Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wafanyabiashara ndogo maarufu kama Machinga kutumia fursa wanazopata kujiendeleza na kuachana na biashara ndogo, akisema lengo ni kuwawezesha kukua hadi kuwa wafanyabiashara wakubwa na walipakodi.
Akizungumza leo, Oktoba 7, 2026, wakati...
Baadhi ya maeneo mfano gongo la bonto walichokifanya siyo kuwandoaa,bali Ile barabara ya watembea kwa miguu ,wameigawa katikati mfanyabiasha atapanga bidha asivuke ktkt ya hilo eneo ,na Kuna meza nzuri wamechonga.
Ukitazama ni ubunifu mzuri
Swali langu lengo la kujenga Barabara / Road reserve...
Naomba kupaza sauti kuhusu suala linalotukabili baadhi ya wachimbaji walioshiriki katika mchakato wa safari ya Canada kupitia Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA) kwa lengo la kwenda kujifunza, wamekula fedha zetu na hawataki kuzirejesha.
Washiriki tulitoa fedha...
Kati ya mwaka 2025 na 2026, Serikali imeendelea kuwawezesha wachimbaji wadogo kupitia mafunzo na upatikanaji wa maeneo rasmi ya uchimbaji. Jumla ya vijana 1,239 wamepatiwa mafunzo ya uchimbaji salama, utunzaji wa mazingira na uchenjuaji, huku maeneo 99 ya vitalu yakitengwa rasmi kwa ajili ya...
Mbunge Ado Shaibu Ado akizungumza katika mkutano wa hadhara wa Kijiji cha Ngapa, Kata ya Wilaya ya Tunduru katika Mkoa wa Ruvuma amesema Wananchi walipogundua madini na kuanza kuchimba kama wachimbaji wadogo, Serikali badala ya kuwawezesha kwa teknolojia na mitaji ili faida ibaki ndani, inaenda...
Tumekuwa tukiona juhudi za kuboresha maeneo ya biashara kwa wafanyabiashara wadogo kwa kuwekwa vibanda vya maturubai na wakati mwingine kuezekwa kwa bati kwa gharama zinazotolewa na wafanyabiashara wenyewe. Hili ni jambo zuri na la kupongezwa kwa kuwa linasaidia kuboresha mazingira ya biashara...
Anonymous
Thread
biashara
maeneo
mbezi
mbezi mwisho
mwisho
uboreshaji
wadogo
wafanya biashara
Wananchi na wanunuzi wadogo wa felo katika eneo la Mgodi wa Msasa, Runzewe, Geita, tunaomba msaada wa mamlaka husika kutokana na changamoto kubwa inayotukabili katika shughuli zetu za kila siku za kujipatia kipato.
Kwa kawaida, tunaponunua felo kutoka migodini, tunapeleka kwenye Steka kwa ajili...
Habarini za asubuhi wana jukwaa,, niende moja kwa moja kwenye mada yangu:
Hivi ninyi watu au tuseme wateja mnao fika ofisini kwa mtu/dukani na kuanza kupepesa macho yako huku na kule kutafuta kitu flani na baadae kuondoka kwa kujisemea kwamba kitu hicho hakipo huwa mnajielewa kweli?, kwanini...
Wake za watu tulizeni nyapu zenu kwa waume zenu, mnajirahusisha kwa vijana wadogo, wanawapelekea moto mnapagawa, waume zenu wakigundua vijana watu wanaingia kwenye matatizo makubwa.
Nanyi vijana wa kiume, waepukeni wake za watu, ukidakwa mo safi ni halali yako.
Sisi wafanyabiashara wadogo wadogo wa Manispaa ya Musoma tunatoa wito kwa Serikali, TAMISEMI na viongozi wa Manispaa kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa kila siku kutoka Shilingi 200 hadi Shilingi 500 kwa wafanyabiashara wadogo kama wauza mboga za majani, karanga, mandazi na biashara...
Kuna mama fulani wa makamo anauza genge maeneo ya karibu na mtaani kwangu. Ni mama mcheshi kiasi. Huwa napita kununua matunda kwahiyo nimezoeana nae kidogo.
Wiki kadhaa zikizozipita, wikiend moja katika kutembea tembea mtaani kwangu kusalimiana na majirani. Nikafika gengeni kwake. Nikaagiza...
Kwangu mimi niliweza ku-save lakini sio kiasi kikubwa sana hadi namaliza chuo ni kama naanza upya
Sasa nimekutana na mdada katika story mbili tatu ananiambia pesa ya Boom ndio iliyomfikisha hapo, kiukweli na biashara anayofanya na zile pesa za kila baada ya miezi miwili ni mbingu na ardhi...
Sauti za vilio, hofu na taharuki zimekuwa sehemu ya simulizi za wachimbaji wadogo katika maeneo ya Nyandolwa na Mwakitolyo, mkoani Shinyanga. Ni maeneo ambayo chini ya ardhi yake kuna matumaini ya dhahabu, lakini juu yake kuna wingu la vifo vinavyojirudia mara kwa mara.
Katika kipindi cha miaka...
Hofu ya Kiafya Inayozidi Kutokana na Maji Yasiyo Salama
Wakati mradi wa maji wa Shilingi bilioni 4, Kata ya Mkwajuni, Wilayani Songwe ukisubiriwa kwa hamu kubwa kuanza kufanya kazi, hofu ya kiafya inazidi kuongezeka miongoni mwa wananchi wa Kata hiyo.
Wananchi wanabainisha kuwa maji...
Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi za kibiashara, hasa kwa wafanyabiashara wadogo wanaotaka kuanza au kukuza biashara zao. Ukweli ni kwamba, kuna aina fulani za biashara ambazo zina mzunguko mkubwa wa fedha (high turnover) — yaani bidhaa au huduma zinauzwa kwa kasi kila siku.
Kama unatafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.