hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Hata Zanzibar pia wananchi wanalalamikia serikali

    Kumekuwa na usemi kuwa CCM inawapa maisha mazuri Wazanzibari na kuwakandamiza Watanganyika, kitu ambacho sio kweli Yani kiufupi CCM wanaboronga kote tu. Huku Tanganyika na kule visiwani. Watanzania kiujumla wanateseka chini ya hiki chama, viongozi wa Tanzania kutoka bara na visiwani wote...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mama, wasamehe Dr Hamisi Kigwangala, na January Makamba wape hata UDC au ukatibu tawala

    Mama pole kwa MSIBA wa Chicago, sijui chibaba mimi simjui vizuri yule bwana wa Zimbabwe. Namshukuru Mungu alifika Zanzibari kukufariji kwa niaba ya Wazimbabwe ingawa kwenye picha alikuwa akicheka. Kana kwamba alifurahia kifo cha Baba yetu. Mungu mwema, naye kasepeshwaa. Mama nakuomba umkumbuke...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sisi tuliozaliwa familia zenye imani mchanganyiko. Hatuonagi shida hata serikali nzima iongozwe na Dini moja

    Hamjambo! Moja ya faida ya kutokea familia zenye Imani mchanganyiko. Yaani ukoo wa Baba dini hii, ukoo wa Mama dini nyingine. Au imani mchanganyiko, tamaduni mchanganyiko ni pamoja na kutokuwa mtu wa imani kali au udini. Sisi wengine Msikitini tunaingia. Kanisani tunaingia. Usabatoni...
  4. Keynez

    JamiiForums Tanzania Dunia imebadilika sana, hata hausikii ndege zikitekwa

    Dunia ya sasa imepoa sana. Kipindi fulani cha nyuma, minyukano ilikuwa mikali sana. Haupiti mwezi watu wanapiga tukio. Mara umesikia mapinduzi ya kijeshi kule, mara wahuni wameteka ndege wakairusha hadi destination fulani salama. Wahuni walikuwa wanateka hadi treni. Yaani ilikuwa dunia fulani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tohara ya wanawake ni sehemu ya Uislamu, Mtume aliifundisha akiwa mji mtukufu wa MADINA, Aisha alikiri kutahiriwa pamoja na nduguze

    NB : Tohara za kikabila tayari zinajulikana na zipo kabla ya dini na wakoloni kufika, Tudiscuss kuhusu tohara za wanawake katika uislam. Tumezoea kuona vitendo hivi katika baadhi ya jamii hapa nchini vikifanywa kwa misingi ya kitamaduni. Hata hivyo, kwa upande mwingine, suala hili pia...
  6. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania tusingeanza ujenzi wa Industrial Parks nyingi kubwa kila pembe ya nchi hata 20+?

    Kwa nini Tanzania hatupo serious na ujenzi wa viwanda licha ya population yetu kuwa kubwa na kukua kwa kasi Kwa nini tusitake advantage ya population yetu wenyewe inayokua sasahivi tukaanza kujenga viwanda vingi nchini na kuuza products humuhumu? Kwa mfano sasahivi ingependeza uwepo mradi wa...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyama vya upinzani havishindi, na hata vikishinda havishindi?

    Vyama vya siasa vya Ulaya na Marekani vinapokezana kuongoza nchi zao sio kwa bahati mbaya tu, bali kuna mambo ya msingi ya nchi vimekubali yabaki kuwa hivyo yalivyo kama yalivyoamuliwa huko nyuma na watangulizi wao. Mfano, Pale UIngereza vyama vyote lazima visiiguse familia ya kifalme, ubepari...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
  9. idiomer

    JamiiForums Tanzania Ni nini hasa kinasababisha waziri hata mwaka hajamaliza anatolewa?

    Dkt Juma Homera aliteuliwa 18/11/2025 kuwa waziri wa katiba na sheria. 27/09/2026 Dkt Juma Homera ameteuliwa kuwa waziri wa nishati Hii inaathari gani ?
  10. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Baba levo alikua hajui mswada na hata sheria za kodi hazijui na ni mbunge

    Kuna video baba levo amepost akisema amepewa elimu ya kodi baada ya sintofahamu kutokea kati ya ommy dimpoz na afisa TRA yaani amekuwa mbunge ilihali hajui sheria za kodi usishangae hata alipokuwa kwenye kampeni alisema waziwazi hajui mswada ni nini Ukipelekwa mswada wa kodi kwa mtu ambaye ni...
  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Twende mbele, turudi nyuma, watanganyika tunazalauliwa mno, mbona sie ndo twatekwa, twapotezwa kwao hata kunguni haikuwahi tekwa?

