Wakuu habari za wakati huu
Naombeni mnipe location ya vinyozi wazuri mtaani bei kitonga (achana na izi babershop unafutwa na mataulo ya maji bei juu😅
Kipindi nipo maeneo ya mikocheni nikuwa naenda kwa msela mmoja wakuitwa KATUNI alikuwa anapatikana kinondoni manyanya bei 3k jamaa alikuwa fundi...
“Wanaume wazuri wanaumia kimapenzi kuliko wabaya? Huu ndio ukweli”
Nimekuwa niki observe mahusiano mengi hapa Tanzania, na kuna kitu kinajirudia mara kwa mara lakini watu wengi hawaongelei wazi.
Utakuta mwanaume mpole, anayejali, anayeheshimu mpenzi wake—ndiye anayeishia kuumizwa zaidi. Wakati...
Watu wanazungumzia mapaja, sijui kifua n.k ila hawajui mgogo unahisia kali sana, kwa jinsia zote. na unakua na raha ya kukufaya u relax.
we jaribu leo ulale, kisha mwenza wako akushike shike mgongoni uone, au afanye kama anakutumbua chunisi au vipele, kisha utaona relaxatio and stimulation...
Salamu na salamu za muda huu ni mimi kwa mara nyingine niliye mdogo kuliko ila ni mwingi wa hekima, busara, ucheshi wa faida na maarifa yaliyo mema ninawasalimu na kuwaandikia wakuu. Itikieni mmeisikia salamu.
Ngoja nitembelee moja kwa moja kwenye mada km ilivyo ada km ambavyo kichwa cha mada...
It was not a date, just a few minutes meeting. Mara ghafla anatokea msichana , mdada, mzuri hadi naogopa, huyu ni jini au ni malaika? Otea alikuwa ni nani kati ya hawa?
Miss Natafuta, Nakubusu , Evelyn Salt Jemima Mrembo, au @mamdenyi? Hapo hujakutana na FaizaFoxy, mtu mwenye maruhani wake...
Nikiwa natembea sokoni (maeneo mengine huitwa gulioni au mnadani), katikati ya soko kulikuwa na kinjia (vile vinatengenezeka kwa watu kupita eneo hilo mara kwa mara).
Kinjia hicho kilikuwa kinatenganisha sehemu mbili za soko. Upande mmoja kulikuwa na biashara zikiendelea. Waliokuwa wanauza...
Wameua maelfu, wameseka ndani na kuteka watanzania wazuri halafu unawasikia wanasema eti siasa zetu changa kujifanya hawajui wanafikiri sisi wapumbavu
Mauaji utekaji sio siasa, wewe unapaswa kwenda jela.
Naona baada ya kukataliwa kupewa mikopo na misaada,. Sasa mnakimbilia kujipeleka Kwa warabu
Nawakumbusha warubu sio wahisani wazuri kama wazungu
Mzungu anatoa misaada mingi na masharti machache kama democrasia, haki za binadamu, kutunza mazingira n. K
Sasa huko Kwa mwarabu mtaishia kupewa...
Kongole JF kwa bwana Max ila spana zilizomo hapa tambua wanafaidika kama darasa japo ni vilaza sana serikalini ila kuna mengi wanapata na kufanyia kazi.
Kwanini mada zinazotoka JF wanakuwa shapu kama sio shapu mbona walifungia mtandao wako,Ina maana waliona na kujua makaburi yao ndio maana...
Hii duniani ya sasa ukisema unamtegemea Mungu pekee yake utakua msindikizaji hadi unaingia kaburini,
Mungu mshukuru kwa kukuleta dunia lkn waja wakitaka kukuondoa wanakuondoa hata Kabla ya siku zako.
Waja wakitaka usipate riziki hupati utaambulia hela ya dagaa tu.
Waja wakisema biashara yako...
Aaaargh watu wana maana? Hamna kitu. Dogo anashindwa vitu vidogo tu watu hata ndoa haijafika mwaka tayari... Dogo anashinda analia tu wana wana mbembeleza. Katoa talaka 3 kaona hazitoshi
Tulimwambia dogo kwanza ajaribu kukaza misuli awe sawa.na kisha aoe kilmya kimyA tu mwanamke asiwe wa mjini...
Hapo vip!
Huyu dada ameongeo ukweli kabisa ila anapingwa na wanaume wenye rangi ya shetani na wanawake waliolewa na majitu mabaya.Huo ndio ukweli penda usipende.
Waafrika huwa wanautamaduni wa kupingana na kupiga vita vitu vizuri huku moyoni wakitaka vitu hivyo hivyo vizuri..ndio maana ni...
Ijumaa Iliyopita
Nilikuwa Arusha, nikaingia sehemu ya ibada ya Ijumaa kupata neema.
Nilipofika, nikakaribishwa na kukuta madada wazuri sana wakivuta shisha.
Niliumia sana moyoni, nikabaki kimya.
Leo niko Kibaha, nikiwa natembea na macho yangu nikakutana na dada wazuri kama sita, nao pia...
Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha.
Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...
Kuna wadada wamejaaliwa utamu na kipaji cha mahaba kitandani.
Cha msingi usimtongoze kizembe, wewe ni mwanaume, mtafutaji, mnunulie iPhone 16 pro max na saa yata ya laki 5 tu, utanishukuru.
Yani unapewa kwa moyo wote na hapo ndio utaona utam wa mwanamke.
October tunatiki kumuunga mkono mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.