiForums Tanzania Orodha hii ya matokeo ya Form 4 kwa mikoa imenistua. mikoa tunayoichukulia poa inaongoza kitaifa na mingine imebaki historia haina tena uwezo

    Nikiwa naperuzi mtandaoni nimeikuta hii orodha ya mikoa SAT ni idadi ya wanafunzi waliofanya mtihani Nimeshangaa sana kuona kuna mikoa ambayo hatuizungumzii sana imefanya vizuri na kuna mikoa ambayo ilikuwa navuma hapo zamani lakini kwa sasa hali ni mbaya, Dar es salaam shule za day zina...
  18. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Orodha ya vijana na kiasi wanachomiliki na umri wao

    Wewe unamiliki kiasi gani mkuu utupe insparation. NB majina sio halisi
  19. bwawani90

    JamiiForums Tanzania Naomba nchi yangu usije ikaingia kwenye hii orodha

    Pamoja na yaliyotokea Mungu atuepushie. Ingawa hawa walio kwenye orodha waliingia baada ya damu za binadam kumwagikanhuko zamani Wanasiasa wasitupeleke huku
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wana CCM na Viongozi wa Serikali na Wastaafu na Machawa ambao Kamwe Hawatasamehewa Leo au Kesho Kwa namna yoyote Ile !!

    Hii hata hao TEC au Shura ya Maimamu , Wasomi ,Taasisi mbalimbali hawataruhusiwa kuingilia Au kujaribu kushawishi Maamuzi ya Wananchi. Wameua Ndugu zetu Maelfu , Wameteka Kila sauti iliyosimamia Haki, hakika Hawa ni watanzania ambao HATUTAWASAMEHE. Jakaya Kikwete na Familia yake. Rostam Aziz...
Back
Top Bottom