Kwenye soko la Tanzania lililofurika bidhaa feki na za kughushi, muonekano wa nje na stika za wattage kubwa ni mtego wa kisaikolojia wa kukusanya fedha zako.
Wafanyabiashara na viwanda vya bei nafuu hubandika stika za uongo zenye maandishi kama "10,000W" au "Commercial Heavy Duty" kwenye...
Watu wengi wanaona ujenzi unaendelea kila mahali na kufikiria kuwa kufungua hardware moja kwa moja ni biashara yenye faida. Lakini ukweli ni kwamba, hardware yenye bidhaa nyingi si lazima iwe hardware yenye faida kubwa. Mafanikio yanahitaji mipango, eneo sahihi, bidhaa zinazohitajika na...
Wakenya huenda wakapata nafasi ya kuwekeza katika Dangote Petroleum Refinery kupitia Nairobi Securities Exchange (NSE) kwa kutumia Global Depositary Receipts (GDRs), mpango ambao bado unasubiri idhini ya mamlaka husika.
Kupitia mpango huo, hisa moja itauzwa kwa takriban Sh49, huku kiwango cha...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi amezitaka Taasisi na Mashirika ya Umma kupunguza baadhi ya matumizi na kuelekeza fedha katika kuwajengea uzoefu Vijana wanaohitimu vyuo ili kuwaandaa kuingia katika soko la ajira.
Akizungumza leo, Septemba 28, 2026, katika...
Nimesikia milango ya uwekezaji iko wazi, napata wapi dalali aniuzie mbuga zote na ikiwezekana kuwafukuza wakazi wote waishio karibu nazo ili kuepusha bugudha?
Pesa ipo.
Construction company class 2, civil class 2 building kuanzia class 3, offer on the table 300M, madeni madogo madogo kama inadaiwa yanazungumzika..kinachohitajika ni company siyo assets..
Tuwasiliane pm kwa biashara serious, pesa ipo mfuko wa shati
Maboss.
Mwezi August niweka Uzi wenye kichwa: Nilitaka kununua Drone kwa Matumizi Binafsi, ila mbona gharama ya kulipia ni kubwa kuliko kununua?
Baada ya kupata madini kutoka kwa wadau, wengine tukajadili inbox nimenunua DJI Lito X1.
Siku ya kwanza baada ya kununua nikamgusia muuzaji kuhusu...
Mwanamke mmoja nchini China, aliyetambulishwa kwa jina bandia la Xiaoli, alizua gumzo mtandaoni mwaka 2016 baada ya kuripotiwa kuwa aliwaomba kila mmoja wa wapenzi wake 20 kumnunulia simu aina ya iPhone 7.
Kwa mujibu wa ripoti zilizochapishwa na vyombo mbalimbali vya habari wakati huo, Xiaoli...
Kama ilivyo kwa AIR TANZANIA sasa ni muda muafakq wa kuunda na kununua meli kubwa za mizigo ili kurahisisha utoaji wa mizigo nchini kuelekea nchi za nje.
Shipping line hii imilikiwe na serikali na tuache woga wa kufanya hivyo.
Tukajifunze IRAN,CHINA ,INDIA N.K....
Wengi huangalia bei ya gari na kusahau gharama zinazoweza kuja baada ya kulinunua.
Unaponunua gari, ni muhimu kutenga bajeti ya ziada (Buffer Amount) kwa ajili ya kuboresha au kubadilisha baadhi ya vitu muhimu kama Tairi, Rim na Interior.
Tairi na Rim
Kwa hali ya barabara zetu zilizojaa...
Biashara ya kukodisha nguo za maharusi inaweza kuwa na fursa kubwa kwa sababu harusi, send-off na sherehe mbalimbali zinaendelea kufanyika kila siku. Lakini kuwa na nguo nzuri pekee hakutoshi kukufanya ufanikiwe.
Unahitaji kuielewa biashara yako na kuisimamia kwa mfumo.
1. 🎀 Chagua nguo...
Kama unapenda SUV mpya, 0 Km, usinunue Range Rover 2026 kwa $120,000 (cheap base model), Bali angalia Xiaomi SkyNomad N70 au N90 kwa $30,000 full loaded.
SkyNomad ni Range Extended, Ina engine ya 1.5 L, turbo i4, zina battery ya either 56 kWh au 72 kWh zenye range ya EV ya 380 Km na 505 Km...
Unaweza kununua mahindi, mpunga, maharage, karanga, alizeti, mihogo au mazao mengine kutoka maeneo yenye uzalishaji mkubwa na kuyapeleka kwenye masoko yenye uhitaji. Lakini bila mpango mzuri, biashara hii inaweza kukuletea hasara badala ya faida.
Biashara ya kununua na kusafirisha mazao ni...
Kenya imeamua kui by pass Tanzania Kwa kuamua kununua mahindi takribani gunia Milioni 11 kutoka Zambia badala ya Tanzania huku ikoacha wakulima wa Tanzania wakihaha wasijue wapi watauzia mahindi Yao.
Ikumbukwe Tanzania ni mzalishaji wa mahindi namba 2 Afrika ilizalisha zaidi ya Tani Milioni 12...
Kupitia Mawakili Tibe Kenneth Rwakatare, mtoto wa marehemu Mchungaji Dkt. Gertrude Pangalile Rwakatare, Nicholas Mugarura, Mwesigwa Muhingo na David Saire Manoti, wametoa tahadhari kwa umma kutonunua mali zinazodaiwa kumilikiwa na St. Mary’s International Academy Limited pamoja na mali za...
Ata nchi zilizoendelea wanao huu utaratibu wa kusajiri drones, ila zilizo chini ya 250g haziitaji usajili. Ila hapa lazima usajili ata kama ina gram 5.
Gharama zake sasa kwa matumizi binafsi, tena Mtanzania
1. Kuisajiri $100 kwa drone (mara moja)
2. Kuitumia kwa siku $5 au kwa mwezi $100 au kwa...
Nahitaji gari town Ace pickup 4W mpya au used naomba msada kwa mwenye uelewa nazo anipitishe kwenye darasa kabla sijachukua hatua yeyote ya manunuzi.
Asante 🙏🏾
Naishi Lindi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.