bwawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP): Hayawi hayawi sasa yamekuwa

    Katika mazingira yenye wingi wa taarifa kutoka vyombo vya habari na tofauti za mitazamo, mafanikio halisi na miradi mikubwa ya maendeleo hubaki kuwa kigezo cha kuaminika zaidi cha kutathmini asili ya mahusiano kati ya mataifa. Hii ni kwa sababu huakisi ukweli uliopo ardhini na kiwango cha...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tundu Lissu: Nimesikia Mbowe yuko kwenye uzinduzi wa bwawa, wakati Mwenyekiti wake yuko Ukonga

    Kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu inaendelea Jumatatu Agosti 24 ambapo mshtakiwa anajitetea mbele ya mahakama. Lissu: Ukiangalia miaka kabla ya 2020 tume imekuwa ikifanya hivyo. Lakini 2020 kuna matokeo ya urais hayakuchapishwa. Sina uhakika kama ya mwaka jana...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni hujuma? Siku moja baada ya bwawa la JNHHP kuzinduliwa umeme unakatika

    Tangu saa kumi mpaka sasa tunasubiri kuangalia mechi kati ya Azam na Pamba Jiji. Umeme umekatika nchi nzima. Habari tulizoambia kuna mega watt 2115 ni kama kupiga ndulu tu.
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Munisi: Bwawa La Nyerere ni Injini ya Ajira kwa Taifa Zima

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Evaline Munisi, amesema kukamilika kwa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP) ni fursa kubwa ya kiuchumi itakayogusa maisha ya Watanzania wote, wakiwemo wakazi wa mijini na vijijini. Dkt. Munisi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania JPM hatajwi kabisa inavyostahili kwenye hili jambo la bwawa la umeme

    Salaam! Ni kweli,hii ni ndoto ya Mwalimu Nyerere iliyobadilishwa kuwa uhalisia na Rais wa awamu ya tano ndugu JPM ambaye alimwachia kiti chake Daktari Samia Suluhu Hassan Ajabu katika Kila kinacjofanyika hakuna mtu anataka kulitaja jina la mtekelezaji wa ndoto.Wasemaji wote wanaanzia Kwa...
  6. Etwege

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaipiku Kenya kama mzalishaji mkubwa wa umeme. Aibu kwa Muhongo, Nape, Zitto

    Rais Magufuli alipotangaza ujenzi wa bwawa la umeme kuanza mara moja bila kujali sura ya mtu alipata upinzani mkali sana kutoka ndani ya nchi na nje ya nchi. Nje ya nchi gazeti la economics lilikuwa linakuja na makala ndefu kuonyesha kuwa huo mradi ni white elephant na utasababisha madhara...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Bwawa la Julius Nyerere, Agosti 22, 2026

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani. Viongozi mbalimbali wameungana na Rais...
  8. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Je haiwezekani katika bwawa la rufiji wakapandikizwa sato?

    Ili watanzania baada ya miaka miwili wafaidi kitoweo hiki adhimu sana na kinono?... Bila kufanya biashara ya kuwalisha na kupata gharama za ziada, yaani waishi katika misingi ya asili, je linawezekana? #Wajuzi mtujuze! -SATO -SANGARA
  9. D

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Kidunda: Mradi mkakati wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji inaendelea kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro, mradi unaosimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), unaotekelezwa kwa gharama ya shilingi bilioni 335. Mradi huu ni...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Bwawa la nyerere limeishia wapi ?

    Kwa mtindo wa kila kiongozi kuanzisha chake na kukiuwa cha mwenzake ili yeye kuwa bora ni hatari kwa taifa. Zile elephant project kama sio magofu sasa naona zinelekea kuwa vyuma chakafu.
  11. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Serikali iache Uongo. Walisema kufikia Juni 2026 Bwawa la Kidunda litakuwa limekamilika

    Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu mwaka jana walijitapa kuwa bwawa la kidunda litakamilika kufikia June 1 2026 Tena wakijitapa kuwa mradi upo asilimia 40 kwa wakati ule Leo hii ni june lakini ndo kwanza mradi wanasema upo 50% means kwa miezi 7 yote wamejenga 10% tu means kwa hesabu ya haraka...
  12. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Bwawa la Kidunda ni mradi wa kimkakati kwa Maji, Kilimo na Nishati

