kupambana

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Venus Star

  Formation ya leo ya Simba kupambana na Azam Mapinduzi cup (4-2-3-1)

  Timu kubwa timu la ushindi. Formation kuwaua Azam. Mchezo wetu ni dakika 90 tutakuwa tumeua mtu. Mambo ya matuta ni uto kuleee!
 2. S

  Mama na uzanzibari wake ataweza kupambana na midume hii ya bara?

  Mama Samia amejengwa na utamaduni wa wazanzibari wa "muhali". Huku bara hakuna kitu kama hicho. Jitu likikuamulia kila uchwao linaongeza mbinu za kukuangamiza. Kingine ni kwamba mijitu ya huku bara inaweza kuwa inakuchekea usoni lkn moyoni ina chuki ya kukuua Mama amejiandaa kwa yote haya...
 3. S

  Msimvimbisheni kichwa Mwingira, hana uwezo wa kupambana na Serikali

  Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama. Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo. Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua...
 4. JET SALLI

  Kama Serikali ina ubavu wa kupambana na Rushwa ya ngono, waende pale Tanga

  Ukiona watu kama GWAKISA bado wako ofisini ndio maana Kuna wakati unaona wazi KABISA CCM kweli imeshindwa kuongoza hv kweli serikali makini inaweza kuwa inatembea na mla Rushwa? Hivi mtumishi asiye na MAADILI, adabu wala nidhamu ni wa kutumikia umma wa watanzania? Huyo bwana Gwakisa tumesikia...
 5. L

  #COVID19 Ushirikiano na Juhudi za Pamoja ndiyo Suluhu kwa Afrika kupambana na Janga la Covid-19

  Mwaka wa 2021 janga la Covid-19 linaendelea kuathiri karibu sekta zote za uchumi na jamii duniani. Watu hawawezi kujizuia kuuliza, je dunia yetu bado ni mahali salama pa kuishi? Tangu kuripotiwa kwa virusi vya Corona barani Afrika, zaidi ya watu milioni saba wameambukizwa virusi hivyo, japokuwa...
 6. Nyankurungu2020

  Humphrey Polepole: Wahuni hawatashinda, CCM ni taasisi kubwa inayoweza kupambana na wahuni.

  Kitu kimoja nina hakika ni kwamba wahuni hawatashinda lakini kitu kimoja nina imani kubwa sana ni kwamba ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) pekee ndio kina uwezo wa kitaasisi na kidhamira wa kukabiliana na wahuni. Kazi ni kwetu wana CCM. #ujamaaniimani #kaziinaendelea #kataawahuni...
 7. Sandali Ali

  #COVID19 Kuuliza si ujinga: Hivi pesa za kupambana na Covid-19 zinahusikaje na ujenzi wa madarasa?

  Habari! Sina maneno mengi nakwenda kwenye mada. Hivi pesa za msaada sijui mkopo zilizotolewa na wazungu kupambana na UVIKO 19 zinatumikaje kujengea madarasa? Tumeshindwa kujenga madarasa kwa fefha zetu wenyewe huku tukithubutu kununua ndege ambazo ni gharama kuliko hayo madarasa? Je, elimu...
 8. leonaldo

  CHADEMA mtandao huu sio wakati wa kupambana na Polepole

  Kinacho nishangaza Ni kuona wanaharakati kuungana na wanaoitwa wahuni kumshambulia Polepole! Wamesahau kwenye siasa au harakati hua hakuna adui wa kudumu. Hata adui Alie kupiga jiwe Jana akitoka Leo na hoja yenye manufaa kufikia malengo yako anamuunga mkono faster ilimradi unajua amekusaidia...
 9. S

  Kwa aina ya wanasiasa kama hawa wasioweza kusimamia hoja zao za kupambana na corona unatarajia nini?!

  Hao ndiyo wanasiasa wetu wanaoamini katika maneno bila vitendo. Picha hapo juu ni mmoja wa wanasiasa machachari mno linapokuja suala la nadharia kuhusu kupambana na Corona ajabu katika vitendo ni sifuri! Hapo hana hata barakoa.
 10. Venus Star

  Suggestion: Formation ya Simba kupambana na Red Arrows

  Mapendekezo yangu. Hayahusiani na akili za UTOPOLO
 11. Sky Eclat

  #COVID19 Vitamin B12 pamoja na chanjo vina uwezo mkubwa wa kupambana na Covid

  Wataalamu wetu wanashauri tupate chanjo ya Covid, lakini waliojiongeza na kutumia vitamin B12 pamoja na chanjo waliweza kupambana na maambukizi ya Covid na kupona haraka. Kuna wakati Vitamin B12 hazikupatikana katika mtandao pendwa wa Amazon. Watumiaji waliongezeka kwa wingi kutokana na...
 12. Analogia Malenga

