Sisi wafanyabiashara wadogo wadogo wa Manispaa ya Musoma tunatoa wito kwa Serikali, TAMISEMI na viongozi wa Manispaa kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa kila siku kutoka Shilingi 200 hadi Shilingi 500 kwa wafanyabiashara wadogo kama wauza mboga za majani, karanga, mandazi na biashara...
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mara Agness Marwa ameendelea kuonesha tabasamu kwa ajili ya wajasiriamali wadogowadogo ili waweze kujikwamua kiuchimi.
Mbunge huyo amedhamini wajasiriamali hao kupata mikopo ili wawezekupatiwa mikopo hiyo hisiyokuwa na riba kwa lengo la kukuza uchumi wao.
Awali...
Salam kwenu wakuu.
Nimeanzisha uzi huu tuweze kupeana connection za kimaeneo na fursa zilizopo kwa sisi watafutaji na watu wa kujilipua.
Karibuni tujadili
Kwa upande wangu nipo tukuyu. Fursa za ndizi, na tangawizi zipo za kutosha.
Ofisi ya Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, imewakilishwa na Kerryn Mbatude katika kikao na Benki ya CRDB kilicholenga kuzindua rasmi ushirikiano wa kuwawezesha wananchi wa Buchosa kiuchumi kupitia mikopo kwa wajasiriamali.
Akizungumza kwa niaba ya Mbunge, Kerryn Mbatude amesema Shigongo...
Blackberry zilikuwa simu pendwa sana miaka ya 2000. Kila mtu aliyekuwa akimiliki simu hizo alionekana kuwa wa kishua au mtu mwenye hela.
Zilikuwa simu nzuri sana kiasi kwamba Nokia naye akaamua kuleta Nokia Asha ilimradi tu zifanane kimuonekano. Blackberry ltd ilianzishwa na marafiki wawili...
Hii ilikuwa ndoto yangu ya siku nyingi sana na sasa Mama Samia kaitimiza. Binafsi nilikuwa nakerwa sana jinsi mikopo ya halmashauri na mingine ya serikali ilivyokuwa ikitolewa. Ilikuwa haina mfumo mzuri kwenye kutoa hali iliyokuwa inatoa mianya ya watu kujipigia na kutoirudisha. Mimi siamini...
Nicomed Bohay - EFTA
Taasisi ya fedha Equity for Tanzania (EFTA) imezindua hatifungani ya Sh50 bilioni kwa ajili ya kukopesha vifaa vya killimo, usafirishaji na ujenzi.
Akizungumza katika uzinduzi huo leo Februari 10, 2026, Mkurugenzi Mtendaji wa EFTA, Nicomed Bohay amesema kuwa wamefikia hatua...
Hanan Ahmed, mmoja wa wajasiriamali 66 wa Ethiopia waliohudhuria warsha ya Programu ya Uwezeshaji wa Ujasiriamali wa Wanawake Duniani (GFEEP) inayofadhiliwa na China huko Addis Ababa, nchini Ethiopia, alikamilisha programu hiyo akiwa na moyo wa mafanikio na ujuzi mpya alioupata katika masuala ya...
Hizi ni propaganda na miradi ya Serikali, sidhani kama ni akili zao timamu :COFFEE:
Vijana kwa sasa tunapanga Disemba 9 kudai haki
-------------
Vijana wajasiriamali kutoka Mkoa wa Dar Es Salaam wametoa wito kwa Vijana wengine nchini kuienzi na kuilinda amani ya Tanzania na kujiepusha na...
Nina waomba wanaharakati, vijana, vijana wa vyuo, wafanyakazi, wajasiriamali na wananchi wote kwa uzalendo wetu 29/10/2025 ni maandamano ya nchi nzima wa Tanzania wenzangu, tunapitia wakati mgumu ambapo ufisadi na rushwa vimezidi kuathiri maisha yetu ya kila siku.
Miundombinu yetu ambayo...
Mgombea Mwenza wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema iwapo CCM itashinda uchaguzi wa mwezi October, Serikali ya Chama hicho itatenga shilingi Bilioni 200 na kuzitoa kama mikopo ya Vijana na Wajasiriamali Nchini.
Nchimbi amesema sambamba na hilo, pia watarasimisha shughuli za Wajasiriamali...
Mwenyekiti wa Mamalishe Tanzania, Havijawa Omary, amewaomba viongozi wa wajasiriamali wa Mkoa wa Singida kumsemea vizuri Rais Samia Suluhu Hassan, mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ili ashinde kwa kishindo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Akizungumza jana...
Wakati Rais Samia Suluhu anaingia madarakani Wajasiliamali waliopewa mikopo binafsi (Personal loans ),thamani ya mikopo hiyo ilifikia jumla ya TZS 7Trilioni miaka minne baadae mikopo hii imefikia jumla ya TZS 14Trilioni sawa na ongezeko la TZS7Trilioni au 200% pia ni ongezeko la mara mbili...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Albert Chalamila ameipongeza Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kuwaelimisha wajasiriamali wa mtandaoni kuhusu fursa zilizopo na namna wanavyoweza kushirikiana na taasisi hii kubwa zaidi ya fedha nchini kujikwamua kiuchumi.
Pongeza hizo zilitolewa mwishoni mwa wiki...
Rais Samia ametumia TZS26,61bn kujenga Soko Kuu Mwanza linalochukua wafanyabiashara 1,400 na maduka 500, maegesho ya magari zaidi ya 190 kwa Pamoja.
Madhumuni ya Rais Samia ni kuongeza mapato ya ndani kwa halmashauri pamoja na kuhamasisha shughuli mbalimbali za kibiashara Ukanda Mzima wa ziwa...
Jana nilienda ofisi ya kata kukutana na afisa maendeleo. Lengo langu ni kuingizwa kwenye mfumo wa wajasiriamali wadogo wadogo ili niweze kupata kitambulisho ambacho baada ya kusajiliwa unalipia 20,000 kila baada ya miaka mitatu.
Cha kushangaza ni kwamba inatakiwa niende kusajiliwa...
KAMPUNI ya mawasiliano ya Yas, imezindua rasmi jukwaa la Anzia Ulipo Biashara Expo, katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama Sabasaba.
Lengo ni, kuwa jukwaa mahsusi kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali chipukizi kuonyesha biashara zao na kupata ujuzi wa kukuza shughuli zao...
Serikali kupitia Halmashauri inatoa mikopo kwa ajili ya vikundi vya wajasiriamali na mikopo hiyo haina riba wakati ni kwa ajili ya biashara, maana yake wanufaika wanapata faida, lakini mikopo inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kwa ajili ya wanafunzi (ambao kwa sasa hawana uhakika wa ajira...
Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.