urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Tunaenda kushuhudia Marekani inashindwa vita na Iran. Wachina na Warusi ni wahuni sana

    Nadhani Washauri wa Trump hawakufanya Tathmini ya kutosha kuingia vitani na Iran. Vita vilipochanganya na Marekani alipoanza kupoteza akaenda Kumuomba RAIS wa china asimuizie silaha Iran,Xi akamuhakikishia hata muuzia. Akamlaumu Putin kua aache kumsaidia Iran,Putin akasema hatomsaidia. Hivi...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Anadhalilisha “wasomi” wenzie; ndiyo maana ile ya PhD ya Urusi iligoma kukaa kichwani

    Haya ndiyo madhara ya Elimu mbalimbali; Mtu level za akina Bashite na Baba Levo lakini kutwa kuchwa kujikuta kukimbilia tu PhD pasipo kujua uzito wa hadhi hiyo kitaaluma. 🚮🚮🚮
  3. L

    JamiiForums Tanzania Iran imepiga jengo la CIA Uarabuni, Marekani yailaumu Urusi kuwa imeisadia Iran Taarifa za kupiga

    Kulia kupokezana,kutesa kwa zamu,ukikwaga ugali,namwaga mboga,ulikua hili wenzako wanajua lile. Marekani anajifanyaga anajua sana uhuni,kumbe Kuna wahuni kama yeye. Makao ya majasusi wa Marekani CIA yamepigwa na dogo Iran,Marekani anamlaumu Mzee Urusi kua yeye ndio kampa connection. Hivi...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Marekani imechapika hapo M.E mpaka Maafisa wa Marekani wanashuku kuwa China au Urusi huenda wanasaidia Iran

    Iran yazidi kuimarisha uwezo wa makombora, ikiweka changamoto mpya kwa mifumo ya ulinzi ya Marekani. Iran imeboresha makombora yake ya ballastic missiles kwa kuongeza uwezo wa mambo mawili muhimu: Kasi kubwa (High Speed) Makombora yanapokaribia shabaha yanaweza kufikia kasi kubwa sana...
  5. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Urusi Inawatafuta Vloggers Wote Wanaoikosoa Serikali ya Putin

    Konstantin ni vlogger mzuri sana mrusi anayetoa habari za ndani ya nchi ya urusi lakini yeye anaishi ughaibuni. Jana kapigwa polonium! Aombewe apone, lakini nchi anayoishi haina huduma nzuri za kiafaya na ina maajenti wengi wa usuri. Nadhani anaish Uzbekistan...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Urusi yaishambulia meli ya mizigo yenye bendera ya Tanzania. Ilikuwa inatoka Ukraine kwenda Uturuki

    Russia imelipua meli yenye bendera ya 🇹🇿 iliyokuwa ikitoka Chornomorsk kwenda Uturuki ikiwa imebeba alizeti. Mlipuko wa drone umeua baharia mmoja =============== Russia struck the Tanzania-flagged cargo vessel ATLAS BE off the coast of Odesa. The ship was sailing from Chornomorsk to Turkey...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Netanyau anajinyea huku baada ya Trump kusema atamuuzia Turkey F35 na kuruhusu kununua S400 za Urusi

    Netanyahu aiambia CNN anapinga uuzaji wa ndege za F-35 nchini Uturuki huku akipuuza kudharauliwa na Trump Katika mahojiano na CNN, Netanyahu alionya kwamba uuzaji wa ndege za kivita za hali ya juu zaidi za Marekani "haufanyi Uturuki kuwa taifa rafiki kwa Marekani." Katika sehemu ya mzozo...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi mjawahi kufahamu teknolojia za urusi ni complicated ukilinganisha na Ulaya na USA,Japan, China ndio maana zimefanikiwa kukubarika

    Leo nilikuwa na rubani tukipata bia nyumbani. Ananiambia hakuna mtu mwenye akili timamu ukaweza kumpa ndege za urusi ambazo zimejaa saa kila kona kiufupi ni vipima vyilivyo kwenye mfumo. Nikabidi niangalie ndege na teknolojia kupitia Google.Ni kweli kabisa yani ndege zao mpaka marubani...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini urusi kwa nchi za afrika zinashindwa kuishtaki kwa udanganyifu wa ajira wakapigane Ukraine.

    Malalamiko mengi na mashuuda wameeleza kuhusu urusi ilivyo wafikisha kwa udanganyifu wa ajira na mambo mengine mwisho wa siku wanajikuta kulazimishwa kupigana na ukrain. Cha kushangaza tumeona raisi feki kaenda huko na nyie JWTZ msipo kuwa makini mtapelekwa kwa lolote.
  10. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania KWELI Je ni kweli raia nchini urusi wanakimbia maeneo ya crimea kukwepa mashambulizi ya urusi?

    kumekuwepo na picha ambayo imechapishwa kwenye mtandao wa facebook ikiwa na nukuu ya kuwa raia wa urusi wanaondoka eneno la crimea kwa huhofia mashambulizi ya urusi katika chapisho hilo ambalo linaonekana kuwana nukuu ifuatayo “Hali ya usalama katika mkoa wa Crimea imezidi kuwa mbaya kutokana...
  11. Evidence mwakaway

