matukio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la matukio ya mauaji linasababishwa na kutokutekelezwa kwa adhabu ya kifo kwa miaka mingi

    Kila kukicha matukio ya mauaji haswa mauaji yatokanayo na migogoro/ wivu wa kimapenzi yameongezeka sana. Wahanga wakuu katika mauaji hayo ni wanawake. Inaonekana pamoja na sababu zingine lakini sababu kuu ya kushamiri kwa matukio ya mauaji inasababishwa na kutokutelelezwa kwa adhabu ya...
  2. Alvin_255

    JamiiForums Tanzania Vivuli vya Mpakani: Mkasa wa Marubani, Usaliti wa NATO, na Jinsi Matukio ya 2015 Yanavyosahaulika Kwenye Siasa za Kisasa.

    Baada ya ndege ya kivita ya Urusi aina ya Su-24 kuangushwa na Uturuki tarehe 24.11.2015 Urusi ilipatwa na wasiwasi kuhusu marubani wake wawili ambao walifanikiwa kuruka kutoka ndani ya ndege yao wakiwa hai muda mfupi baada ya ndege ya kivita ya Uturuki aina ya F-16 kuishambulia ndege yao...
  3. Miguel Felix Gallardo

    JamiiForums Tanzania BONGO NCHI YA MATUKIO

    Wenyewe wanakwambia, Bongo Tz kununa utaamua mwenyewe. Leo mitandao yote ni Kujadili CONNECTION!! CONNECTION!!!KAMA TUMELOGWA, HII TAIFA LA SODOMA NA GOMORA. WTZ TUMEFIKIA POINT OF NO RETURN KWENYE UHAYAWANI.MISEMO KAMA "AIBU UTAONA WEWE" INATHIBITISHA HILI. Hapa hakuna maombi wala nini hapa...
  4. Miguel Felix Gallardo

    JamiiForums Tanzania Bongo nchi ya Matukio

    Wenyewe wanakwambia, Bongo Tz kununa utaamua mwenyewe. Leo mitandao yote ni Kujadili CONNECTION!! CONNECTION!!!KAMA TUMELOGWA, HII TAIFA LA SODOMA NA GOMORA. WTZ TUMEFIKIA POINT OF NO RETURN KWENYE UHAYAWANI.MISEMO KAMA "AIBU UTAONA WEWE" INATHIBITISHA HILI. Hapa hakuna maombi wala nini, hapa...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Haya matukio ya mauaji ya wanawake ndani ya wiki moja tunaenda wapi wee mapenzi?

    Mwanasheria Keneth Nkiko (28) anatuhumiwa kumuua Magreth Richard (22), mfanyabiashara na mkazi wa Manispaa ya Musoma. Uchunguzi wa awali kutoka Jeshi la Polisi, umebaini chanzo cha tukio hilo ni wivu wa mapenzi ambapo mtuhumiwa alikuwa akimtuhumu mpenzi wake huyo kuwa na mahusiano na wanaume...
  6. 7scom

    JamiiForums Tanzania PAMOJA NA MATUKIO MATATU YA MAUAJI SABABU YA MAPENZI WIKI HII ILA BADO WANATUHITAJI SANA

    Mchezaji wa soka wa kike wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania, Athenea Del Castillo, amefunguka kuhusu maisha yake binafsi, akieleza kuwa umaarufu wake wakati mwingine huwafanya wanaume kusita kumkaribia. Athenea amesema watu wengi humwona kama mtu ambaye ni vigumu kumfikia, licha ya yeye...
  7. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Afya ya akili yanasababisha wivu wa mapenzi na matukio ya kikatili

    Matukio ya watu kuuana kisa wivu wa mapenzi yamekuwa mengi , kuweni makini na watu mnaoingia nao penzini wengine wana matatizo ya afya ya akili.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Facing El Chapo: Movies ya kusisimua matukio ya ukweli wa kukamatwa kwa El Chapo

    Mnamo Januari 8, 2016, wakati wa operesheni ya Kikosi Maalum cha Jeshi la Wanamaji la Mexico ya kumkamata "Cholo" Iván Gastélum—mmoja wa wauwaji wakuu wa Sinaloa Cartel — maafisa wawili wa Polisi wa Shirikisho , Arturo Carmona na Héctor Rosales walisimamisha gari jekundu aina ya Ford Focus...
  9. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Before JPM kuondoka…. Kulikuwa na matukio mengi sana ..iliogopesha

    Wakuu tusiogope kifo ….. kifo ni sheria ya asili na wala tusisheherekee kifo cha mtu maana wote sisi ni wapitaji …. It is just a matter of Time Nimekumbuka before kifo cha JPM wale watu wa karibu wote wa JPM walichunguliwa sana na kupanguswa. Tuliambia ni korona ila baada ya Mkuu kutoweka…...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Balile: Wasijulikana kwa sasa wamepungua au wamepotea hadi msamiati huo kwa sasa umesahaulika kama panya road

