serikali

  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Maudhui mfano za dotto magari kwa huko mbeleni serikali mtaanza kubebembeleza wazazi wapeleke watoto wao mashuleni

    Dotto magari ni sumu ambayo imeshawaingia wazazi na vijana ambao nao mbeleni kwa hali iliyopo sasa ya ziaka kuwa wasomi hawana mafanikio ni hatari. Hatari ni kama wasomi wanamaliza ni wengi hupatikanaji wa ajira ni mgumu,wakupendeleana na wa kujuwaana. Hatari hii sasa wazazi wengi na vijana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wasira: Serikali yetu ni halali kwa sababu imechaguliwa na wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa CCM, Nephew Wasira akizungumza katika mahojiano na TBC leo
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi aishauri serikali kutokimbizana na makala za nje

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema kuwa mjadala unaoendelea kuhusu makala za Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) haupaswi kuwa kipaumbele cha serikali, kwani maudhui yaliyoandikwa na chombo hicho ni kidogo sana ikilinganishwa na ukubwa wa...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pongezi Serikali Yetu Kutonyamazia Upotoshaji wa Media za Mabeberu Kutubagaza, Let's Be Proactive Rather Than Reactive, Tuwaambie Ukweli Wote!.

    Wanabodi Hili ni bandiko la pongezi kwa serikali yetu ikifanya jambo lolote zuri la kustahili pongezi, tuipongeze, na ikifanya jambo lolote baya la kustahili kukosolewa tuikosoe kwa constructive criticism, ukosoaji wa kujenga, sio ukosoaji wa kuzodoa au kubagaza. Juzi Jumapili tarehe 12...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Rais Samia Suluhu

    Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alisema: “Tutasaidiwa kuiharibu nchi yetu, lakini hatutasaidiwa kuijenga tena. Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kuilinda.”
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je serikali imefanikiwa kuungwa mkono na watanzania wengi?

    Kwa mawazo yangu serikali haijafanikiwa na umashuhuri wa Rais Samia umeshuka sana. Kutoka uhalali mpaka kuwa fake!. Kutoka kusifiwa 2021-2022 mpaka kuitwa muuaji na fisadi. Tafuteni njia bora ya kuweka usawa wa watanzania badala ya kutegemea nchi ya kipolisi
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni ngumu sana kuimiza teknolojia ambazo kuungwa mkono hata serikali inaweza kugoma ndio maana tunaishia kukimbiwa na wazawa

    Shida ni elimu zetu ndio maana napata tabu sana elimu kuandika ila kwenye sayansi na teknolojia na siasa hapa unidanganyi. Kuna marehemu dada mmoja kipindi cha magufuri aliwahi kufanya research na kugundua ni kama gonjwa ila serikali ili mfanyia figusi na kufuzwa ila alichukuliwa na wenzetu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: Makala ya BBC haina ushahidi. Tutachukua hatua kulinda uhuru, heshima na usalama wa nchi

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAKALA YA BBC Serikali imesikitishwa na makala iliyochapishwa leo tarehe 13 Julai, 2026 na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kupitia kipindi chake cha "BBC Africa Eye" ambayo ime-beba maudhui ya upande mmoja, yaliyokosa ushahidi thabiti, yenye upungufu wa taar-ifa...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia imefulia? Imeanza kujibebea fedha za Wananchi zilizopo Benki. Eti inataifisha

    Serikali imesema kuanzia Julai 2025 hadi Machi 2026 imetaifisha mali mbalimbali zilizopatikana kwa njia ya uhalifu. Mali hizo ni pamoja na fedha taslimu TZS bilioni 2.9, dola za Marekani 903,875, hati fungani tatu zilizopo Benki Kuu zenye thamani ya TZS milioni 490, nyumba na viwanja 46, magari...
  10. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Samia: Vijana wanamezeshwa sumu kuchukia Serikali

