kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. bless on

    JamiiForums Tanzania Hii ndo safari ngumu kuliko zote Duniani

    Kuna mahali kwenye uso wa dunia ambapo mfumo wa GPS haupo, barabara zote zinatokomea, na sheria pekee iliyobaki ni ile ya kinyama: mwenye nguvu ndiye anayeishi, na mdhaifu anazikwa na matope. Amini usiamini, eneo hili si la kufikirika lipo. Linalojulikana kama Darién Gap, msitu huu wa kutisha...
  2. Khantwe

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye uwezo kuliko wewe kifedha unaweza kumpa zawadi gani?

    Habari zenu wakuu. Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

    Sijui kama na wewe umeona, nimekuwa nikichunguza familia nyingi unakuta wazazi hasa wamama kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine. Nachakushangaza zaidi sio kwamba ni kwa sababu ana mafanikio kiuchumi au tabia njema hapana ila unakuta huyo ndio anapendwa zaidi kuliko hata wale wenye tabia...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Madereva bora tufe tumesimama kuliko kuishi kwa kupiga magoti

    Mtanzania ni mpole, lakini akiamua jambo lake, utamuua tu. Jana nilikuwa naangalia vitisho vya Polisi nikabaki nacheka. Polisi wanahisi bado wanaheshimika kama zamani. Tangu waue 29.10.2025 heshima yao imeshuka. Wwanaonekakama kama wanyama mbwa mwitu.. Tunaishi nao kwa timing. Ama zetu ama...
  5. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kwenye ishu ya jezi za Taifa stars kwa ilipofikia busara itumike kuliko kutupiana maneno mtandaoni

    Waziri wa michezo makonda alisema watafytua jezi ambazo zitaenda kushindana na za sandalanda sasa hii kauli sio ya kiungwana na kistaarabu ukizingatia sandaland ana mkataba wa kutoa jezi za timu ya taifa mambo ya alishindaje tender hayana uzito sana sababu mkataba aliopewa ni halali Mimi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni

    Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni Yesu Kristo alisema, ni vigumu kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni kama ilivyo vigumu kwa ngamia kupita katika tundu la sindano. Je, Yesu alikuwa anarejelea ngamia na sindano halisi? Kama...
  7. bless on

    JamiiForums Tanzania Ujasusi: Hatari Kuliko Vita Uwanjani?

    Hakuna kazi ya hatari kama Ujasusi majukumu yake ni kukusanya taarifa nyeti kutoka mataifa mbalimbali ili kulinda maslahi ya nchi au kusaidia kufanya maamuzi sahihi kwa kuishauri serikali Ujasusi ni hatari zaidi ya Mwanajeshi kuwa katika uwanja wa vita akikumbana na risasi na mabomu kwa sababu...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Sheria ya uhaini haina faida kwa taifa, inawanufaisha wanasiasa zaidi kuliko wananchi

    Sheria ya uhaini ya sasa iko kisiasa zaidi na inawanufaisha wanasiasa pekee, imepitwa na wakati, irekebishwe isaidie kwenye nyanja za kiuchumi kama walivyofanya wenzetu wa China, Korea Kusini, Singapore, Botswana, Mauritius. Mfano leo Lissu akinyongwa taifa litapata faida gani. Sheria isomeke...
  9. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Huyu Tlaatlaah inaelekea analipwa pesa nzuri kuliko Lucas Mwashambwa

    Huyu Tlaatlaah amejitoa akili kabisa, anaishi sayari nyingine kabisa. Inaelekea ametokea familia fukara sana na ghafla ameitwa kwenye meza ya wakuu kula makombo, kama mnavyojua tena wakuu hawali wakamaliza kwahiyo wanamwachia yeye. Kwa upande mwingine bwana Lucas Mwashambwa ametokea kwenye...
  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume mnaochagua pesa kuliko uanaume?

    Kijana wa kiume unaamua kuuzika uanaume wako na kugeuzwa na mwanaume mwingine kisa pesa? Dah! Nawaza namna mtoto wa kike huwa anaulilia na wewe vivyo hivyo? Kisa pesa? Kuna haja ya serikali kuja na mkakati maalumu ya kudili na hawa watu, mtu akigundulika ni shoga tia sindano kimya kimya...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hali ya ulinzi na usalama Tanzania ni nzuri na ya uhakika zaidi kuliko nchini nyingine yoyote katika eneo la maziwa makuu.

