nyingi

Dorothy Wanja Nyingi is a Kenyan ichthyologist and recipient of the Ordre des Palmes académiques (Order of Academic Palms) for her work on Fish Biodiversity and Aquatic Ecology. She is the head of the Ichthyology Department at the National Museums of Kenya. She is the author of the first guide to fresh water fish in Kenya, Guide to the Common Freshwater Fishes of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Tanzania WATAALAMU WA BEAT MBONA MIMI NAHISI NYIMBO NYINGI ZA SOUTH HASA AMAPOANO NA KWAITO HAZINA SAUTI NZURI YA WAIMBAJI KATIKA USIKIVU KAMA BONGOFLEVA

    je hii ni shida au ndo maamuzi yao wazalishaji wa nyimbo hizo maana unakuta jitu linacheza club ukiliuliza ni kinaimba. Nlasambaa, nakasolembwaa x2 kah yaani sauti iko chini biti kuliko bongofleva atleast inakuwa juu ya biti au ni style sio kwamba wanakosea
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Unaweza usinielewe, kila kumbukizi ya tarehe yakifo cha Nyerere watumishi wengi,wanaambukizwa ukimwi, ndo siku condom nyingi hugaiwa.

    Ili niliwai liandika sana na kuandika sana, lakini nikaonekanika ni kibwengo tu nisiyejielewa, nilidhiakiwa sana na kubezwa Kitendo cha kuunganisha siku ya kumbukizi ya kifo cha Hayati mwalimu Julias Kabarage Nyerere na siku ya kilele cha mbio za mwenge kitaifa ni kumzalilsh Mwalimu. Hii ina...
  3. idiomer

    JamiiForums Tanzania Nchi nyingi za Africa wananchi bado ni wajinga sanaaa.

    Ujinga wa wananchi wa nchi nyingi za Afrika hauiishi leo au kesho. Kundi kubwa ni bendera fuata upepo halijui linataka nini. Ni huzuni sana. Akitokea mmoja kuwatetea utasikia wanasema sisi hatuna wala shida ni yeye tuu huyo.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ni wazi malori ndio chanzo cha ajali nyingi nchini; suluhisho la kutatua msongamano wa malori barabarani ni hili hapa, kama kweli serikali iko serious

    Ni kwamba kimsingi, hakuna haja kabisa ya kuwa na utitiri wa malori tunayoyaona barabarani siku hizi katika barabara za Dar - Mbeya, Dar - Tanga, Dar - Songea, Dar - Arusha na hata Dar - Mtwara. Sasa basi suluhisho ni nini? Serikali iamue, kama kweli inataka kuondoa tatizo la msongamano wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Millennials wengi walipuuza wazee, enzi za ujana walioa Hardcopy kuzidi Softcopy. Leo, wengi wanajutia, Gen Z, msirudie history ya millenials.

    Kwa wakati wa Millennials wakiwa vijana, ilikuwa ni enzi ya taiti, vitop, mini na vivazi vilivyoacha Hardcopy ikionekana wazi. Wengi walipagawa. Hata muziki ukabadilika nyimbo zikaanza kusifia mashepu, makalio, mapaja na uzuri uliokuwa ukionekana kila kona. Millennials wengi wakaingia kwenye...
  6. C

    JamiiForums Tanzania kufuta stendi binafsi jijini. je faida au hasara ndo nyingi?

    salamu wana bodi leo pia nimetafakari maamuzi ya mkuu wa mkoa kuhusu stendi. kama ilivyo ada tunatarajia kuona idadi ya mapato endelevu imeongezeka stendi,waharifu na wahamiaji halamu wanaokamatiwa magufuli na kushtakiwa mahakamani na mapato ya kodi au ushuru kwa serikali yameongezeka na...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hasara na athari za kususia uchaguzi kwa vyama vya siasa na wafuasi wao hua ni nyingi kuliko faida, taja athari wanazopata wasusia uchaguzi mkuu?

    Kwa kurelax, elezea hasara na athari hizo za kisiasa, kijamii na kiuchumi wanazopitia wasusia uchaguzi na vyama vyao vya siasa, kwa kurejea hasara na athari za wasusia uchaguzi wa Kenya, Zanzibar na Tanzania na itapendeza zaidi, kwasababu sote ni mashahidi, hakuna faida hata moja waliopata...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Shuhuda wa kufundishwa kuchukia wakristo: "jirani mkristo ikifika Krismas alituletea chakula tulipokea kwa shukurani nyingi ila akiondoka tunamwaga"

    nimekuta post ya inayopinga chuki kwa wakristo, katika kupitia comment nimekutana na hii shuhuda Nakumbuka utotoni kule kijijini jirani yetu mkristo zikifika sikukuu zao wanatuletea wali na nyama saazingine kuku Tunaupokea kwa shukurani nyingi sana nyingi mnoo lakini wakitupa mgongo tu daah...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nimeshiriki ibada nyingi sana za kiimani. Buddhism is the most best kwa mafundisho. Ila kibongobongo hamna dini bora kama Ukristo.