    Samia amesema kuwa baadhi ya Mataifa makubwa duniani hayafurahishwi na kasi ya maendeleo ya Nchi zinazoendelea, huku wakiwalaghai Vijana kuhujumu Mataifa yao. Samia ameyasema hayo leo Julai 13, 2026, wakati akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali pamoja na Wakuu wa...
  11. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Samia: Vijana wanamezeshwa sumu kuichukia Serikali.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa baadhi ya Mataifa makubwa duniani hayafurahishwi na kasi ya maendeleo ya Nchi zinazoendelea, huku wakiwalaghai Vijana kuhujumu Mataifa yao. Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 13, 2026, wakati akizungumza katika...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwaaminisha vijana wa Kiafrika kuwa serikali zao hazifati haki za binadamu

    Tais Samia amesema kuwa Tanzania wanafuata haki za binadamu kikamilifu. Hayo ameyasema Rais Samia leo, 13 Julai, 2026
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu video za uchi na ngono mitandaoni na vipindi vya luninga

    SERIKALI IRUHUSU VIDEO ZA UCHI NA NGONO MTANDAONI NA VIPINDI VYA LUNINGA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sisi ni wanadamu. Watu wapo wachache. Watu wanahaki ya kuwa binadamu kama ilivyo binadamu walivyo na haki ya kuwa watu. Sisi sio Malaika na haitakuja kutokea tukawa Malaika. Hiyo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ameigiza ila ndio uhalisia wa wa Kiongozi mmoja wa Serikali ambaye anapenda kuwadanganya watanzania

  15. R

    JamiiForums Tanzania Adv. Madeleka: Hakuna Jaji anayeweza kuwa huru kama alikuwa msaidizi wa Rais. ~ 50% ya majaji walikuwa mawakili wa serikali. Hawawezi tenda haki

    Sikiliza shule ya haki with regard to our Judges. Huwezi kutenda haki kama uliteuliwa na Rais kuwa Jaji. Majaij duniani kote wanaomba kazi ya Ujaji kwa kupitia well regulated strict interview. Msikilize Peter Madeleka, Wakili
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kimataifa yanakwenda taratibu lakini yana madhara makubwa sana serikali zindukeni

    Haya mambo huenda taratibu sana lakini madhara ni makubwa Jumuia ya madola ilimtuma Chakwera viongozi wetu wakampiga siasa wakajua wamemtuliza kumbe aliandika hati chafu leo hii tunaona tamko la jumuia Najua kama kawaida yetu na serikali sikivu hii watakuja watu kede kede kuifokea...
  17. Msanii

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa kisiasa unavyotukwamisha Watanzania kuwa Taifa bora, imara na serikali inayowajibika

    Habari za wakati huu wanabodi. Hiuu ni mtazamo wangu ambao ninaamini ni muhimu sana kwa muktadha wa sasa wa kijamii na kisiasa. Uzi huu umeandikwa kwa lugha ya staha, uchambuzi wa kina, na mtazamo wa kujenga ili kugusa kiini cha tatizo. MAJUKWAA YA GIZA: Namna Unafiki wa Kisiasa Unavyokwamisha...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ina wananchi wazuri kupenda nchi yao ila imefanywa kuwa nyumba za watu wachache kuwa nchi yao

    Sio kwa ubaya ila mada hapa JF zinaangiwa mpaka kuna wataalamu wa lugha wanajitokeza kutafuta kiswahili ni sahihi jambo linaro sema ukweli. Kuna mikoa ambayo inapatikana gesi na mpaka sasa wanajeshi wapo wamejazana. Leo pale dodoma kuna uranium ya kutosha mshapeleka urusi. Kuna makahaa ya...
  19. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Ni muda wa kujitafakari kwa kina kama taifa sababu dalili sio nzuri haiwezekani GenZ na Millenials wote wasiipende serikali iliopo madarakani

    Jana nilikuwepo pale Mlimani City kwenye usiku wa Bongo fleva, audience ilikua ni vijana wa zamani (millenials) kwa wingi. Na hao hao ndio waliozomea pale Mwana FA alipoingiza mambo ya serikali. Ukiingia mtandaoni na mitaani utakuta GenZ hawaikubali kabisa serikali. Je tunaelekea wapi kama...
  20. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Wamemzomea Naibu Waziri wa habari, sanaa, utamaduni na michezo, Mwana FA alipotaja Serikali ya Awamu ya Sita, kwenye tamasha

    Aaaaaaah uyoooooooo aaaaaah shukaaaaaaaaa
Back
Top Bottom