kufungwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri akifungia kiwanda cha nondo ambacho amekuta kikiwa na risasi na kubaini ukiukwaji wa sheria za mazingira

    Kiwanda cha kuzalisha nondo cha Hangjin Steel Tanzania Limited kilichopo Kisenvule, Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, kimefungwa kwa muda baada ya Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Reuben Kwagilwa, kubaini ukiukwaji wa sheria za mazingira pamoja na kukutwa kwa...
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Serengeti Boys kufungwa baada ya Siasa na Presha kuingizwa!

    Serengeti Boys , leo 22:00 hrs inacheza fainali na Senegal. Safari ilianza mbali na hakuna aliyekuwa anajua isipokuwa sisi wachache tuliokuwa tunaifuatilia kupitia youtube channela ya CAF WHERE TO WATCH: TotalEnergies CAF Under-17 Africa Cup of Nations Morocco 2026 Final. Wakati timu ilipofika...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Athari za Kiuchumi Oktoba 29,2025

    Tume ilibaini kwamba sekta ya elimu iliathiriwa kiuchumi pia, hasa shule za binafsi ambazo zilipoteza mapato ya ada wakati shule zilipofungwa. Walimu wa shule hizo hawakupata mishahara yao, na familia zilizowaongoza watoto wao kwenye shule za mbali zaidi pia zilibeba gharama za ziada za...
  4. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo wakristo wanaruhusu ndoa hizi kufungwa kanisani?

    Klabu ya Chelsea ya Wanawake imetangaza kuachana na Mshambuliaji wao hatari Sam Kerr raia wa Australia ambaye ameifungia magoli 115 klabu hiyo mpaka sasa akiwa ameitumikia klabu hiyo miaka sita na nusu. Miezi kadhaa iliyopita Sam Kerr alizua gumzo baada ya Kufunga ndoa ya Kanisani na Mchezaji...
  5. Da Dona

    JamiiForums Tanzania Chelsea yamtimua Kocha Liam Rosenior baada ya mfululizo wa matokeo mabovu

    Klabu ya Chelsea FC imemfuta kazi kocha wake mkuu, Liam Rosenior, kufuatia mwenendo mbaya wa matokeo ndani ya klabu hiyo. Uamuzi huo umechukuliwa leo Jumatano Aprili 22, 2026 baada ya Chelsea kupoteza michezo mitano mfululizo ya ligi bila kufunga hata bao moja, hali iliyozua shinikizo kubwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kufilisika kwa Sahara Media: Kodi kubwa za TRA zinaua Biashara au ni Usimamizi Mbovu wa kina Diallo?

    Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara imeamuru kufilisiwa na kufungwa rasmi (winding up) kwa Sahara Media Group Limited, kampuni ya Kitanzania inayojishughulisha na vyombo vya habari, huduma za uchapishaji, matangazo, na uhusiano wa umma. Wengi mtakuwa mnaifahamu kupitia Star Tv au Radio Free...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Serikali kuufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa kupisha ukarabati kuelekea AFCON 2027

    Kwani ukarabati wa Lupaso utaisha lini? Tangu mwaka 2023 Serikali iliposaini mkataba wa Bilioni 30 mpaka leo bado mambo hayaeleweki. Serikali imetangaza kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utafungwa kwa ajili ya ukarabati wa mwisho kuanzia mwezi huu (Machi, 2026) ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya...
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Sehemu nyingi Duniani zilifurahia Morocco kufungwa?

    Nadhani Morocco kuna kitu wajifunze. Jamaa pengine ile kubebwa iliwafanya wachukiwe na watu wengi. Hadi nchi za Kiarabu nyingine zilifurahia tukio hili.
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania onyo: Huwenda maandamano ya #D9 yasiwe ya kibubu kutokana na visasi, huku shughuli kufungwa mapema kuliko inavyozaniwa kabla ya #D9

    Niwe muwazi na niongelee uhalisia kuna watu wengi wali uwawa October 29 wengine wakiwa ndani kwahiyo hatuwezi kutegemea maandamano haya ya #D9 yawe ya kibubu bubu na mabango tu. Pia shughuli za nchi zinaweza kusimama kabla ya hiyo tarehe #D9 kufika.
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Taaluma ya Uwakili ndio watu wake wanaongozwa kwa kufungwa gerezani au kutafutwa na polisi

