kifungo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Lindi: Alli Hamisi Mbelenje (30) ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mtoto wa miaka 8

    Mahakama va Hakimu Mkazi Lindi imemhukumu Alli Hamsi Mbelenje (30), mkazi wa Kijiji cha Makonde, Kata ya Mtama, Wilaya ya Lindi, kifungo cha maisha Gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kumlawiti mtoto wa kiume, Mwanafunzi wa darasa la nne mwenye umri wa miaka nane Hukumu hiyo...
  2. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mfungwa aliye gerezani kubadilishiwa adhabu ya kifungo cha gerezani kuwa huduma kwa jamii

    Uchambuzi wa kisheria kuhusu utaratibu wa mfungwa kubadilishiwa adhabu ya kifungo cha gerezani kuwa huduma kwa jamii: Mwandishi: Zakaria Maseke (Mwanasheria) (0612275246/0754575246) Makala hii inachambua utaratibu wa kisheria wa kubadilisha adhabu ya kifungo cha gerezani kuwa huduma kwa jamii...
  3. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Mama Mjane aliyehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kosa la kununua mihogo ya wizi ya shilingi elfu kumi .

    Tunaomba msaada kuna tukio limetokea tumeshindwa, iko hivi kuna mama ni jirani hapa, mme wake alimuacha akiwa na watoto 4 sasa ikabidi awe anafanya vibarua akapata kamtaji kake kidogo akawa ana langua mihogo na kuuza ili alee watoto wake maan hata mtoto mkubwa alitokea jirani mwema akamchukua...
  4. bless on

    JamiiForums Tanzania Kifungo cha Diddy Chapunguzwa Tena Licha ya Ugomvi

    Licha Ya Kupigana Na Mfungwa Mwenzake Gerezani Hivi Karibuni, Lakini Rapa Sean 'Diddy' Combs Amepunguziwa Kifungo Kwa Mara Nyingine Tena. Kwa Sasa Diddy Ataachiwa Huru January 24, 2028. Diddy Awali Alitarajia Kuachiwa Huru - June 2028 Ikaja April 2028, Kisha Februari 2028 Na Sasa Ataachiwa Huru...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni MUHIMU, mtoto analawitiwa washitakiwa wanatakiwa kulipa 800,000 kama fidia na kifungo cha maisha?

    Katiba mpya ni MUHIMU sana kwetu, yaani mtoto mmoja mlemavu wa akili amelatiwa na watu wanne wameshikwa na kuhukumiwa kwenda jela maisha na kulipa fidia ya laki 800,000 kwa kila mmoja? Wanaenda jela watalipaje hiyo pesa? Wasipo lipa watafanywaje? JE alielawotiwa bikira itarudi? Watuhumiwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wanachana 4 wa Chadema wahukumiwa kifungo miezi 4 au kulipa faini ya 300,000

    TAARIFA KWA UMMA.‼️ 19 Juni 2026, Mahakama ya Mwanzo Kizumbi, imewahukumu wanachama (4) wa CHADEMA Kata ya Lyabukaende kifungo cha miezi minne gerezani au faini ya Tsh 300,000 kila mmoja. Waliohukumiwa kwa kile kinachoitwa “kufanya fujo” katika mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Julius S...
  7. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kunyongwa mpaka kifo na kifungo zaidi ya miaka 20 visiwepo

    Habari Tanzania !. Nawaomba watanzania wenzangu tuamue kwa pamoja kuwa katika Sheria zetu hasa upande wa Jinai; tuondoe vifungo vya zaidi ya miaka 20 pamoja na kufuta kifungo cha maisha jela au kunyongwa mpaka kufa. Uhalisia ni kuwa; hakuna aliyemkamilifu isipokuwa ni Mungu pekee. Ikumbukwe...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Kiongozi wa Upinzani Julius Malema ahukumiwa miaka 5 jela na kulipa faini

    Hukumu imetoka sasa hivi. Jela miaka 5 kwa kukutwa na silaha bila vibali, kuitumia bila vibali, kuhatarisha maisha ya wengine ..etc etc Naona wana mitigate rufaa asiwekwe ndani mpaka rufaa yake itoke. Mahakama imekubali sentence appeal but not conviction -------------- Kiongozi wa Chama...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Julius Malema wa EFF atiwa hatiani kwa kukutwa na silaha/matumizi kinyume cha sheria akikabiliwa na kifungo cha miaka 15 jela

    Amekutwa na hatia (convicted) ya kumiliki silaha bila kibali na kufyatua risasi hadharani kinyume cha sheria. Kesho saa tatu asubuhi atasomewa adhabu (sentensing) ambapo prosecutors wanaiomba mahakama impe maximum sentense of 15 yrs in prison Kosa hili alilifanya mwaka 2018 katika mkutano wa siasa
  10. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Polisi: hata ukikimbia nchi tutakusubiri ukirudi hata ukiwa mzee tutakukamata na utatumikia kifungo

