Harufu ya upendeleo uagizaji wa mafuta; Serikali yakanusha ukiukwaji wa sheria
Kupanda kwa bei za mafuta nchini, kunakoendelea kuwa mzigo kwa Watanzania, kumezua mjadala mpana kuhusu mfumo wa uagizaji wa mafuta, huku baadhi ya wadau wakidai kuwa mabadiliko yaliyofanywa na Serikali yameongeza...
Hakika kesi ya Lissu imetusanua Watanganyika. Kwamba serikali ya Tanzania imejaa uozo kila sehemu. Kwamba sheria, kanuni na taratibu haziheshimiwi wala hazifuatwi ama kwa makusudi au kwa kutozijua! Ni fedheha kubwa kwa serikali kuwa na watendaji na watumishi ambao hawajui sheria, kanuni na...
Kamanda wa Polisi wa Pwani, Ali Nuno, ametoa onyo kali kwa wanasiasa wanaodaiwa kufadhili makundi ya wahuni (goons), akisema kuwa serikali haitaendelea kutoa ulinzi kwa viongozi watakaobainika kutumia au kufadhili makundi hayo kutekeleza vitendo vya vurugu.
Akizungumza na wanahabari, Nuno...
https://www.youtube.com/live/3r1VM5Popbw?si=5ngxqgUwSDdRvH2z
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, leo Julai 22, 2026, jijini Dodoma amefanya ziara na waandishi wa habari katika eneo la Soko la Machinga kuhusu jitihada za...
Sisi wafanyabiashara wadogo wadogo wa Manispaa ya Musoma tunatoa wito kwa Serikali, TAMISEMI na viongozi wa Manispaa kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa kila siku kutoka Shilingi 200 hadi Shilingi 500 kwa wafanyabiashara wadogo kama wauza mboga za majani, karanga, mandazi na biashara...
Rais William Ruto amefanya mabadiliko katika uongozi wa Serikali baada ya kumteua aliyekuwa msemaji wa zamani wa Polisi, Charles Owino, kuwa Msemaji mpya wa Serikali akichukua nafasi ya Isaac Mwaura.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Utumishi wa Umma, Felix Koskei, Mwaura...
Hivi mnajua kila kitu kingefanyika kwa wakati tokea kupata uhuru mpaka leo pale bungeni usingesikia habari za kuzungumzia magovi.
Kuna mambo ambayo ukipeleka serikalini ya ccm wanakwambia haya haya takiwi kwa sasa na masoud kipanya alishaeleza sana.
Mfano mmoja ambao nitakupa maana hii...
Leo ni zamu ya mkuu wa gereza kufanyiwa dodoso, na Mh Tundu Lissu Sasa huyu si atajajijambia jmn?
Kwa Nini serikali inaruhusu uzalilishwaji wa WATUMISHI WA UMMA?
Moderator msibadilishe kichwa cha habari wala kukilemba.
Tunaomba kujua na tunaka mtueleze serikali maana sasa ndio msemaji wa serikali upande wa msigwa.
Anaweza kuitisha vyombo vya habari na tunajua ukiitisha lazima uwalipe posho.Je hizo pesa anapata wapi.
Kuwa na kikundi chake cha mbwa...
Kwa zaidi ya miaka 7 sasa wafugaji wenye makundi makubwa ya Ng'ombe wa jamii ya wamang'ati na wasukuma wamevamia na kuingiza mifugo holela kwenye vijiji vilivyopo wilayani Nachingwea mkoani Lindi.
Wafugaji hao wamekuwa wakisababisha kuvurugika mfumo wa uzalishaji katika kilimo, kuua na kujeruhi...
Anonymous
Thread
imeshindwa
kuwadhibiti
nachingwea
serikali
wafugaji
Inasikitisha kijana mwenye ufaulu hafifu D nne anaenda kusoma clinical medicine awe daktari akatibu watu kweli?
Vigezo vya D vifutwe wenye sifa za kusoma iwe kuanzia angalau C
Umoja wa Walimu Wasio na Ajira (NETO) uliwasilisha taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari kuhusu kutotekelezwa kwa ahadi za Serikali na kutopatiwa majibu kuhusu changamoto zinazowakabili.
Katika kikao chetu cha tarehe 12 Machi 2025, tulishangazwa kuona baadhi ya vyombo vya habari...
Kampuni kubwa kabisa la wachina, linalojihusisha na migodi mikubwa kabisa mashariki ya Congo Zijin Mining ndio wamiliki wa meli zaidi ya nne katika ziwa Tanganyika, Meli hizo ni maarufu kwa Jina la Jin hang, na zitakuwa zikichukua makaa ya mawe kutoka bongo kwenda kwenye migodi yao mikubwa, na...
Nukuu ya mazungumzo ya kwenye video
"Wapinzani wanailaumu Serikali, wanalaumu mifumo, wanalaumu mahakama, wanalaumu Jeshi la Polisi, na kadhalika.
Lakini wanasimama viongozi wa Serikali, wanawalaumu wapinzani, wanalaumu Diaspora, wanalaumu watu walioko nje.
Hakuna anayekaa mahali pa kuleta...
Nimeona gazeti la Citizen kuwa SMZ inataka kuachana na magari ya mafuta na kuhamia ya umeme.
Uamuzi mzuri sana. Urefu wa Zanzibar ni kama kilomita 90 tu. Na upana 35km.
Mazingira kama hayo yanafaa sana gari za umeme. Hakuna jabari za range anxiety. Tena nawashauri Zanzibar waruhusu na magari...
Habari zilizopo ndani.Baada ya kila wanacho jaribu kuleta na kufanya CCM sasa wanaenda kuwatishia Benki na mitandao ya simu kuhusu account za Chadema zifungwe na kutopokea pesa.
Na utashangaa waziri anasema wamepeleleza wamegundua pesa zimetoka nchi za ambao wanataka kuharibu amani ya nchi...
Ndugu Wakuu,
Katika uzi wangu uliopita, tulijadili jinsi mzunguko usio na tija wa kodi ya mvuja jasho unavyoishia kufadhili anasa za wachache huku mtaani vijana wakipambana na ukata wa mitaji. Leo naomba tushuke chini zaidi kwenye mifumo ya kibajeti ya nchi yetu.
Tanzania ni nchi changa...
Tunapaza sauti yetu kwa heshima kuhusu ongezeko kubwa la ushuru wa kibali cha kusafisha mazao ya uvuvi kutoka kilo 50 hadi kilo 75. Uamuzi huu umetuletea changamoto kubwa sana sisi wafanyabiashara wa mazao ya uvuvi, hasa wafanyabiashara wadogo ambao tunahangaika kutafuta riziki.
Ongezeko hili...
Konstantin ni vlogger mzuri sana mrusi anayetoa habari za ndani ya nchi ya urusi lakini yeye anaishi ughaibuni. Jana kapigwa polonium! Aombewe apone, lakini nchi anayoishi haina huduma nzuri za kiafaya na ina maajenti wengi wa usuri. Nadhani anaish Uzbekistan...
wazo hili limenijia baada ya safari yangu ya kusini mwa tanzanina kuona uwanda mkubwa usio na makazi ya watu wala hifadhi, ni pori kubwa maelfu ya heka yasio tumika kwa namna yoyote.
Wazo lika nijia, kama kipindi kile cha mwalimu nyerere kulianzishwa vijiji na mashamba ya ujamaa kwa nini sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.