    JamiiForums Tanzania MAMBO YA AJABU SANA HUKO NCHI ZA ASIA, DUBAI NA URUSI

    Kuna mambo nilijua nimeona na kusikia mengi ila hili alilolileata britanicca kwenye uzi wake wa episode 1 mambo yanayotokea huko ughaibun limenizuhuzunisha na kuona hela zinachukua nafasi ya ubinadamu. "Ntaendelea na kisa cha Mtanzania aliyeambukiwa online kufika anaambiwa wamnyee mdomoni na...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Bado sijapata jibu?, Nitajie nchi ambayo Urusi ilikuwa msaada kwakwe leo inashindana na dunia utajiri na maendeleo

    Ili swali nimeweka hapa naona wale wana ccm wanakwepa sana kujibu. Wanajua Afghanistan ilikuwa maskini sababu ya urusi. wanajua kwa kiduku ni sababu ya urusi. Yugoslavia mpaka kuvunjika ni urusi. Syria kuwa magofu ni urusi. Hapa ni mifano michache. Mi nachoomba kupewa majibu kuwa urusi ni...
  13. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Kama Samia alikwenda Urusi na hakuzungumzia ishu ya mafuta na gesi basi tumepigwa!!

    Nilitegemea Ziara yake huko Russia na kujadili pia masuala ya mafuta!! Sote tunafahamu hali ya mafuta ni mbaya sana, na Urusi wana mafuta mengi tu mamilioni ya mapipa kiasi kwamba hawajui hata wayapeleke wapi Nilijua alivyoenda huko angesaini madili ya kuagiza mafuta Urusi ili bei ishuke au...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Safari ya dk. Samia, Nchini Urusi ni zaidi ya ziara za kawaida; ni fursa, ni uwekezaji" – Mchange

    _ Mwenyekiti wa MECIRA asema matunda ya safari ya Moscow na St. Petersburg yataonekana kupitia biashara, teknolojia, elimu, uwekezaji, ajira na masoko mapya ya bidhaa za Tanzania MWENYEKITI wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa...
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania MAREKANI: Urusi imefungiwa na Marekani kucheza Kombe la Dunia?

    Kama USA imemrudisha refa wa Somalia, basi ile ni isue ndogo sana kwa Marekani, hili la Urusi Gen Z na millenia hamjui. Urusi haishiriki Kombe la Dunia la 2026 kwa sababu FIFA iliweka kizuizi rasmi kinachozuia timu hiyo kushiriki katika mashindano yake yote tangu mwezi Februari 2022. Hali hii...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Sijui kama Rais Samia anajua madhara uranium anayotamba nayo na Historia ya Urusi

    Madereka anakwambia ukifatilia hii nchi masaa 12 kinachofata unaweza kuwa kichaa au mungu kukusaidia tu. Tunaelewa kwamba madini ya uranium yapo.Je unayekwenda kumuomba kuwa mtu wako wa karibu unajua historia yake. Ukiangalia historia ya urusi pale Afghanistan alichokifanya,sudani na sehemu...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Iran Yatangaza Maofisa Wake Wawili Kuuawa na Mashambulizi ya Israel

    Juzi Iran iliishambulia Israel ikidai ni kutokana na kitendo cha Israel kuendelea Kuwashambulia Hezbollah huko Lebanon. Baada ya shambulio la Iran nchini Israel, Rais Trump alimsihi Netanyahu asijibu mashambulizi ili mazungumzo ya kumaliza vita yasiharibike. Lakini Israel iliishambulia Iran...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Urusi haijasahau ukarimu wake wa nyakati zote kwa Tanzania 🇹🇿 🇷🇺

    The Diplomat Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anaelezea mapokezi ya heshima aliyopata akiwa katika ziara rasmi ya kitaifa nchini Urusi. Mapokezi aliyopewa Rais Dkt. Samia yanaakisi udugu wa miaka mingi na Taifa la Urusi. "Urusi ni mshirika wetu mkubwa...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Miaka 57 Rais Samia avunja ukimya wa Urusi na Tanzania

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania alifanya Ziara ya kwanza Nchini Urusi Oktoba 1969, kipindi hicho Urusi ikijulikana kama (Shirikisho la Umoja wa Kisovieti/USSR). Kipindi dunia ikiwa imegawanyika katika kambi mbili kuu za Vita Baridi. Tanzania ilikuwa imeanza...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Je, Samia Suluhu hajui kuzima MIC za Urusi? Putin ainglia kati kumsaidia

    Yule Samia wenu kaonekana akizunguka Ukumbini na receiver ya tafsiri ya lugha kila sehemu hata mic hakuzima. Putin akaingilia kati, kamwambia siri zako zitasikika, zima mic namna hii. Vitu vidogo tu unashindwa kujifanyia hadi ufanyiwe? Kidogo akate waya wa Watu🤣🤣 Katia aibu sana
Back
Top Bottom