    Jeshi la polisi limetangaza kuwa hakuna atakaeachwa kwa kosa aililofanya hata akiwa mzee tutamkamata.
  11. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania JF Kifungo Countdown

    Wakuu baada ya JF kulimwa kifungo cha siku 90, kisicho na kichwa wala miguu. Sisi tuhesabu siku zilizobakia kuelekea Uhuru wetu, ili hata wakitubania haya waone wao. I mean no malice to nobody
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Moldova yahukumu kiongozi wa Kirusi kifungo cha miaka saba jela

    Mahakama ya Moldova imemuhukumu Kiongozi wa Pro-Kremlin , Evgenia Gutul kifungo cha miaka saba jela kwa kosa la kuingiza fedha kutoka Urusi ili kufadhili chama cha siasa. Gutul amekanusha kuhusika na makosa hayo, hata hivyo, kwa mujibu wa upande wa Mashataka wamedai Gutul alihusika kwa namna...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Richard Nzagi: Muhamiaji Haramu akiingilia Uchaguzi Faini Sh Milioni 5 au kifungo cha Miaka mitatu au vyote

    Mlishawahi baini wahamiaji haramu wakitaka kujihusisha na uchaguzi au amsuala ya kiasisa kiujumla mnafanyaje kwenye hili?? Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji Mkoa wa Iringa, Richard Nzagi, akifanya mahojiano na Kituo cha Shamba FM Radio anajibu... Pia soma ~ Richard Nzagi: Mafinga ina Watoto wengi...
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume wa miaka 23 ahukumiwa kifungo cha miaka 30 kwa kumbaka mwanafunzi County ya Lamu

    Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 23, Lukman Ismail Athman maarufu kama Jelal, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na Mahakama ya Lamu kwa kosa la kumbaka mara kadhaa mwanafunzi wa Darasa la Tisa kati ya Novemba 14 na 24, 2024 katika eneo la Paradise, Langoni. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GEITA: Mwalimu Shule ya Msingi Waja ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumuingilia kinyume Mwanafunzi wake mwenye umri wa Miaka 7

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imemkuta na hatia na kumuhukumu kifungo cha maisha Mwalimu wa Shule ya Msingi Waja, Josephat Masenema Shikome kwa kosa la kumuigilia kinyume na maumbile Mwanafunzi wake wa Darasa la Tatu mwenye umri wa Miaka 7, kinyume na kifungu cha 154(1)(a) na (2) cha Kanuni ya...
  16. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Balthazar Engonga ahukumiwa kifungo Cha Miaka 18 jela

    Balthazar Engonga Ebang ahukumiwa kifungo cha miaka 18 jela leo Julai 2, 2025, kwa ubadhirifu wa pesa za serikali, utajiri haramu na matumizi mabaya ya madaraka. Inasemekana alifuja zaidi ya Faranga bilioni 1, huku sehemu yake ikiwa ni Faranga milioni 910. Pia alipigwa faini ya faranga za CFA...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Daktari ahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kubaka wagonjwa 229

    Mahakama ya Ufaransa imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Joel Le Scouarnec ambaye ni Daktari bingwa wa upasuaji ambaye alikiri Kuwanyanyasa kingono wagonjwa na kubaka wagonjwa 229, wengi wao wakiwa watoto, kwa zaidi ya miongo miwili. Kesi hiyo iliyodumu kwa miezi mitatu ya Joel Le Scouarnec...
  18. Sigara Kali

    JamiiForums Tanzania Baada ya kifungo Cha miaka mingi hatimaye Sigara Kali nimerudi hewani

    Nilipigwa BAN kimya kimya kwa miaka kadhaa kosa silijui Ila imerudi tena Sigara Kali. Asanteni moderators wote wa JF
  19. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoka kwenye kifungo cha madeni

    JINSI YA KUTOKA KWENYE KIFUNGO CHA MADENI Hii ni kwa wale walioko kwenye madeni tayari. 01.ONGEZA KIPATO CHAKO Hakikisha unaongeza uzalishaji wa kipato chako, tafuta somo linaloeleza Jinsi ya kuongeza kipato chako hapa Darasani.Hakikisha matumizi huongezi. 02.PUNGUZA MATUMIZI YAKO Lengo ni...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Alihukumiwa Miaka 30 jela kwa ubakaji miezi mitano iliyopita, leo tupo naye mtaani, hili limekaaje?

    Kuna Kijana mmoja tulimtuhumu kumbaka Mwanangu wa miaka minne tukapeleka malalamiko kwenye vyombo husika vya Kiserikali, Jamhuri ikafungua kesi ya ubakaji katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni. Tumeenda Mahakamani mimi na Mke wangu kwa zaidi ya Mwaka mmoja na nusu, ambapo tulikuwa tukiacha...
Back
Top Bottom