Wakuu kwema? Twende moja kwa moja kwenye mada.
Watu wanaotumia lugha hii ni wachache ukilinganisha na wengine tunaoweza kuwasiliana kwa sauti/maneno. Kutokana na hii, watu wenye ulemavu huu wa kusikia hupitia changamoto kubwa toka watoto mpaka ukubwa wao.
Fikiria uko na mtoto mwenye changamoto...
Salaam!
Hakuna jambo baya kama ushabiki au ufuasi katika dunia hii ya leo. Tumeshuhudia wengi wamefariki, wamejeruhiwa na kupoteza heshima kwa jambo linaloitwa itikadi, dini na siasa, imekuwa ni changamoto kubwa katika dunia yetu.
Nakuomba uhubiri amani kama ilivyo jinsia yako na lea kila...
Kuboja Lugira, mtanzania mwenye ulemavu wa kusikia ameendesha baiskeli yake kwa kilomita 961 kutoka Tanga kwenda Mbeya akitumia siku tano kwenda kushiriki maadhimisho ya wiki ya viziwi duniani akiwapa hamasa wengine wenye ulemavu kwamba inawezekana.
Lugira, baba wa mtoto mmoja amesema...
Salaam Wakuu,
Sisi KKKT Dayosisi Mashariki na Pwani Katika ushirika wa Boko Jimbo la Kusini Magaribi, tumeadhimisha ibada ya siku ya Viziwi.
Ibada inaongozwana Mkuu. Wa jimbo Mchungaji Godlove chagulilo.
Wakalimani wapo kama wote.
Je, Makanisa mengine mnakwamba wapi kuwahudumia watu...
Habari za alasiri hii ndugu wana JF, naandika kwa kughadhabika kinamna kutokana na upuuzi unaofanywa na baadhi ya wazazi huku mamlaka husika (Jeshi la Polisi) likiwa doro tu.
Kuna huu utaratibu wa kuwapeleka watoto wadogo shule kwa kutumia usafiri wa boda boda. Mzazi anamkabidhi mtoto kwa...
Baada ya kimya cha Mda mrefu Huyu Mheshimiwa muongo muongo ameanza kujitokeza na ngojera za hapa na pale. Ana tu please mara tuwe na Imani na serikali Sijui Mkataba haujasainiwa. Bla bla
Sasa mpka.mnasaini Mkataba wa makubaliano Kwa Nini hamkuzingatia Sheria na maslahi ya Taifa Toka mwanzo...
Hizi ndiyo zile nchi sasa akiziita Trump lile jina letu pendwa. Mola akawalinde ma commissioner hawa waliosimama imara na katiba ya nchi.
Yale yale ya kura pigeni mnakotaka ila washindi tutatangazwa sisi.
"Chebukati names top govt officials who wanted to influence Presidential results...
Kuna mwenye masikio mazima ambaye hajayasikia manung'uniko ya wananchi? Au basi hata yupo mwenye kutokujua ni nini kinachohitajika kufanywa hadi sasa?
Si tulidhani labda wanasikia nusu nusu? Tukashauriana kuongeza sauti?
"Serikali 'sikivu' Inaposikia nusu nusu"
Kwani lipi wamesikia hata...
Mkalimani na Kiziwi wanatakiwa kuwa kwenye eneo lenye uwazi na mwanga ili alama za mawasiliano ziweze kuonekana na kutafsiriwa kwa usahihi. Mkalimani lazima awe mbobezi kwa kundi au Jamii anayoitafsiria kwa kufahamu lugha yao na utamaduni wao.
Mkalimani anatakiwa kuwa na ujuzi wa mambo mengi...
Utangulizi
Uziwi ni hali ya upotevu wa usikivu. Hali hii hutokana na sababu mbalimbali kama vile magonjwa,ajali,uziwi wa kuzaliwa nao,kuishi sehemu yenye baridi sana na uchafu wa masikio.
Kwa nchi ya ulimwengu wa tatu kama Tanzania Viziwi na walemavu kwa ujumla ni watu waliosahaulika. Ni watu...
MKalimani wa lugha ya alama ni mtu aliyesomea fani ya lugha ya alama na kufaulu ukalimani. Ukalimani wa lugha ya alama ni fani kama zilivyo fani nyingine kama uhasibu au udaktari.
Kwa mujibu wa chuo kikuu cha Dar salaam mpaka mwaka 2020 kimefundisha wakalimani takribani mia moja nchini. Ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.