machimbo

The cavaquinho (pronounced [kɐvɐˈkiɲu] in Portuguese) is a small Portuguese string instrument in the European guitar family, with four wire or gut strings.
More broadly, cavaquinho is the name of a four-stringed subdivision of the lute family of instruments.
A cavaquinho player is called a cavaquista.

View More On Wikipedia.org
  1. chidubweeee

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua naomba mnijuze katika machimbo ya dhahabu mfuko wa mawe kg50 mpka kg70 ni bei gani kwa ajili ya kusaga

    Mwenye kujua naomba mnijuze katika machimbo ya dhahabu mfuko wa mawe kg50 mpka kg70 ni bei gani kwa ajili ya kusaga
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Nipeni machimbo ya weekend

    Jumapili nataka nika-osheoshe macho katika mji wa Shinyanga, inawezekana nikapata bahati ata ya kuokota almasi, kwa sababu mkoa huo unasifika sana kwa hayo madini. Ili nisiboreke, nitataka nipate kampani ya mtoto mmoja mzuri sana atakayenitembeza hapa na pale; malipo yake ni nyama choma na...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa Moro wamegundua machimbo ya dhahabu?

  4. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Anayepajua Mkundi mwisho Morogoro atupe ramani naskia Kuna Machimbo ya Dhahabu.

    Naombeni location wakuu kwa anayepajua
  5. papag

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya laptop

    Habari wakuu? Kama kichwa cha habari hapo juu. Huwa mara nyingi tunaona tu mitandaoni machimbo ya nguo na viatu hapo kariakoo. Na bei zake rafiki. Kama kuna watu wanafahamu machimbo ya LAPTOP na bei zake tafadhali tujuzane. ahsante sana
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya Kariakoo yapo usiku wa manane tu, mchana hutayaona utadalaliwa tu

    1. Ukitaka chimbo la bidhaa zote acha usingizi, nenda Kariakoo muda kama huu saa 8 za usiku 2. Machimbo ya bei nafuu sio Siri, yapo wazi usiku tu kuanzia saa 7,8,9 ndo utayaona 3. Usije Kariakoo saa 5 asubuhi 😂 eti oooh naulizia chimbo la vifaa vya simu, chimbo la abaya, Chimbo la Raba...
  7. Sonship

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbezi Mpigi Magoe na Machimbo

    VIWANJA VINAUZWA MBEZI MPIGI MAGOE MACHIMBO Viwanja vipo 5 Ukubwa sqm 400 kila kimoja Bei mln 10 Kila Kimoja Vipo mbezi Mpigi kituo cha Machimbo Barabara nzuri,sio kwenye korongo 0675 065906
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta machimbo ya Nafaka kanda ya Ziwa

    Salam Wana jukwaa. Mimi ni mfanyabiashara. Natafuta machimbo ya nafaka Kanda ya ziwa na viunga vyake. Nataka nipate nafaka kutoka kwa wakulima moja kwa moja au wafanyabiashara ambao Bei zao ziko chini sana Nafaka ninazohitaji ni; 1 Karanga 2 Maharage njano 3 Dengu 4 Kunde, na 5 Njugu...
  9. Tumpara Dudu

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya bidhaa za buchani

    Habari za mda huu wakuu? Kama kichwa Cha habari kilivyoeleza hapo juu. Naomba kujulishwa MACHIMBO ya jumla ya bidhaa za BUCHANI mfano samaki,nyama,kuku wa kienyeji na broiler na
  10. Whitney Houston

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya Kulangua Bidhaa za Kuuza Stationery

    Habari za weekend wanajamvi. Nipo katika mchakato wa kufungua biashara ya Stationery,nipo mkoani ila nataka kuwa nalangulia Bidhaa Mkoani Dar. Naombeni mnitajie machimbo nitakayolangua Bidhaa kwa bei rafiki ya chimbo. Bidhaa kama madaftari,counter book,gundi,marker pen,ribon za mapambo kwenye...
  11. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Naomba list ya Machimbo ya huduma ya massage inayoinclude Happy Ending

