Adobe imekuwa ikilalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kutokana na gharama za usajili na ada za kughairi huduma.
Brandon Thomas ametumia uwezo wa AI kutengeneza programu zinazolenga kuchukua nafasi ya bidhaa mbalimbali za Adobe zitazokuwa bure na wazi, bila kuhitaji kulipia usajili. Watumiaji...
adobe
bomu
bure
duka
gani
google
google pixel
hata
iphone
kiwango
kufungua
kutengeneza
makampuni
makampuni ya simu
mbadala
mmoja
mtu
mtu mmoja
n.k
nuclear
photoshop
pixel
premiere
pro
simu
software
wameshindwa
Mkitaka kujua hakuna Mtawala anayewapenda Watanzania, utawagundua wakati wa matatizo. Kuna mtu mmiha wa huko Zimbabwe kafa sijui na mie wake, kila Kiongozi wa Tanzania kuanzia anayejiita Rais na wanaojiita Mawaziri wanamlilia hadi wanadiliki kwenda kuzika.
Lakini Morogoro ajali ya Magari imeua...
Leo nimejionea kwa macho yangu pale Makao Makuu ya Ofisi ya Rais, Utumishi (OR-Utumishi), Dodoma, na kuthibitisha kwamba, kwa uzembe uliopo pale ofisini, hakuna mtu yeyote anayewaadhibu Maafisa Kazi na Maafisa Utumishi waliopo pale UTUMISHI-HQ. Ndiyo maana hawawajibiki ipasavyo.
Si Rais, Waziri...
Wanasema sisi ndio God's perfect creation, ila ukiangalia kiundani hatuna hiyo perfection
Yes we are intelligent than other species, yes tuna utashi lakini ndio most violent creatures on this planet
Simple. Angalia vitu ambavyo binadamu wanafanya miaka nenda miaka rudi.
Ulaya ni miongoni mwa...
Peter Madeleka:"Sasa kwa nini kwenye tukio hili kubwa, tena ambalo linahusisha mauaji ya watu zaidi ya mia tano, Polisi hawafanyi kazi yao, TISS pia inafanya kazi gani? Eh? Kwa hiyo kwenda kujificha kwenye kivuli kwamba kuna Tume yenye sura ya kimataifa, kuna majaji kutoka Uganda, na wengine...
Ayoub rioba afrika imeshakua na madikteta wengi sana ila cha ajabu wameshindwa kuondoa umaskini na kutengeneza taasisi imara kwenye nchi zao
Sasa unavyosema chanzo cha matatizo ya afrika ni madikteta ni wazi hujasoma historia ya bara la afrika
Moja kwa moja kwenye mada.
Wilayani Ukerewe kumekuwepo na wimbi kubwa na wizi wa kuvunja maduka na vibaka mitaani hasa usiku.
Hivi karibuni kumekuwepo na wimbi kubwa la watu kuvunja maduka na kuingia kuiba pesa. Wezi hao wanapitia kwenye paa, wanakata nyaya za cctv kamera na kuiba pesa.
Pia...
Show ya miaka 30 na muendelezo 24 mamba kuhusu mashoga kuzibiti ni kama kila mtu anaangalia maisha yake na muda wake.
Dudu baya endelea na msimamo wako maana umri wako si wadunia ni bonus za mungu.
Nimeshangaa wasanii wengi wakipewa muda na vipindi kuhusu swala la dudu baya na nani kawatuma na...
Leo, tarehe 7 Julai 2026, Jiji la Dar es Salaam limeshuhudia mtihani mzito wa kisaikolojia baada ya barabara kuu kuwa tupu na maduka mengi kufungwa, kufuatia hofu ya maandamano yaliyohamasishwa na wanaharakati lakini yakapigwa marufuku na serikali. Hatua hii ya serikali ililenga kuzuia ghasia na...
Kuna mtu kila fikra itakayotoka imejaa negativity
Kila comment atakayotoa ni ya masimango na udharilishaji
Kila hoja atakayo toa imejaa uchungu.
Ukiwa leyman, utadhania wewe ndio mwenye tatizo lakini kumbe ni mtoa hoja au ushauri ana teseka ndani yaani ni SADISTIC.
ISHI MAISHA YAKO, MATUSI...
Hawa LATRA Arusha ni kama wana share kwenye vyombo vya usifiri au kuna bahasha wanapitiziwi ili wakae kimya.
Nauli mpya zimeanza kutumika mei mosi, ila cha ajabu Arusha ndio sehemu pekee Dalaladala wana kiwamgo chao cha nauli nje ya nauli zilizo tolewa na LATRA na mbaya zaidi LATRA wapo...
Kuna mbinu mbalimbali wanapewa watu ambao wanataka kuacha pombe.
Mfano wa hizo mbinu wanazopewa lakini mwisho wa siku wanarudi kulekule ni hizi.
1)Kupunguza kiasi cha unywaji.
Hapa ushauri wanaopewa ni kupunguza idadi ya pombe au siku za kunywa pombe.
Mfano kama alikuwa anakunywa bia 10 kwa...
Ina maana kweli Samia hana anayemheshimu?
Nakumbuka Nyerere alipomuweka ndani Mshelisheli aliyesema serikali ameiweka mfukoni, walikuja watu kumuomba Nyerere amsamehe, akakataa! Akaja Askofu Makarios wa Cyrus. Nyerere akasema huyu siwezi kumkaidi. Akatoa sharti. Kuwa aondoke nchini nikimuachia...
Kwa idadi ya wamechinga 7000 kwa 20,000 kwa mwaka ni kiasi gani hapo sasa mlikurupuka na mipango yenu ikaishi ukingoni ,kama mngeendelea kusanya buku 20 leo mngekuwa nazo ngapi zisingetosha hata kununua kununua panadol
Naomba muendeleze mambo ya Magufuli mnyonge mnyongeni haki yake mpeni .
Watanzania wanajielewa vizuri sana na siyo wajinga kamwe. Kila mtu ameshukuru Mungu kwani mabaya yote yaliyokuwa wakiwazia mashetani yameshindwa mbali sana na amani imetawala.
Watanzania wamegoma kutumika wamechagua Amani. Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa. Nasimama na Mama
Ni wazi kabisa, mtu wa kwanza kulalamikia Muungano ni raisi wa kwanza wa Zanzibar. Kifo chake kilihitimisha matumaini ya Wazanzibari kuvunja muungano na kupata uhuru wa kweli
Muungano umekuwa ukilalamikiwa tokea kipindi hicho hadi leo
Waliyopitia Wazanzibari wakati wa uchaguzi na maandamano ya...
Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma ,jini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando Maarufu Baba Levo akizungumza Oktoba 19, 2025 kwenye mkutano wa kampeni na wananchi wa Businde namna Mchakato wa yeye kuchaguliwa kuwa Mgombea wa Jimbo hilo kutokana na kiwango chake cha Elimu licha ya...
Angalia hawa nyumbu Flashscore, eti wanaonesha Simba amefungwa wakati gemu bado ni zero-zero.
Moderators wao sijui amekunywa chang'aa, au anavamiwa nyuma kwa pupa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.