    ‎ ‎Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndugu Gerson Msigwa, ameipongeza Wizara ya Maji kwa usimamizi madhubuti wa ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda, akieleza kuwa mradi huo ni miongoni mwa miradi mikubwa ya kimkakati Nchini inayotarajiwa kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya maji, kilimo, nishati na...
  13. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Mto wami kujengwe bwawa la umeme na kwa matumizi ya viwanda na wananchi

    Moja ya mambo ambayo ni muhimu ni kuhakikisha mto wami unajengwa bwawa mfano wa lile la Nyerere Hii inawezekana sababu bonde la mto wami ni kubwa sana na liko under-utilized na bwawa likikamilika litakuwa na faida kubwa sana Litazalisha umeme Litaondoa kero ya maji wilaya ya chalinze, handeni...
  14. danmarc

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mashamba karibu na mto, ziwa au bwawa lisilokauka mwaka mzima, kuanzia hekari 5-40

    Habari wadau usikeni na kichwa cha thread hapo juu , nahitaji shamba kwa ajili ya ufugaji na kilimo lenye chanzo cha maji cha uhakika mwaka mzima , lenye ukubwa wa heka 5 mpaka 40 , liwe mkoa wowote lakini ikiwa mikoa ifuatayo itapendeza zaidi : RUVUMA , IRINGA , SONGWE , MOROGORO Nawasilisha
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Bwawa la Mwalimu Nyerere limesababisha hasara ya Tsh. Trilioni 1.48

  16. Vedasto Prosper

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu tume ya taifa ya umwagiliaji akagua bwawa la ujenzi Mkomazi

    <Ujenzi wafikia asilimia 85, <Asisitiza kuzingatia muda na ubora wa ujenzi Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji(NIRC), Bw. Raymond Mndolwa, amefanya ziara ya kikazi katika bwawa la kilimo cha Umwagiliaji la Mkomazi lililopo kijiji cha Manga Mtindiro, Wilaya ya Korogwe, mkoani...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kama Mto Wami ukijengewa bwawa kubwa la Maji,Dar haiwezikujitosheleza kwa maji?

    Hili ni wazo langu kama mto Rufiji ulivyojengewa bwawa,hawawezi kuujengea na Mto Wami bwawa ili uweze kuhifadhi maji kipindi chote cha masika kuliko kuacha maji ya mvua yakipotelea baharini? Nawakilisha,ikiwezekana hata maji ya mto Jangwani nayo yajengewe bwawa
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ethiopia, Bwawa la Umeme kubwa zaidi kwa fedha za ndani na michango huku CCM wakichangisha Bil.86 kwa ajili ya Kampeni alafu tuunanuna Umeme Ethiopia

    Siku zote nasema. Bila kuwaondoa CCM madarakani, Tanzania tutakuwa tunacheza biashara ya pata potea kila siku. Nchini Ethiopia, Serikali yao wamekamilisha ujenzi wa Bwawa la Umeme kubwa zaidi Afrika kwa kutumia fedha za ndani na michango ya Wananchi wao hasa Diaspora. Hayo yakifanyika, hapa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwauwasa Mwanza hamuyaoni maji haya?

    Hili ni bomba la maji lililosahaulika kutoka enzi za Zakhiem wakati wa ujenzi wa barabara. Liko maeneo ya Mkolani Nida. Limekuwa kero maana maji yanatiririka muda wote na kutuama kama bwawa.Inasemekana mamlaka inataarifa na hili lakini haijachukua hatua ya kulifunga bomba hilo labda kwa sababu...
  20. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania China kujenga bwawa kubwa zaidi duniani Tibet kwa gharama inayozidi bajeti ya mataifa kadhaa Afrika

    China imeanza maandalizi ya mradi mkubwa wa ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme kwenye ukingo wa mashariki wa jimbo la Tibet, katika mto Yarlung Tsangpo. Bwawa hili linatarajiwa kuwa kubwa zaidi duniani, likigharimu takriban dola za Kimarekani bilioni 170, sawa na takriban TZS trilioni 443.5...
Back
Top Bottom