afrika kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Ni bora kukomaa hapahapa Tanzania mungu atajaalia, kila nikiwaangalia wanao rudi kutoka Afrika Kusini, nachoka kabisa

    Sina sababu ya kupost picha yoyote kuwadhalilisha lakini, mtu anakaa afrika kusini miaka 30 lakini dah. Maisha ya ugenini tena kwenye nchi za watu mambo ni magumu sana, ni kheri kama vipi, kaza tu hapahapa bongo aisee, mambo ya kukimbiakimbia, noma sana, ndo mana mo dewji, aligoma kufanya kazi...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Watanzania 173 waishio Afrika Kusini wamshukuru Rais Samia kwa kuwawezesha kurejea nyumbani

    Watanzania 173 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu-Natal, Afrika Kusini, wamewasili nchini baada ya kuamua kurejea nyumbani kwa hiari, kufuatia vuguvugu la kupinga wageni linaloendelea nchini humo. Kundi hilo lilirejea Tanzania kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
  3. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Watanzania 173 waliokuwa Afrika Kusini warejea nchini

    Watanzania 173 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu-Natal, Afrika Kusini, wamewasili nchini baada ya kuamua kurejea nyumbani kwa hiari kufuatia vuguvugu la kupinga wageni linaloendelea nchini humo. Zoezi la kuwarejesha raia hao limefanyika kwa ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kuwasili kwa Watanzania 173 wanaorejea nyumbani kwa hiari, kutokea jimbo la kwazulu - Natal, Afrika Kusini

    Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Afrika Kusini unapenda kuwajulisha kuwa, leo tarehe 26 Agosti 2026 Watanzania 173 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu - Natal nchini Afrika Kusini watawasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), mnamo...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kuna Haja gani ya Kuwa na Viwanda Vingi kama Afrika Kusini Lakini Wananchi Wake Wanaongoza Kwa kukosa Ajira Kwa 33% ? Viwanda Vina Msaada kweli?

    Nchi ya Afrika Kusini ni kati ya Nchi zinaongoza Kwa viwanda Africa lakini pamoja na kuwa na Viwanda vingi ila ndio Nchi inaongoza Kwa unemployment kubwa Kanda ya SADC Kwa zaidi ya asilimia 33% kiasi kwamba Xenophobia inachangiwa zaidi na Vijana kukosa Ajira. Kiwango cha ukosefu wa ajira nchini...
  6. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Wabongo bwana, eti huyu alikua anamtumia hela baba yake amjengee NYUMBA, akiwa afrika kusini

    Video imepatikana kijana wetu aloewauwa baba yake na baba yake mdogo kisa walikula hela zake za kumjengea NYUMBA alipo kua afrika kusini, huyu kijana ndio yule wa mwananyamala. Hivi huyu niwakutuma kweli hela Kwa unavo muona
  7. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuhudhuria Mkutano wa 46 WA SADC wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali huko Durban, Afrika Kusini, Agosti 17 2026

    Durban, South Africa SAMIA KUHUDHURIA Mkutano wa 46 WA SADC wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali huko Durban, Afrika Kusini, tarehe 17 Agosti 2026 Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) itaitisha Mkutano wake wa Kawaida wa 46 wa Wakuu wa Nchi na Serikali mnamo tarehe 17 Agosti 2026...
  8. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha za raia wa Afrika Kusini wakishindwa kufanya kazi viwandani ni halisi?

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwepo na picha zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan nchini Afrika Kusini, zikidaiwa kuwaonyesha raia wa nchi hiyo kushindwa kufanya kazi za viwandani kufuatia kuondoka kwa idadi kubwa ya wahamiaji ambao hawakuwa na nyaraka halali za kuishi na...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Watatu wajeruhiwa kwenye vurugu za maandamao ya Xenophobia Afrika Kusini

    Raia watatu wa kigeni walijeruhiwa nchini Afrika Kusini siku ya jana Agosti 6, 2026, baada ya maandamano yaliyokuwa yakipinga uwepo wa wahamiaji wasio na nyaraka kugeuka kuwa ya vurugu, Taarifa iliyotolewa na polisi wa mkoa wa KwaZulu-Natal Mkoa wa KwaZulu-Natal umekuwa kitovu cha maandamano ya...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Watanzania Afrika Kusini waanza kurejea nyumbani

    Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini umeratibu zoezi la kurejeshwa nyumbani kwa raia wa Tanzania waliokuwa nchini humo, kwa kushirikiana na mamlaka za Afrika Kusini kuhakikisha taratibu zote za safari zinakamilika kwa mujibu wa sheria. Akisimamia zoezi hilo Julai 24, 2026, Balozi wa...
  11. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania KWELI Afrika Kusini imetoa Orodha mpya ya nchi 22 za afrika zenye ruhusa ya kuingia nchini humo Bila Visa