    Dini ni nini? Dini ni jumla ya imani, mafundisho, na desturi ambazo humwongoza binadamu katika uhusiano wake na Mwenyezi Mungu au nguvu za ghaibu, pamoja na kuweka mwongozo wa maadili na mtindo mzima wa maisha. Neno hili limetokana na neno la Kiarabu "Ad-din" (اﻟدﻴن), lenye maana ya utaratibu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ajali za malori nyingi zinahusha gari za kichina

    Kama ni mdau wa sekta ya usafiri Hasa wa mizigo ,Kuna jambo fanya kufuatilia katika ajali kumi oh gari ilifeli break nk utagundua gari za kichina ni ajali Saba out of 10. Je shida ni mazoea ya madereva au hizi gari za mchina Zina shida. Serikali wamefuatilia hili kujua Kwa nini gari za mchina...
  11. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini ila mara nyingi mtoto wa tatu na wanne mara nyingi sio damu yako.

    Nachojiuliza ni namna gani wanawake wame master sanaa ya kuzaa na bwana akalea kama watoto wa kiuno chake.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kutokana na wanawake wa kaskazini kupenda Sana Pesa sikujua kama Wana nyege nyingi kiasi hiki.

    Declaration of Interest: Nimeona wanawake wawili kutoka Kaskazini. Twende kwenye Mada sasa, aisee hii ni balaa, zamani nilikuwa nilikutana na single Maza kutoka Kaskazini najua ni kwa sababu anapenda hela hivyo Wanaume wanapiga na kusepa. Nilishtuka mara ya kwanza Mtoto kutoka Rombo...
  13. zee_latown

    JamiiForums Tanzania Familia nyingi za Kitanzania ni masikini kwa sababu ya UCHAWI na ULOZI

    Salama wakuu? Mimi umri umesogea sana... hivyo nimeona mengi na nimeshuhudia mengi na kujifunza mengi. Nimezunguka sana nchi hii, karibu mikoa mingi nimefika.. pia niliwahi kufanya kazi taasisi nyeti zilizoniruhusu kupata taarifa nyingi za siri za watanzania wengi. miongoni mwa mambo mengi...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Misri wana mvua chache sana ila wana pesa nyingi kuizidi Tanzania. Je, watuchimbie mabwawa kama ya JULIUS NYERERE l??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Misri hawana mvua ila wana pesa nyingi kutuzidi. Je, watuchimbie mabwawa kama ya JULIUS NYERERE mikoa ya Kanda ya ziwa Victoria na sisi (Tanzania) tuwape maji ya ziwa Victoria kwa maana tuna pesa kidogo ila mvua ni nyingi sana??
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania DKT. MWIGULU: TANZANIA NA QATAR BADO TUNA FURSA NYINGI ZA KIUCHUMI

    Apigia chapuo utekelezaji wa DIRA 2050 WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema bado kuna fursa nyingi za ushirikiano wa kiuchumi baina ya Taifa la Qatar na Tanzania ambazo zikitumiwa vizuri zitawanufaisha raia wa nchi zote mbili. “Bado tuna fursa nyingi ambazo tunaweza tukanufaika nazo kama...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ukiona sehemu ina fremu yenye PS tafuta kwengine kama kuna mbadala ! Frem za PS nyingi zinafuga wezi, zinavunjwa na huchochea wengine kuibiwa

    Vibanda vya games vya mtaani, hasa fremu za PS, ni sehemu zinazopendwa sana na wezi Wateja hao baadhi wakiwa wezi hupenda kupumzika vibanda vya ps lakini pia kufuatilia mazingira ya kutafuta mianya ya kuiba. Ndio maana fremu za PS zimkuwa na matukio mengi ya kuvunjwa na wezi, na wakati...
  17. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania tusingeanza ujenzi wa Industrial Parks nyingi kubwa kila pembe ya nchi hata 20+?

    Kwa nini Tanzania hatupo serious na ujenzi wa viwanda licha ya population yetu kuwa kubwa na kukua kwa kasi Kwa nini tusitake advantage ya population yetu wenyewe inayokua sasahivi tukaanza kujenga viwanda vingi nchini na kuuza products humuhumu? Kwa mfano sasahivi ingependeza uwepo mradi wa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Kibada-Mwasonga ina ajali nyingi, iwekwe matuta, wanakimbia kama kwenye mashindano

    Barabara ya Kibada-Mwasonga imekuwa na ajali nyingi na ndugu zetu wengi wamepoteza maisha, iwekwe matuta. Hii ni wiki ya pili ilitokea ajali asubuhi Mwasonga karibu na Kituo cha Mafuta cha Asam Oil, Dar es Salaam, Kigamboni
  19. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Femi: Wanawake wa Singida tukiacha kazi ya baamedi, baa nyingi zitafungwa

    Muigizaji mashuhuri wa tamthilia ya Jua Kali, anayejulikana kama Femi, ameibuka na kutetea wanawake kutoka Mkoa wa Singida wanaofanya kazi ya uhudumu wa baa (baamedi), akieleza kuwa uwepo wao kwenye sekta hiyo unatokana na muonekano wao na mvuto wa kipekee unaosaidia kuvutia wateja. Femi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Inaonekana Tasnia ya Muziki ina siri nyingi na machafu mengi sana.

    Msanii wa Mziki Chriss Brown amesema anachukia Tasnia ya Muziki na Mastaa wake. Sasa tukilinganisha na yeye ya Pdid na RKelly na haya ya hapa nyumbani ni dhahiri kuna ukweli na ndio maana hata baadhi ya wana muziki wa kiulizwa kama wangependa watoto wao waje kuwa wana muziki wanakataa. Mnaoijua...
Back
Top Bottom