serikali

  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU-Tabora, toeni taarifa kwa umma juu uchunguzi wa mhakiki mali (Muuzaji wa minada ya serikali ya Tabora) kuhusu kuficha baadhi ya magari

    Siku ya tarehe 26 mwezi 5, 2026 mhakiki mali wa Tabora au dalali wa Serikali ambaye ni mtumishi wa Serikali chini ya hazina kaficha baadhi ya magari taktibani 5 ya mnada uliokuwa Tabora kama Land Cruiser ya OCD Tabora (lot no 4), Land Rover puma n.k zilizokuwa kwenye mnada ambayo ni kwa maslahi...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanza: Wapangaji Nyamanoro waomba serikali iingilie kati baada ya kufukuzwa katika nyumba walizopanga

    Wapangaji waliokuwa wakiishi katika nyumba namba 59, kwenye viwanja namba 169, 171 na 173, Kitalu “F”, mtaa wa Mnyampala, Kata ya Nyamanoro, Wilaya ya Ilemela, wameiomba serikali iingilie kati na kuwasaidia kupata haki zao baada ya kufukuzwa na kutolewa nje ya nyumba walizokuwa wakiishi...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Kibera Achomwa na Maharagwe Moto Kwa Kudaiwa Kuunga Mkono Serikali ya Ruto

    Siasa za 2027 zimeanza kuleta tension ground mapema. Maureen Masili kutoka Kibera anapigania maisha yake katika hospitali ya KNH baada ya kudaiwa kumwagiwa maharagwe moto kufuatia mabishano kuhusu slogan ya “Tutam” inayomuunga mkono President William Ruto. Kulingana na familia yake, ugomvi...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ya Bangladesh yaingilia kati uchinjaji wa ng'ombe 'anayefanana na Trump'

    Kuchinjwa kwa fahali aliyekuwa akisemekana kufanana na kupewa jina la utani “Donald Trump” kutokana na nywele zake kusimama. Fahali huyo, ambaye alikuwa anatarajiwa kuchinjwa wakati wa Eid, amechukuliwa na serikali ya Bangladesh ambayo imesema imechukua jukumu la kumtunza. Siku moja kabla ya Eid...
  5. JamiiForums Tanzania Wanatuonesha maziwa na matako mtandaoni kwa kigezo cha kunadi biashara ya nguo za ndani; Serikali haiwaoni?

    Kwanza nikiri huyu dada ni chuma haswa yani ni mzuri mpaka mzuri tena Ana rangi ya chocolate, macho mazuri na shape pia mashaallah anayo. Ana biashara yake ya kusimamisha maziwa na yeye mwenyewe ndiye anayefanya kama sampuli kuvutia wateja ila sasa kukaa kifua wazi kabisa bila chochote...
  6. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali itaanza lini utekelezaji mpango wa mabasi maalum ya wanafunzi? Wanaathirika na gharama baada ya mafuta kupanda bei

    Kupanda kwa bei ya mafuta kunakoendelea kumesababisha ongezeko la gharama za maisha, ikiwemo bei za bidhaa mbalimbali na huduma muhimu za kijamii. Miongoni mwa athari zinazozidi kujitokeza ni changamoto ya usafiri kwa wanafunzi, hasa baada ya kuongezeka kwa nauli za daladala na vyombo vingine...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Oktoba 29 Serikali ilitumia busara, Majeshi yalitaka kugonganishwa

    Katika mahojiano ya hivi karibuni na M&S Podcast, Mahita amesema kuwa mamlaka za kiserikali zilionesha hekima na ustahimilivu mkubwa kwa kukataa kuingizwa katika mtego wa mapambano ya ghasia, jambo ambalo lililinda na kuhifadhi utulivu wa kitaifa. Kwa kuonya dhidi ya hatari ya kuiga mapinduzi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania KERO Apps za mikopo mitandaoni, serikali ipo wapi?

    Habari za kazi ndugu zangu. Kuna kampuni mbalimbali zinazodai kutoa mikopo kupitia apps (applications), lakini matokeo yake zimekuwa zikilalamikiwa kwa kudhalilisha watu, kutoa vitisho, na kutoza riba kubwa kupita kiasi kwenye mikopo wanayotoa. Sina uhakika kama kampuni hizi zote zimesajiliwa...
  9. JamiiForums Tanzania Section No 5 kwenye muswada wa Maseneta wa Marekani ni msiba mzito kwa CCM na Serikali yake