    Mama Dr Samia suluhu Hassano, nina tumah u mzima wa Afya, na umemaliza Eda ya kifo cha mumeo salama salimini. Nina uhakika mwenyezi Mungu Baba Wa Mbinguni atakuwa amepokea dua zako ulizokuwa unamwombea Mumeo. Dr Samia suluhu Hassani mimi ni mtanganyika, mkazi wa kanyigo, jumapili ya leo...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Nchi inaweza kuwa bila Daktari kwa zaidi ya mwezi mmoja lakini haiwezi kuwa bila askari hata kwa siku 5 tu.

    Nyie ambao mlimtweza yule askari wa usalama barabarani na aliyeangushwa na yule Daktari mwenye kisukari cha kupanda na kushuka lazima mkubali huu ukweli. Jamii yoyote, mtu yeyote ana nature ya uasifa tabibu. Mtu akipata ugonjwa kama hana pesa au bima ya kwenda hospital atapata njia mbadala...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Jambo linalokera hata wewe una lako ila pia jitahidi usiwe kero kwa wengine

    kero ni kitu kinachokera sijatoa tafsiri lakini kila mtu ana kero kwa wengine na yeye pia anaweza kerwa. kama unakera jua unakerwa pia. je, ni kero gani inakukera sana inaweza kuwa moja au mbili n.k. YANGU: UNAMWITA MTU NJOO AU KARIBU TULE . UNASHANGAA KAENDA CHOONI, AU ANAPENGA KAMASI...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Lissu atafungwa kutokana na maneno yake, hata kama hakuwa na nia hiyo. Yalitokea kwenye uchaguzi ni rahisi kumhusisha nayo

    Ndugu wadau, habari zenu. Kinacho mbana lisu ni matokeo ya kauli zake, hakuonesha au kusema wafuasi wake watatumia njia gani kuzuia uchaguzi usifanyike na hilo lipo wazi. Matokeo yake Sasa, yaliyotokea siku ya uchaguzi yanaipa nguvu serikali kusema yalichochewa na kauli za lisu. Mfano ukisema...
  15. Red black

    JamiiForums Tanzania Mh.Tundu Antipas Lisu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa hadharani lazima vita itatokea Tanganyika.

    Lisu ni Icon ikitokea tu court imesema Lisu anyongwe hadi kufa vita lazima itokee wananchi wengi wanahasira sana na yanayoendelea kwenye serikali dhalimu ,isiyo na haki ya ccm
  16. Red black

    JamiiForums Tanzania Hata kama umeachana na mkeo, bado kuna nafasi yake kwenye moyo wako

    Mapenzi hayaishi bhana na wala mtalaka hatongozwi....hata kama umeachana na mke wako Bado kuna nafasi yake kwenye moyo wako hata uoe mwanamke mwingine mzuri zaidi yake. Lazima utakuwa na Griefing haiwezi kuisha kamwe.
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kosa la Makonda kwenye jezi ni kuukataa mkataba halali hata kama mbovu.

    Kama mkataba ni mbovu lakini ni halali basi ni halali hata kama ni mbovu. Kikubwa angalia wapi umekiukwa au subiria hadi umalizike.
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini Tundu Lissu ameamua kuisadia mahakama kwa kukiri kutenda kosa linalomkabili?

    Je, ameamua kutumia mbinu hii ya kukiri kosa ili kuisaidia mahakama kuokoa rasilimali muda na kuishawishi kisheria imuonee huruma na kumpunguzia adhabu kali zinazoweza kutolewa dhidi yake kwa mujibu wa sheria? Je, hatua ya tundu lisu kukiri kua alitenda kosa hilo katika maeneo mabalimbali...
  19. Marry Diana

    JamiiForums Tanzania Leo Nina furaha sana, hata kuhisi nimepitiliza

    Siwezi jizuia,nimefurahi Sana Leo,vipo vitu vingi humpa mwanamke furaha ,ni vidogo Sana,kama dressing table &room kushine vitu anavyopenda,kupata vitu Kwa wakati,kujibiwa maswali Kwa wakati lakini kumpata mwenza anayejali na kucare. Oooh tuachane na hayo,furaha yangu Leo ni kuchaguliwa na...
Back
Top Bottom