Kabir Stori (6 April 1942 – 4 April 2006) (Pashto: کبیر ستوری) was a Pashtun nationalist, poet, and writer from Kunar Province of Afghanistan. He was chairman of the Pashtoons Social Democratic Party, a political party that he founded, until his death.
Huyu jamaa ni Nigerian, kaoa mke mMoja, wamezaa mtoto mMoja, sasa jamaa alikua mahakamani katika kufatilia kumbe kashitaki mkewe sijajua anataka vunja ndoa au laaah.
Stori Iko hivi, jamaa alikua anapambana kutafuta chakula na mahitaji ya mkewe na mtoto Kila mara, alijitahidi kuhemea mahitaji ya...
Mtandao na internet
Kuna maeneo Bado watu wanajitega kwa ajili ya kupiga simu na kuingia internet
Tigo na kujimwambafai kote Kuna maeneo Bado ni bilabila
Barabara na uchukuzi
Kuna maeneo Tanzania hii hii kipindi cha mvua wanakata muingiliano/mawasiliano ya kutoka na kuingia mpaka mvua...
Kuna jambo ambalo tumeliona mara nyingi katika historia. Kitu kipya kinapotokea, watu huanza kusema:
“Hiki kitu kitakuwa hatari sana siku zijazo!”
Lakini miaka inapita, watu wanakizoea, sheria zinawekwa, matumizi yake yanadhibitiwa, na mwisho wake kile kilichoonekana cha kutisha kinakuwa sehemu...
Huu umekuwa kama ulemavu sasa.
Kwa kazi yangu ya kukutana na Jamii moja Kwa moja nimekuwa mtu wa kajichanganye kwa watu wa rika zote, jinsia zote, levels zote, maskini, Hali ya Kati na matajiri, pia nimeweza kukutana na socialites, influencers, famous na cerebrilities.
Mada zao ni kula bata...
Juzi nilipokwenda dukani kununua liwa kwa ajili yakurembesha uso wangu. Muuzaji alinifungia liwa hiyo kwenye kipande cha karatasi ambacho kilikuwa na habari inayomhusu Nabii Suleiman AS.
Huyu nabii anaelezwa kwamba alikuwa na utajiri mkubwa usiyo kifani, lakini pia alikuwa na busara na hekima...
1. Nimezikuta hizi stori mahali fulani, yaani mwanamke
hatakiwi kujua chochote kuhusu mali zako
2 .Ukizeeka atakuacha hapo nyumbani aende kuishi Kwa watoto wake
3. Ukifikisha miaka hamsini usijihangaishe kujenga kama ulishajenga Nyumba Moja yatosha. Hifadhi fedha yako benki harafu uwe...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa akifanya mahojiano na Bongo FM leo Mei 15, 2026 ameeleza namna alivyopambana wakati anafanya kazi na Radio Tanzania Mkoa wa Songea
Watu wanaumia aisee jamaa katoka machimboni, karudi anapewa story kuwa mke wake alikuwa anaruka ruka nje, break ya kwanza ni kwenda kupima kwa lazima, imebidi jamaa amkimbie waifu kimya maana wife ana umeme na amemuachia chumba na vyombo vyote.
Mzee hapa mtaani ana wake watatu, alivyojigundua...
Mwaka Fulani awamu ya tano, nilikua geita, yes geita wanapaita gold city, au g town, kama kawaida yetu mapopo, hatulali mapema kiwanja kwa sana, Sasa mwenyeji wangu mmoja, nikimuuliza wapi pa kwenda kuparty, akanielekeza sehemu panaitwa desire park.
Nilienda kule lakini sikuona maajabu watu...
Niki ameshow love kwa Binti yake zuri, nakum wish happy birthday, wale mnaosema kachapiwa mtafuteni aliemchapia nick wa pili aende akamchukue mwanae.
Wabongo bhana kwa kukuza, wape picha maneno wanayo, jamaa YUKO na mwanae na alie kuwa mpenzi wake na maisha yanaendelea watu kimya.
Habari zenu wanajamvi.
Moja kwa moja kwenya mada kiukweli wanawake huwa hawajielewi kabisa yaani upo kwa kitanda na mwenzi wako unaanza stori za mwanaume aliekutoa bikra mlivyo wajinga huwa mnawasifia sana.
Mwanamke miaka thelathini na tano kwenda juu hivi hujui stori sahihi za kuongea na...
Kuna stori hadi sasa nikisikia naona kama hazina utofauti na mere stories. A lot of story kama, yesu alitembea juu ya maji, kufufua wafu, 🤔still doesn't make sense....
Wengi tunaamini waarabu ndio wanaongoza kwa majini; kama ni kweli majini yapo, wameshindwaje kuyatumia kwenye hizi vita vya miaka na miaka kati yao na Marekani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.