Ahadi is an Iranian surname. Notable people with the surname include:
Ahadi (The Lion King), a character from the fictive world of The Lion King
Mina Ahadi, Iranian Communist political activist
Reza Ahadi, Iranian footballer
Kwa heshima na kwa kuzingatia umuhimu wa taasisi hizi katika maendeleo ya viwanda, teknolojia na ubunifu nchini, naomba kuwasilisha hoja hii kwa Serikali kuhusu mpango wa kuunganisha TEMDO, CAMARTEC na SIDO.
Mpango huu si jambo jipya. Umekuwa ukijadiliwa na Serikali kwa miaka kadhaa...
Tunduru – Mwananchi wa Kijiji cha Mkwajuni, Tunduru Kaskazini amemweleza Mbunge wake Ado Shaibu Ado kwa undani kero ya ng’ombe kuharibu mashamba, huku akirejelea sana ahadi ya Waziri Mkuu.
Katika mkutano huo uliofanyika tarehe 28 September 2026 katika Kijiji cha Mkwajuni, mwananchi huyo alisema...
Ahadi za mwana TANU
1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja
2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma
4. Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa
5. Cheo ni dhamana. Sitakitumia cheo changu wala cha...
Mimi sio mashabiki wa siasa
Ninacho penda ni real changes sio kubwabwaja tu.
Je, kwa kinacho endelea na vuguvugu hili la kisiasa kuna any possibilities ya any changes any soon?
Au ndo tunajiburudisha tu kama miaka yote? Na CCM watarudi na kitu kipya? Na kutufunika macho kama kawaida yao?
Je...
"...Mimi ni mwanachama CCM, mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ambaye hakubali uonevu, hakubali utekaji na ambaye hakubali ufisadi. Mimi nimedhamiria kusimama na wananchi mpaka mwisho..."
Hii ndio kauli iliyowakwaza watawala waovu wa serikali dhalimu ya Samia Suluhu Hassan na CCM yake hata...
Mapema mwezi Januari 2026, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, alisema Wizara ilipatiwa kiasi cha Shilingi bilioni 2 ambacho kingewawezesha watengenezaji wa maudhui mbalimbali mitandaoni kuimarisha kazi zao na kuongeza kipato kupitia majukwaa ya kidijitali.
Makonda...
ACT Wazalendo imesikitishwa na taarifa na kauli za Serikali zinazotolewa kupitia vyombo vya habari, majukwaa mbalimbali na Bungeni kuhusu mwenendo wa ugharamiaji wa huduma za afya nchini, hususan utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote.
ACT Wazalendo imefanya tathmini na kubaini kuwa, licha ya...
Dk Elizabeth Sanga
Chama cha ACT Wazalendo kimesema utekelezaji wa ahadi ya siku 100 ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Bima ya Afya kwa Wote umeshindwa kuwafikia wananchi wengi, huku kikidai kuwa watu maskini wanaendelea kukosa huduma muhimu za matibabu na vipimo vya kibingwa.
Katika tathmini...
Barabara ya Lemara imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu, licha ya kuwa kila kipindi cha uchaguzi baadhi ya wagombea wa udiwani wamekuwa wakiitumia kama sehemu ya kampeni na kuahidi kuiboresha. Hata hivyo, hadi sasa hakuna hatua za maana zilizochukuliwa kuboresha barabara hiyo.
Mara kwa mara...
Anonymous
Thread
ahadiahadi hewa
barabara
hewa
kati
kero
kero ya barabara
ubovu
ubovu wa barabara
Jana mo kaongea mengi lakini tujikumbushe ahadi zake kabla na baada ya kuingia Simba.
Kabla ya kuingia Simbq alisema anataka kuifanya Simba ishindane na Mazembe ambayo wakati huo ilikuwa kiwango cha juu pamoja na Al ahly ya Misri pia alilalamika kwanini Simba inauza wachezaji wake wakati anataka...
Ahadi ni deni.
kama kitu huwezi sema siwezi sio unaanza kutoa ahadi za uongo.
Fake promise zitakugharimu vibaya sana yule uliemuahidi unamuachia maumivu makali sana.
Nipe cv yako kuna mahali ntaconnect na utafanikiwa 100% kumbe uongo.
Jitolee hapa kwa mwaka mmoja after that tutakupa kazi ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni, Bi. Anastazia Tutuba, akimkabidhi Toroli Bi. Coleta Benedict ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, alilolitoa wakati wa Mkutano wa hadhara wa kusikiliza na...
1. Uchumi ukikaa vizuri nitaongeza mshahara
2. Mmeona wenyewe corona ilivyotikisa dunia, fedha hakuna
3. Uchumi ukiimarika nitaongeza mshahara.
4. Vita ya Ukraine na Urusi imeharibu Uchumi
5. Vita ya Irani na Israel misaada hakuna kabisa
Leo nimenunua kifurushi kwa kutumia M-pesa kupitia menu ya vodacom ambapo walieleza wazi kuwa mteja atarudishiwa sh 75 baada ya ununuzi.Nimefuata maelekezo yote na nimekamilisha muamala,lakini hadi sasa sija pokea marejesho hayo
Naomba kujua kama kuna mda maalum wa kusubiri au kama hii ni...
Kuna haja kwa mamlaka husika kufuatilia kwa karibu kinachoendelea katika baadhi ya programu za incubation kwa vijana wabunifu zinazoendeshwa chini ya Atamiz/CBE. Kila mwaka vijana wengi hujiunga na programu hizi wakiahidiwa kupata msaada wa kukuza biashara na ubunifu wao kupitia mentorship, seed...
Wana-JamiiForums,
Nimefika kikomo cha uvumilivu. Naandika post hii kwa hasira, masikitiko na maswali mengi ambayo naamini mimi siyo mhanga pekee katika nchi hii.
Mnamo mwaka 2020, nilikamilisha taratibu zote za usajili wa Kitambulisho cha Taifa (NIDA). Nilipigwa picha, nikatoa alama za vidole...
1. Utangulizi
i: Wimbi Jipya la Utumwa wa Kidijitali
Ulaghai Mtandaoni: Matangazo ya kazi feki yameshamiri kwenye mitandao ya kijamii.
Walengwa Wakuu:
Vijana wasomi, wanaojua kompyuta, na wanaozungumza Kiingereza vizuri.
Maeneo Hatari:
Nchi za Kusini-Mashariki mwa Asia (Cambodia, Myanmar...
Ni, Ubia wa PPP wa Dola Milioni 116: Vituo vya Ukaguzi wa Vyombo vya Moto Kujengwa Mikoa 26
===
Dar es Salaam – Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuvutia mitaji binafsi kupitia ubia wa sekta ya umma na sekta binafsi (PPP), baada ya kusainiwa mkataba wa thamani ya Dola za Marekani milioni 116...
Iran hoiiiiiiiii..... Ritz alikuwa anakuja na vinyuzi vyake uchwara... Mara imepandisha bendeera nyekundu, mara imesema itaifuta Israel. Israel bado ipo mpaka leo na inaendelea kusambaza kichapo kwa magaidi wa Kipalestina.
Iran haijatimiza ahadi yake... Imejichokea kiasi Rais anaomba wananchi...
Watoto wanaoishi katika mazingira magumu, bodaboda etc walipewa fedha kati ya TZS 10,000-50,000 katika kipindi cha kuanzia Tarehe 12-28 Oktoba na mafunzo kwa ahadi ya Ajira na vipato zaidi
#NeverAgain
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.