    Ukisoma hiki kifungu namba 5 kwenye huu mswaada ambao kiuhalisia lazima baadhi ya viongozi wataingia kwenye shida hii kubwa Nimejiuliza Sana mwenyewe kuwa kwanini serikali omepaniki Sana nikaja kugundua kilichomo ndani ya hii bill ni jeneza kabisa Kwa CCM... Ebu soma hapa utapata jibu MAREKANI...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania CCM na Serikali anzeni kujiandaa kwa vikwazo

    Badala ya kuendelea kupambana na ukweli uliowazi, bora mngeanza kujipanga mtaishi vipi ndani ya vikwazo kama mgonjwa wa ukimwi anavyoishi na virusi. Kama kuna MwanaCCM ana watoto au ndugu wanasoma USA anza kutafuta shule mapema lkn sio EU, kama ulikuwa unaenda vacation US au nchi za EU sahau...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akemwa Nepotism katika ajira za serikali

    Msikilize
  12. JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa sana na serikali kutompa ushirikiano Terence Crawford na badala yake wakampa Ferdinand.

    Jamaa Terence Crawford ni bondia bora zaidi kwa kipindi hiki akiwa na mafanikio tele kwenye mchezo wa boxing na ni bondia anayetazamwa sana kwa kifupi ni bondia mwenye heshima tele kwenye mchezo wa boxing hivyo ana nguvu kubwa sana ya ushawishi. Jamaa yupo peace sana kwanza alileta taarifa ya...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ili kuitetea Serikali ya CCM ya sasa unahitaji kuwa muongo sana na usie na hata chembe ya aibu!

    Serikali yetu chini ya CCM imegeuka kuwa kituko cha Karne yaani wanadiriki kudanganya kusema uongo na kupiga propaganda ambazo nadhani hata shetani anakaa kuwashangaa.!
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA ianze kuanda viongozi watakaounda serikali maana njia ni nyeupe kuchukua dola kwa njia ya box la kura

    CHADEMA ianze kuandaa mkakati wa kuandaa viongozi ambao watakuja kuwatikia wananchi wa Tanganyika na kulinda rasilimali za Watanganyika. Vita vya namna yoyote ile huwa vinapiganwa in the field not on desk. Kwenye field sasa hivi Chadema ni chama cha ukombozi na wananchi wanataka kikae...
  15. JamiiForums Tanzania Wimbi la ‘single mothers’, wa kulaumiwa zaidi ni Wazazi na Serikali

    Siku za hivi karibuni single mothers wamekuwa wakilaumiwa, kukejiliwa na kurushiwa maneno mengi ila ukweli ni kwamba wao ni matokeo tu na sio sahihi kuwananga wao badala ya kuangalia chanzo. Ukweli ni kwamba chanzo kikubwa cha single mothers ni wazazi kushindwa kuwahudumia watoto wao wa kike na...
  16. JamiiForums Tanzania Sospeter Mtwale: Serikali imejipanga kuhakikisha biashara ya kaboni nchini inatekelezwa kwa uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa jamii

    Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM – TAMISEMI), Sospeter Mtwale, amesema Serikali imejipanga kuhakikisha biashara ya kaboni nchini inatekelezwa kwa uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa jamii ili kuwanufaisha wananchi na Taifa kwa ujumla. Bw...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali itolee ufafanuzi suala la Fedha za Kujikimu kwa Watumishi Wapya

    Ifike mahali viongozi waseme kitu maana kila siku tunaona vijana wanalalamika hawajalipwa pesa. Leo hamshauri hii, kesho huku. Inaonekana ni halmashauri nyingi hawajalipwa. Wengine wanadai toka mwaka jana. Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable Wafikishie viongozi au toeni maelezo kama mnayo...
  18. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya kuwafidia waathirika wa maandamano ya Gen Z ya Juni 2024

    Wakati serikali ya Kenya ikiwafidia Gen Z, serikali ya Tanzania inaandaa mashtaka kwa Gen Z wa Tanzania walioshiriki maandamano ya Oktoba 29. Hii ndiyo tofati ya serikali zinazojali maisha ya uhai wake. ======================== Serikali ya Kenya imetenga shilingi bilioni mbili za Kenya kama...
  19. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Awamu ya 5 kuna Kiongozi mkosoaji alishambuliwa ilionekane ni Serikali

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesayasema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa mkoa wa Iringa, katika viwanja vya kichangani. Dkt. Mwigulu yupo mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku watu wanaojifanya wasemaji wa serikali

    Habari za hasubuhi. Tanzania kuna changamoto ya watu ambao hawana nyazifa ya usemaji lakini wao wanahisi kwa sababu wanatetea chama cha mapinduzi au serikali basi wako tayri kusema lolote wanalojisikia na kusemea jambo lolote. Ikitokea mtu akadaiwa kutekwa unakuta kwenye media wanatolea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…