Serikali nchini Iran yakamata vijana 10 kwa kushangilia timu yao ya taifa kufungwa

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
12,902
15,330
Mamlaka nchini Iran inawashikilia takriban vijana 10 wa kiume kwa "kuonyesha furaha" kutokana na timu yao ya taifa kufungwa hivi majuzi na timu ya taifa ya Qatar katika michuano ya soka.

Shirika la kutetea haki za binadamu lenye makao yake makuu nchini Norway lilisema Jumatatu.

Ngoja tuone wale wayahudi weusi wa Ifakara na wamarekani weusi wa huko Mpitimbi wao wana maoni gani.
 
Hata hapa wapo watu tena wengi tu, na mimi nikiwemo, waga tunashangilia timu ya taifa inapofanya vibaya ili kubainisha hisia zetu dhidi ya tabia ya ccm na viongozi wake kutumia mpira kwa malengo ya kisiasa.

Hao vijana wa Iran wana haki ya kuamua kufanya hicho walichokifanya kama njia ya kupinga tabia ya serikali yao ya kiimla kunyanyasa watu wenye maoni tofauti na yale yanayohodhiwa na serikali hiyo ya kiimla.

Similar sentiments normally help to soothe the bitter frustrations that the disenchanted people have and that they attribute to the deeply unpopular regimes running their countries.
 
Mamlaka nchini Iran inawashikilia takriban vijana 10 wa kiume kwa "kuonyesha furaha" kutokana na timu yao ya taifa kufungwa hivi majuzi na timu ya taifa ya Qatar katika michuano ya soka.

Shirika la kutetea haki za binadamu lenye makao yake makuu nchini Norway lilisema Jumatatu.
Qatar watume makomandoo wao wakawanasue
 
Back
Top Bottom