    Malegends, Naombeni list nina kazi nayo personally.
  12. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyogundua machimbo yaliyofichwa Kariakoo na kuanza biashara yangu bila kuwa na stoki, duka wala gharama

    “Kariakoo sio soko. Ni vita ya akili. Wachache wanaotoka na faida ni wale wanaojua wapi pa kuchimba.” — Sehemu ya maneno niliyosikia kwa fundi mmoja nikiwa nimepotea Kariakoo mwaka 2019. KILICHONIKUTA SIKU YA KWANZA KARIAKOO Mwaka 2019 nilikuwa na wazo tu la biashara — kuuza viatu mtandaoni...
  13. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Kwa wenyeji wa machimbo ya nguo kali kariakoo

    Kwa wenyeji wa machimbo ya nguo kariakoo msaada tujuzane wapi ntapata suruali hizi kwa bei nafuu maana huku ni 38 tunaambiwa
  14. Heritage123

    JamiiForums Tanzania MACHIMBO YA FAIDA YAPO KARIKOO: Jinsi ya Kuagiza Bidhaa kwa Bei ya Jumla Bila Kufika Dukani

    Kariakoo ni moyo wa biashara Tanzania. Watu wengi hufika hapa kila siku kutafuta bidhaa kwa bei nafuu, lakini wachache sana wanajua kuwa ndani ya msongamano huo — kuna machimbo halisi ya faida. nitakuonesha faida kuu za kuagiza bidhaa kutoka Kariakoo, hata bila kwenda mwenyewe dukani, na...
  15. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Machimbo GPT

    Habari wanaJF, Ni mimi tena, mjoli wenu. Baada ya kuwa off platform siku nyingi, sasa narejea kwa kasi fulani hivi. Jana tu nilisherehekea siku ya kuzaliwa. 38 sio haba, na bado 38 zingine, Inshallah. Kuna swali moja ambalo linajirudia humu karibia kila siku: "Nataka kununua [bidhaa fulani], ni...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya dhahabu ambayo kuna WACHINA yapo wilaya gani mkoa wa Singida na Mbeya?

    wakuu naombeni mnipe uelekeo wilaya zenye wachina kwenye machimbo au migodi ya dhahabu inayopatikana kwenye mikoa ya Singida na Mbeya NB: Kama kuna wachina kwenye mikoa ya Geita na Shinyanga mkinielekeza itakuwa poa sana wakuu.
  17. BWANA WANGU

    JamiiForums Tanzania WAPANGAJI TUKUTANE HAPA TUPEANA MACHIMBO MAKALI YA KUISHI.

    Eeeh bana habari za saa hii mkuu, heshima yenu. Nataka nikapange mitaa ya kwa aziziali, tafadhali naombeni A,B,C zenu kuhusiana na kipande icho. Asante sana.
  18. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Tupeane machimbo kunapouzwa kitimoto. Pia tubasilishane ujuzi wa mapishi

    Wapendwa, mambo vipi? Tuko hapa kibadilishana mawazo, maarifa, na kujulishana machimbo wanakouza Kitimoto 🐖🐷🐽 katika mikoa mbalimbali na wilaya zake
  19. Machimbo Explorer

    JamiiForums Tanzania Welcome to the Official Machimbo Explorer Account – Expert Mining Consultancy

    Hello JamiiForums Community, We are excited to join JamiiForums, a firm specializing in providing expert consultancy services in the mining sector here in Tanzania. We pride ourselves on delivering high-quality advice and support to all miners, from small-scale to large-scale operations...
  20. Whitney Houston

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya kulangulia Simu used za Batani (simu ndogo)

    Habari za majukumu wanajamvi!? Natamani kufanya biashara ya simu used za batani ila sijui pa kuzilangulia na garama za kulangua mzigo zipoje, humu jamvini hakuna linaloshindikana kwahiyo Naomba mnijuze machimbo ninayoweza kupata mzigo.soko la kuuzia tayari ninalo......natanguliza shukran
Back
Top Bottom