    Kumekuwepo na chapisho linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ikiwemo Facebook na Instagram, likidai kuwa taifa la Afrika Kusini limetoa orodha mpya ya nchi 22 za Afrika ambazo raia wake wanaruhusiwa kuingia nchini humo bila visa kwa madhumuni ya utalii, biashara au ziara fupi. Chapisho...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini imetoa orodha mpya ya nchi ambazo raia wake wanaweza kuingia nchini humo bila VISA

    Serikali ya Afrika Kusini imefanya maboresho katika sera yake ya msamaha wa visa, ikithibitisha kuwa raia kutoka nchi 22 za Afrika sasa wanaweza kuingia nchini humo bila visa kwa ajili ya utalii, biashara, au ziara fupi. Muda wa kukaa unaoruhusiwa unatofautiana kati ya siku 30 hadi 90, kulingana...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba Yapokea Kalenda Inayoeleza Historia ya Ukombozi wa Afrika Kusini na Kitabu Kuhusu Ubaguzi Katika Elimu

    MAKTABA YAPOKEA KALENDA INAYOELEZA HISTORIA YA UKOMBOZI WA AFRIKA KUSINI NA KITABU KUHUSU UBAGUZI KATIKA ELIMU Mmoja wa wapenzi walio mstari wa mbele katika kuitia nguvu Maktaba ameitunuku calendar na kitabu. Ingawa kalenda imekuja katikati ya mwaka lakini haikuwa shida kubwa kwangu kutambua...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania kuwasaka "Mapapa" waliokimbilia nchi za Eswatini, Afrika Kusini, Msumbiji na Zambia

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kup ambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na mamlaka husika za nchi za Eswatini, Afrika Kusini, Msumbiji na Zambia itaendelea kufanya operesheni za pamoja za kimkakati kwa lengo la kuwabaini, kuwakamata na kuwafikisha wahusika mbele ya vyombo vya sheria. Kwa...
  15. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Phakel’umthakathi: Waafrika Kusini hatuhitaji kufanya kazi. Serikali inaweza kulipa kila mtu milioni 1 maisha yake yote

    Wakuu, Mwanaharakati wa utamaduni na muigizaji wa Afrika Kusini, Phakel’umthakathi amesema kuwa Afrika Kusini ina utajiri wa kutosha kiasi kwamba inaweza kulipa kila raia wake rand milioni 1 kila mwaka kwa maisha yao yote. "Afrika Kusini inaweza kuwalipa Waafrika Kusini milioni 1 kila mwaka...
  16. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Siku niliyoenda Afrika Kusini ndipo nilipoelewa kwanini watu wengi kule vibonge

    Siku niliyoenda Afrika Kusini ndipo nilipoelewa kwa nini watu wengi kule wanaonekana wanene. Nilipata nafasi ya kutembelea Pretoria. Kitu kilichonishangaza ni kwamba ilikuwa vigumu sana kupata vyakula vya asili kama tulivyozoea Afrika Mashariki. Maduka mengi na migahawa mingi ilikuwa imejaa...
  17. McLaren

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mfanyabiashara akiri kuhonga viongozi wakubwa wa Polisi, akubali kuwa shahidi

    Mfanyabiashara wa Afrika Kusini, Vusimusi "Cat" Matlala, amekiri makosa ya rushwa, udanganyifu na utakatishaji wa fedha katika kesi kubwa inayohusu ufisadi ndani ya Jeshi la Polisi. Matlala anadaiwa kuwahonga maafisa waandamizi wa polisi ili kampuni yake ya huduma za afya, Medicare24, ipate...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mfanyabiashara Cat Matlala akiri ufisadi wa zabuni ya Polisi, atishia kufichua vigogo walioshiriki

    Mfanyabiashara Afrika Kusini, Vusimuzi "Cat" Matlala, amekiri mashtaka yote saba yanayomkabili kwenye kashfa ya ufisadi wa zabuni ya polisi (SAPS) yenye thamani ya Randi milioni 228, inayohusisha kampuni yake ya Medicare24. Matlala alikuwa anakabiliwa na mashtaka saba ya utapeli, ufisadi, na...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama Afrika Kusini yaipa Mamlaka Familia ya Edgar Lungu kuamua atakapozikwa, imetima mwaka mvutano na serikali ya Zambia

    Mahakama ya rufaa nchini Afrika Kusini ilisema Jumanne kwamba familia ya Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu ndiye yenyen maamuzi ya wapi atakapozikwa kiongozi huyo wa zamani, na kubatilisha amri ya mahakama kuu kwamba serikali ya Zambia inaweza kuurudisha nyumbani mwili wa Lungu kwa mazishi ya...
  20. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Machafuko (Xenophobic attacks) Afrika Kusini faida kwa Utalii Tanzania

    Tutumie faida ya machafuko huko South Africa kukuza utalii Tanzania. Ikibidi itumike mbinu mbinu kuwa-support viongozi wa maandamano March to March na Dudula ili pawake kila siku kuharibika huku tunajaza watalii
Back
Top Bottom