    Na ndio maana kila uchwao, idadi ya watalii na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wanaongezeka Tanzania mwaka hadi mwaka ukilinganisha na nchi zingine za maziwa makuu, ambazo shughuli za utalii na uwekezaji zimezorota sana kutokana na kudorora kwa usalama. Lakini pia uhakika wa usalama...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mahinyila: Usaliti unaliangamiza sana Taifa kuliko CHADEMA

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA), Deogratius Mahinyila, amesema usaliti unaangamiza taifa zaidi, akisema baadhi ya Watanzania waliowahi kuaminiwa katika nafasi za umma wamewasaliti wananchi. Mahinyila amesema CHADEMA ni chama imara chenye misingi yake, hivyo uwepo wa wasaliti...
  13. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kwa nini binadamu ni viumbe katili sana? Kwa nini tunapenda sana kuuana?

    Wanasema sisi ndio God's perfect creation, ila ukiangalia kiundani hatuna hiyo perfection Yes we are intelligent than other species, yes tuna utashi lakini ndio most violent creatures on this planet Simple. Angalia vitu ambavyo binadamu wanafanya miaka nenda miaka rudi. Ulaya ni miongoni mwa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hali ya maisha ni ngumu kuliko tunavyodhani

    Leo nimeenda zahanati ya serikali bhana. Nikaandikiwa vipimo nilivyotakiwa kupima, nikapewa bili ya Sh16,000. Nikalipia na kwenda maabara. Huwezi kuamini, maabara wamechukua mkojo na damu, lakini walichopima ni malaria pekee. Ningeenda hospitali binafsi, vipimo hivyo ningetumia hata Sh6,000 tu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimefika Dar,hapa mtaani inaonekana kuna wanawake wengi kuliko wanaume

    Yaani kwa tathimi yangu niliyoiona kuna wanawake wengi sana mpaka nimebaki najiuliza sasa wanaishije,kila nikitoka inje ni wanawake tu, si wamama,vibiti,na vitoto vya kike, Tofauti na mkoani niliko toka hakuna mabinti wamejaa watu wazima hasa mabibi wajane,au ndiyo huwa wanakimbilia huku dar...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k. nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache. Watu...
  17. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Nimeangukia Demu wa Mtaani: Utamu Sijawahi ona!

    Baada ya kuachana na manzi ex wangu, nilijikuta na fall in love na manzi mmoja wa mtaani.. Tulikuwa tunapishana mara kwa mara, mtaani sa siku moja usiku tulikutana kiyepe point, so siku ile alikuwa kaagiza kidali na zege.. Mm kama kawaida yangu huwa na chukua ndizi za kukaanga na nyama choma...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA, Mkoa wa Mbeya asema CHADEMA imejaa watu wenye roho mbaya, asema uchaguzi wa chama umejaa rushwa ya kutisha

    Ukiona moshi, usidhani uko Mkoa wa Kilimanjaro, wakati mwingine ni moto unawaka chini kwa chini. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema Mkoa wa Mbeya amekiri kwamba uchaguzi ndani ya chama umejaa rushwa ya kiwango cha kutisha, kiasi kwamba aliamua ajiondoe kuogombea uenyekiti wa chama mkoa wa...
  19. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa chadema badilikeni utu ni muhimu kuliko siasa kwahiyo watu wasishiriki misiba nyie ni watu wa ajabu sana

    Chadema hakuna wazee wa kuwashauri wote wamewakimbia kwasababu wanasiasa zisizo jari utu wa watu wengine, chadema wanafanya siasa za kimihemko sana, Inakuwaje wasitake watu wahudhurie misiba? Misiba inahusiana vipi na siasa? Kwahyo mtakuwa mnahudhuria misiba ya chadema tu? Mnajiona mpo sawa...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Ni bora kuoa au kuhudumia kuliko kutoa elfu 50 kumwaga mbegu kwenye kinga kwa malaya

    Just imagine unapata namba yake kwenye social, unamtext, halafu anaforce umpigie simu sasa hivi. Sasa unaanza kuwaza, “Tutaongea nini mbele ya watu?” Unaanza kutafuta sehemu ya kujibanza ili mkutane na huyo escort sijui nini... eti anakutajia 50K! per bao 😭 Boss, 50K kwa kitendo cha dakika 1...
Back
Top Bottom