    Mawakili ndio taaluma pekee inayoongoza kuwa na bifu na polisi, na kila kukicha utasikia wakili fulani anatafutwa na Pongo, mara wakili fulani kashitakiwa kwa kosa fulani tofauti na taaluma za kada nyingine. Utasikia wakili madeleka, wakili kibatala, mwanasheria Tundu lissu, mara sijui...
  11. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Onana kwaheri Manchester United, hakuna tena kufungwa ovyo

  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mashabiki DRC wang'oa viti Uwanjani baada ya timu ya taifa kufungwa na Senegal

    Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani kwao. DR Congo walikuwa wakiongoza 2-0 kabla bao hizo mbili kuchomolewa kisha wakafungwa na jingine...
  13. bro alex

    JamiiForums Tanzania Polepole kufungwa au kunyongwa ikiwa tu...

    Katika hali ya kushangaz dada wa Pius mpweza aliekuwa msaidizi wa polepole ameibuka nakudai kaka yake haonekani. Wamemtafuta bila mafanikio yoyote, akitoa taarifa kutoka kwao kigamboni suzan kadai Pius aliaga anakwenda kazini lakini hakufika nyumbani wakati wa kurudi. Badae ,wafanya kazi wenzake...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tukio la Mtoto kufungwa na mnyororo darasani, Polisi yawashikilia Mwalimu Mkuu na Mlinzi

    Baada ya kusambaa kwa video ikumuonesha Mwanafunzi amefungwa mnyororo darasani, kama hukuiona ipo hapa ~ Mwalimu Mkuu amfungia mwanafunzi darasani kwa Mnyororo, Jeshi la Polisi limechukua hatua. MWALIMU MKUU, MLINZI WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA UKATILI Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia...
  15. Inside10

    JamiiForums Tanzania Matawi Ya CRDB Kufungwa Kwa Siku Tatu Nchi Nzima

    Benki ya CRDB imetangaza kufunga huduma katika matawi yake yote kwa siku tatu kuanzia Septemba 5 hadi 7 mwaka huu. Kufungwa kwa matawi hayo kunalenga kutoa nafasi kwa wataalamu kufanya maboresho na kuweka mifumo ya kisasa ili kuongeza ufanisi huduma zinazotolewa. Kwa mujibu wa taarifa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Vipi lile Disco la Msigwa la jana baada ya Taifa Stars kufungwa na kutolewa lilikuwepo?

    Mnijibu nijue.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Watanzania wengi kufurahia Taifa Stars kufungwa na Morocco kinapasa kifikishe ujumbe muhimu sana kwa Samia na CCM

    Sidhani kama imewahi kutokea duniani wananchi wengi kufurahia timu yao kufungwa na timu ya tafa jingine katika mashindano makubwa kama haya ya CHAN. Ni jambo la kipekee ambalo linaonyesha kuna jambo kubwa sana linatotupata Watanzania, na hatua za haraka sana zinatakiwa kulirekebisha. Namsihi...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tazama moja ya kati ya magoli bora kuwahi kufungwa na mchezaji bora wa muda wote (G.O.A.T).

    https://youtube.com/shorts/Nn26KMIKlQ8?si=9zurt8sqvi8j87R1
  19. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kamera za Usalama kufungwa daraja la J.P.Magufuli

    Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imepanga kufunga kamera maalum za usalama (CCTV) katika Daraja la J.P. Magufuli linalounganisha Kigongo na Busisi, mkoani Mwanza, ili kuhakikisha daraja hilo linalindwa ipasavyo na kudumu kwa muda mrefu kwa manufaa ya taifa. Hayo...
  20. I

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kufungwa kwa mitandao kuelekea uchaguzi mkuu je hii ndio demokrasia tunayoipigania kama nchi?

    Kwa muda mrefu tumeshuhudia kuzorota kwa ufanisi wa network katiak social media ikiwa lengo la kudhibiti utoaji wa uhuru wa maoni katika majukwaa mbalimbali kama Twitter, ClubHouse, na sasa kwenye YouTube hasa pale watu wanapotaka kujadili hali ya siasa nchini Hali hii sio tu inakiuka katiba...
Back
Top Bottom