Bila shaka kila mpenda haki anajua kuwa tarehe 29/10/2026 itakuwa ni siku ya kuwakumbuka mashujaa wetu waliopambana kwa ajili ya ukombozi wa Tanganyika lakini bahati mbaya wakauwawa na hii serikali ya kikoloni
Ili kuwaenzi hawa wazalendo yafaa tupeane mbinu za kisasa za kukinukisha ili wakoloni...
Tunapoelekea kutimiza mwaka mmoja tangu tuondokowe na mashujaa wetu tunatakiwa kutathmini makundi haya ya wanaharakati wa mitandaoni. Kama raia ninayeamini katika mabadiliko, haki, na uwajibikaji, siku zote nitakuwa tayari kuunga mkono sauti yoyote halali inayopaza sauti dhidi ya changamoto za...
Watu wengine waliuliwa mabarabarani.
Wengine nyumbani.
Wengine walibebwa mahospitalini.
Wengine walifia jela baada ya kutupwa wakisubiria kesi za uhaini.
Asikudanganye mtu watu waliohusika na haya wataacha.
Au watakutengenezea mazingira mazuri ya kupata haki yako popote.
Kama mdau wa JF katika jukwaa hili huru la siasa,
Unadhani changamoto kubwa ni nini hasa, hata maandamano katika eneo la maziwa makuu na zaidi sana Africa Mashariki, kua na sura ya ushari zaidi, lakini pia kukosa kua na faida wala kuleta matokeo yoyote yale chanya kulingana na malengo,
na...
Miaka ya karibuni Chadomo wamekuwa wakidai kwamba CCM imeshindwa kuleta maendeleo Kwa sababu eti kisa hakuna Demokrasia na Katiba Mpya kama Ulaya.
Na kwamba Katiba Mpya as per Chadomo ndio muarobaini wa matatizo na huko Ulaya na USA hakuna shida kabisa Kwa vile Wana Demokrasia na Katiba nzuri...
Ni maoni yangu hakuna haja ya maandamano mengi Kwa sasa Taifa litulie kwanza
Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu
Ikiwezekana uwepo mfuko MAALUMU wa kuwakumbuka wale wote waliopata...
Wanataka siku zote adui yao awe CCM ili waendelee kubaki kututawala.
Au wanataka mpinzani soft soft leo watu wanatekwa kesho tunakutana kwenye mechi ya Simba na Yanga tunachekeana na tag juu “ Upinzani sio Uadui”, sio uadui wakati watu wanauliwa, wanabakwa, chaguzi zinaibiwa, watu hawajazika...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, amepuuza taarifa na uvumi unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuwepo kwa maandamano ya kuzuia michezo kuelekea Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), akisisitiza kuwa hakuna maandamano yoyote na kwamba...
Kuanzia mnamo tarehe 13 Septemba Syria imekumbwa na maandamano dhidi ya serikali kupinga gharama za mafuta kupanda.
Lakini mzozo unaonekana kuendelea zaidi baada ya raia kudai Alsharaa ajihuzulu kheri utawala wa Assad kuliko wake yeye kwasababu gharama za maisha zinapanda na nchi inazidi...
Habari ndugu zangu Watanzania
Mara nyingi na kwa kipindi kirefu tumekuwa tukisikia na kuambiwa kuwa Tanzania taifa letu ni kisiwa cha amani, kwamba tofauti na mataifa mengine Tanzania ni nchi yenye utulivu na amani, lakini bila shaka jambo hilo siyo la kweli tena. Kwani
Ripoti ya tume ya...
Kuna vijana watu walikuja kumsalimia kijana wangu, kwa bahati mbaya sikua nimewasikiliza mwanzo wa mazungumzo yao ila nikuta wakiwa kwenye ajenda ya maandamno, wakidai kuwa wameambiwa walinde amani.
Vijana hao walikuwa kambi ya Kibiti, nikawahoji kwa nini kulinda amani, wakanijibu kuwa...
Zaidi ya Sh178 milioni zimelipwa kama fidia kwa maafisa wa polisi waliofariki au kujeruhiwa wakiwa kazini wakati wa maandamano na protests nchini Kenya.
Kwa mujibu wa Panel of Experts on Compensation of Victims of Human Rights Violations, angalau maafisa 178 wamepokea malipo katika phases III...
Kwa mujibu wa katiba ya JMT alikuwa kiongozi wa pili baada ya raisi baada ya rais wa JMT.
Yupo wapi? Yupo hai au amekwisha toweka kama Polepole?
Taifa zima liitishe maandamano ili kujua yupo wapi?
Hii nchi sio mali ya wanaCCM mtandao.
Ikiwa Makamu Mwenyekiti (au kiongozi mkuu) wa Chadema, Tundu Lissu, atafungwa kwa kosa la uhaini, hali ya hewa ya kisiasa nchini Tanzania inatarajiwa kukumbwa na taharuki kubwa, migawanyiko ya kiitikadi, na shinikizo kubwa la kimataifa. Kesi hii inayomkabili, ambayo kwa sasa inaendelea katika...
Nimesoma mkataba wa Siri wa bandari
Nimesoma mikataba ya ujenzi wa viwanja vya afcon
Nimesoma mikataba ya barabara
Nimesoma mkataba wa bandari ya bagamoyo.
Nimesoma mkataba wa ngorongoro
Nimesoma mikataba wa makaa ya mawe,gasi na uranium kusini
Aisee ni majanga niwaambie tu nchi yetu...
Bila maamdano haki haipatikani.
Maandamano yaitishwe nchi nzima mpaka waseme po.
Katiba mpya ndio suluhu ya ufisadi na na wanasiasa wezi kama CCM mtandao.
Bila maandamano hatupati katiba mpya.
Rais William Ruto amesema hakuna Mkenya anayepaswa kupoteza maisha, uhuru au heshima yake kwa sababu tu ya kuikosoa serikali, kutoa maoni yasiyopendwa na wengi au kushiriki maandamano ya amani.
Akizungumza katika Kongamano la 16 la Katiba lililofanyika KICC, Nairobi, Agosti 27, 2026, Ruto...
Hii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha
Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.