kuongoza nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Hayati Magufuli alikamata kila mwenye akili ya kuhoji, alitaka kuongoza nchi ya Wajinga tu, Hata hivyo ilishindikana

    Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo...
  2. M

    Ni dhahiri CCM na Serikali yake wameshindwa kuongoza nchi. Taifa letu limegeuka "A Failed State"

    Huhitaji kuvaa miwani ya uoni mkubwa kuweza kuona dhahiri shahiri kuwa nchi yetu imefeli, tena imefeli kila idara. Hakuna jambo lenye nafuu katika nchi yetu. Kila kitu ni bora liende, nchi inaporomoka kwenye korongo na ni kama hakuna anayejali. 1. Miaka zaidi ya 60 bila ya umeme wa uhakika...
  3. Erythrocyte

    CHADEMA yaanza kuongoza Nchi kabla ya kuongoza, yaelekezwa wapewe tasrifa haraka

    Hatimaye Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimetambuliwa rasmi kama chama kiongozi na kuagizwa kipewe maelezo kuhusu kila hatua ya maendeleo inayofanyika Nchini Tanzania. Tuliwahi kuandika humu na kwingineko kwamba Chadema ndio inayotoa Dira na mwongozo wa nchi, nadhani sasa mnaanza kuthibitisha.
  4. Heparin

    Hashim Issa: Rais Samia na chama chake wameshindwa kuongoza nchi, waondoke Madarakani

    Katiba ya Warioba ishakulinda wewe, ishakutoa kwenye lawama, kwamba wewe hulaumiwi na CCM sababu hii ni katiba waliyoitaka watanzania. Lakini, kwanini huwatakii mema wafaidika wa mwanzo wa Katiba hii, ndugu zako Wanzibari? Sisi ndio tutafaidika mwanzo sababu sisi tumefungwa jela, tumefungwa...
  5. Burkinabe

    Matokeo ya viongozi dhaifu kuongoza nchi kubwa

    Wakati Babeli inaanza kuwa Taifa kubwa, haikuwa na raslimali nyingi kama vile madini, bandari, maziwa, eneo zuri la kijiografia, idadi kubwa ya watu, mbuga za wanyama, n k. Raslimali kubwa iliyokuwa nayo Babeli mpaka kufikia kilele cha mafanikio yake iikuwa ni uongozi imara na ubunifu wa raia...
  6. L

    Mafanikio ya Rais Samia yanawatesa waliokuwa wanaomba ashindwe kuongoza nchi

    Ndugu zangu Watanzania, Mafanikio makubwa kiuongozi aliyoyapata mh Rais ndani ya muda mfupi wa uongozi wake yanawaumiza na yamekuwa mateso makubwa sana kwa Baadhi ya watu. Yameleta mateso ya moyo ,presha ,hofu,chuki,vinyongo na Dua mbaya kila uchwao. Usione watu wakiropoka ropoka na kuongea...
  7. K

    Kweli CCM imeshindwa kuongoza nchi?

    Kuna mtu anaitwa Thadei Ole Mushi, ni mwana CCM kweli kweli; aliwahi kuandika manen haya; Miaka 60 ya Uhuru tumeshindwa kabisa kusimamia rasilimali zetu wenyewe. Migodi tumeitoa kwa Wazungu, Misitu tumeitoa kwa Mwarabu, Posta tumeitoa kwa Mwarabu, Misitu tumeitoa kwa mwarabu, Gesi tumeitoa kwa...
  8. Boss la DP World

    Pendekezo: Tuombe Nchi ya Marekani Ituletee Watu 100 kuja kuongoza Nchi yetu

    Maendeleo hayana ubaguzi, kwakuwa ndani ya miaka zaidi ya 60 tumeshindwa kufanya mapinduzi kwenye sekta hata 1 niombe kwa heshima na taadhima tuiombe nchi ya Marekani itupatie vichwa 100 vitusaidie kutengeneza mfumo utakaoleta matokeo haraka na kutengeneza katiba mpya yenye tija. Kwanza hao...
  9. dubu

    Waziri Masauni ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamadi Masauni, ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi na zenye mrengo wa kutaka kuligawa taifa, ambapo amesema serikali haitavumilia vitendo hivyo. == Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi...
  10. D

    Swali kuhusu uwezo wa CCM kuongoza nchi

    Wakuu kuna sehemu nimekuta hili swali, na likanifikirisha sana. "Kama CCM imeshindwa kusimamia bandari ambayo hata haizidi kilometa 10 mpaka wanaamua kubinafisisha je wataweza kweli kutuongoza watanzania ambao tuko mil 60 hadi tupate maendeleo tunayostahili?"
  11. R

    Nikisikiliza hii clip nazidi kuelewa kwanini hayati Magufuli na sasa Rais Ruto anakutana na ugumu katika kuongoza nchi

    Habari JF, Hayati mwalimu Nyerere, JPM na sasa Ruto hawatofautiani sana mitazamo yao kuhusu Mabeberu. Tazama hii clip kuna vitu vingi utajifunza vilivyo tokea na vinavyotokea sasa kama Msamaha wa bure wa Mbowe, Maridhiano, Operation ya gharama kubwa ya 255, maandamo nchini Kenya na mengine...
  12. kwisha

    Pendekezo langu kwa nchi yangu ni ili

    Pendekezo langu kwa nchi yangu ni kuwa. Ili kuwa kiongozi wa nchi. Ni lazima utimize masharti haya Cha kwanza unatakiwa uwe na kiasi cha dollars milioni 5+ Unatakiwa uwe na biashara halisi ambayo inakuingizia pesa Izo. Kwa ufupi uwe mfanya biashara ambaye una mafanikio Ndo tunakupa nchi...
Back
Top Bottom