Timu ya Wataalam iliyoundwa kwa ajili ya kuchambua hoja za wananchi kuhusu mgogoro wa muda mrefu wa mipaka ya kiutawala na mpaka wa Msitu wa Kazimzumbwi, imewasilisha taarifa ya uchambuzi wa hoja zaidi ya 60 zilizowasilishwa na wananchi 22 kwa Mawaziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa...
Kuna slogan moja kama wamejipa CCM kuwa hakiwa raisi muislamu basi maisha yatakuwa kama ya marehemu mzee mwinyi au jakaya.
Ila huyu kila anacho shika kinakwenda vibaya sijui kama 2030 tutafika vipi.
Fundi simu aliuza taarifa za ndungu yangu kwa wachapisha umbea, zikachapishwa mtandaoni kumdhalilisha.
Alipeleka simu kwa fundi, alipoanza kuirekebisha akapata dharura akamuaga kuwa atarejea baadae, ila akasema inabidi atoe nywila kwani atahitaji kuifanyia majaribio.
Mara baada ya kutoka huku...
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Taarifa kwa Wote, fuatilia mijadala mbalimbali katika kuadhimisha siku hiyo...
Ernest Sungura
Pia soma ~ Kuelekea Maadhimisho ya IDUAI 2026: Unapataje Taarifa Sahihi katika enzi hizi za Kidijitali?
“Changamoto yetu si uhaba wa taarifa, kwani...
Kabla ya redio ukieleza habari utaulizwa hayo mambo umeyatoa kwenye vitabu.
Ilivyokuja redio ukieleza utaulizwa umeyatolea kwenye redio.
Ilivyokuja TV nayo hivyo hivyo.
Ilipokuja internet nalo swali linakuja umeyatolea kwenye mitandao.
Imekuja AI bado wanauliza lile lile swali.
Sasa wewe...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu madai yaliyachapishwa katika mitandao wa kijamii hususani mtandao wa Jamii Forum kuhusu urejeshwaji wa fedha ya ada iliyozidi kwa baadhi ya wanafunzi baada ya kumaliza masomo.
Chuo kinapenda kuufahamisha umma kuwa, kwa...
TAARIFA KWA UMMA
KUKANUSHA TAARIFA YA KUDHALILISHWA KWA MWALIMU OMARI SALIMU ALLI
Mwalimu Omari Salimu Alli ni mtumishi katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha aliyeajiriwa tarehe 01/04/2014. Baada ya ajira alipangiwa kituo cha kazi shule ya Sekondari Karansi ambapo amefanya kazi kwa muda wa miaka...
Ninashangaa juu ya hizi habari kuwa Nchimbi wa CCM yupo kifungo cha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Abdul Jumbe.
Hii adhabu hutolewa na nani? Na kwa nini wananchi hawana taatifa kam
Baada ya kusoma maelezo ya wakili Matata, hiyo ndivyo nilivyoelewa.
Kwahiyo, mpaka hapa, Lissu aliitega mahakama na mahakama ikaingia kingi ingawa nashindwa kuamini kuwa mahakama haikuona hii kasoro.
Swali ambalo bado linaumiza kichwa changu, ni kuhusu CDF ns IGP kusemewa na DCI na...
KUFANYA HARUSI NA MWANAMKE ALIYEMEZA MIKIA MINGI NI KUJICHORESHA NA KUJIZIMA DATA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
ANGALIZO; Mada hii sio nzuri kwa watu ambao hawana bikira na hawajaolewa. Na pia waliooa ambao wanawake wasio bikira. Na vijana wenye wachumba ambao hawakuwakuta bikira...
Wakuu kama tunavyojua TMA walitabiri kuwa mwaka huu Oktaba mpaka Desemba pia inaweza kuendelea mpaka February 2027 mvua kubwa za msimu wa vuli zitanyesha kupita kiasi (Super Elnino).
Kanda ya Ziwa, Kaskazini na Pwani wanategemea hasa kupata mvua hizi. Aidha wataalam, serikali na viongozi wa...
Ndio tujiulize! Sasa hivi wao wanapuyanga tena mahakamani kwa kutoa taarifa za mtu za siri bila kuiomba mahakama kufanya hivyo?
Jee itakuwaje kwa Hao waliotoa hizo taarifa?
Hizi njia za mkato bila kujali sheria jee tutashangaa siku ikitokea serikali ikifungua Maduka ya kuuza mihandarati, Bange...
Tunapoona ACT kama chama cha siasa wanatoka hadharani kuhoji ni wapi alipo Dr.Nchimbi, basi huenda tayari wana taarifa ya wapi alipo au ni nini alifanyiwa kiasi kwamba haonekani hadharani.
Tusisahau mambo kama haya ni kete kwa vyama vya upinzani dhidi ya chama tawala hata kama ACT...
Well , taarifa za Dr. Emmanuel Nchimbi (PhD) kuhusukujiuzulu zilianza chinichini hadi Gazeti moja likapigwa ban , mwisho wa siku ni kweli Daktari Nchimbi akalazimishwa kuachia Ofisi - Ni taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Kifo cha JPM kilianza kama drama na upotoshaji, baadae ni kweli JPM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.