  #COVID19 Zimbabwe yarejesha masharti ya kupambana na Corona

  Zimbabwe imerejesha marufuku ya kutotoka nje na karantini za lazima kwa wasafiri wote huku kukiwa na ongezeko la visa vya Covid ili kuzuia kuenea kwa aina mpya ya kirusi cha Omicron. Nchi hiyo imerekodi zaidi ya visa 130,000 vya Covid na takriban vifo 4,700 tangu janga hilo lianze mapema mwaka...
 13. L

  Ushawishi wa China barani Afrika watokana na ushirikiano wa dhati kati ya pande hizo mbili

  Hivi karibuni, shirika maarufu la uchunguzi wa maoni la Afrika la Afrobarometer limetoa ripoti ya uchunguzi wa maoni, ikionesha kuwa ushawishi wa China barani Afrika unashika nafasi ya kwanza duniani, mbele ya Marekani, mashirika ya kikanda, mashirika ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika. Haya...
 14. K

  Dawa ya kupambana na ukungu na chumvi kwenye ukuta inaitwaje?

  Wadau, Nyumba nyingi zinathriwa na kuta kubanduka sbb ya chumvi na fungus. Nasigia kunadawa ya kupaka kabla ya kupiga rangi. Je, ni dawa ipi hiyo? Je, mikoani kama inapatikana? Tupeane ushauri.
 15. KndNo1

  1JZ/2JZ haiwezi kupambana na Wajerumani

  Habari zenu wadau.. Toyota fans mara nyingi tukiongelea gari moto za kijerumani kama Bimmer huwa wanarukia kwenye hizo engine kuwa ni mwisho wa matatizo.. Wazungu kuwa wamenyoosha mikono kwa hizo engine.. Hii imekuwa myth.. Leo naiburst hii myth.. JZ hizi engines zilikuja kureplace flagship ya...
 16. The Boss

  Tanzania hakuna Sheria za kupambana na "Organised Crime"?

  Kila nikifuatailia kesi za aina hii naona Serikali inasema ni upatu ... Ilianza DECI... Ikaja Mr KuKu Sasa kuna wahanga wapya wa Vanilla Swali moja najiuliza kwanini hii "Organised Crime "..inaitwa Upatu?.. Na sheria zinazotumika ni zile za mwaka 47? Polisi na Wizara ya Sheria hawaoni hapa...
 17. Bwana PGO

  Msaada namna ya kupambana na Nyoka, naanza kuchoka

  Waungwana eeegh hawa nyoka naelekea kuanza kuchoka. Hii ni Mara ya pili sasa naua nyoka chumbani kwangu. Nimejaribu kuangalia ni wapi wanaweza kuwa wanapitia kwa kweli sijaona. Niko Mkoani, kwahiyo niliamua kupanga chumba ili kupunguza gharama za Lodge kila mara maana huwa nakaa week au week...
 18. J

  #COVID19 Afya ya akili yako ni muhimu katika kupambana na COVID-19

  AFYA YA AKILI YAKO NI MUHIMU KATIKA KUPAMBANA NA #COVID19 Shirika la Afya Ulimwenguni linaeleza kuwa afya ya akili ni miongoni mwa jambo la msingi katika kupambana na janga la #coronavirus. Inaelezwa kuwa athari za janga la Corona linaweza kuzalisha hisia za wasiwasi, woga na msongo wa mawazo...
 19. B

  #COVID19 Fedha za kupambana na UVIKO19: Tenda ya Sept 29 na mwisho wa maombi Sept 30?

  Mapema leo Rais Samia akiwaapisha viongozi mbalimbali ameeleza wazi kuwa hatovumilia viongozi wala RUSHWA. Hata Siku ya Jumapili wakati akizindua mpango wa Serikali wa kuinua uchumi na kukabiliana na UVIKO19 alisisitiza matumizi sahihi ya fedha za hizo huku akiwataka wasimamizi kuzingatia sheria...
 20. Environmental Security

  Hekima ya kupambana na paka (nyau): nashauri itumike zaidi

  Habarini, Kuna hekima ya Kiafrika ya namna ya kumdhibiti paka na kumpiga akiwa kakosea, awe ni paka wako au wa jirani. Wazee wa Kiafrika wanashauri kuwa ukifanikiwa kumdhibiti paka ndani ya chumba na mkononi una kiboko mujarabu kwa ajili ya kumpa kichapo na mlango na madirisha yamefungwa...
Top Bottom