    Kibanda: Balile amezungumzia sana kuhusu Jamhuri na kazi anazofanya. Aliyekuwa Makamu wa Rais, Dr. Emmanuel Nchimbi, alizungumza kwenye shughuli moja kuhusu haja ya katiba mpya. Na Balile akaandika makala akimpongeza Makamu wa Rais Nchimbi. Na akasema kile alicho fanya kilikuwa ni sahihi. Labda...
  11. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Polisi na vyombo vya habari wamewekewa filter za kutangaza matukio na idadi ya watu.

    Kutokana na kashi kashi ya October 29 mpaka leo na mambo yanayoendelea bado kidonda kibichi. Serikali ya CCM ilipofikia na kufikia sasa kuzibiti vyombo vya habari na polisi kwenye taarifa,Kwa sasa wamewapangia jinsi ya kutoa taarifa mbele ya wananchi. Kuna habari moja ya boti iliyozama ikiwa...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani vyama vya upinzani Tanzania vinakosa nini hasa hata kutegemea na kuvizia matukio ili kua relevant katika medani ya kisiasa?

    Je, ni kwasababu Tanzania hakuna changamoto kubwa sasa ambazo zinaweza kua agenda kuu kwa vyama vya siasa hasa vya upinzani kuzisimamia? Au ni uwezo mdogo wa viongozi wa upinzani katika kupanga, kubuni na kuibua mipango na agenda zenye mashiko ili kuwafanya kua relevant all the time kwenye...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Uzi huu tutakuwa tunapeana taarifa ya Matukio (Madhara) ya Super Elnino 2026/2027

    Wakuu kama tunavyojua TMA walitabiri kuwa mwaka huu Oktaba mpaka Desemba pia inaweza kuendelea mpaka February 2027 mvua kubwa za msimu wa vuli zitanyesha kupita kiasi (Super Elnino). Kanda ya Ziwa, Kaskazini na Pwani wanategemea hasa kupata mvua hizi. Aidha wataalam, serikali na viongozi wa...
  14. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya matukio 40 ya mtoto wa Diamond na Zuchu

    Fahamu matukio mbalimbali yaliyojiri
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi yaweka ada mpya za Harusi, Roadshow na matukio yenye kelele

    Wakazi wa Nairobi wanaopanga harusi, ibada, roadshow, ujenzi au hafla nyingine zinazoweza kusababisha kelele sasa wanaweza kulazimika kulipia vibali vya kelele chini ya Nairobi City County Finance Act, 2026. Chini ya sheria hiyo, harusi zinazofanyika katika maeneo ya makazi zitatozwa KSh20,000...
  16. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Utafiti wangu: Watoto wa kati kati katika uzao wamejaa matukio sana

    Yani ni aidha wa pili au wa Tau au wa nne.namba hizo tajwa Hata ikiangukia mwishoni. Yani ikiwa umezaa watoto watano basi ni yule wa tatu au wa nne. Ikiwa umezaa wanne basi ni yule wa tatu. Ikiwa umezaa watatu basi ni yule wa pili Hata ukizaa kumi lazima wawepo wawili au watatu wale wa...
  17. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Video ya wakati wa kampeni imetumika kuonyesha matukio ya uchaguzi mkuu nchini Zambia

    Kumekuwa na video inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Instagram, ikiambatanishwa na madai kwamba leo nchini Zambia, siku ya uchaguzi mkuu, polisi wametumia risasi za moto na mabomu ya machozi kuwatawanya wapiga kura katika vituo kadhaa vya kupigia kura kwa tuhuma za uvunjifu wa...
  18. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Uzi wa rekodi ya matukio yaliyosababisha vifo vingi nchini Tanzania

    Tanzania imeshuhudia matukio mbalimbali yaliyosababisha vifo vya watu wengi katika miaka ya hivi karibuni. Matukio hayo yamejumuisha ajali za majini, milipuko, mafuriko, ajali za reli, poromoko la majengo na ghasia na vurugu za kisiasa. Hapa chini ni muhtasari wa matukio 13 muhimu...
  19. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Nitakua wa Mwisho kukubali na kuamini mwanamke wa Africa aliekulia Africa, eti ana uwezo wa kuongoza Nchi.

    Mimi sio mbaguzi wa kijinsia ila ukweli kwa Africa hii Gender iliyoumbwa kupitia Ubavu wa Mwanume bado haina uwezo wa kuongoza Taifa. Hii ni kutokana na Mazingira wanayokulia na kulelewa hawa watu wakiwa watoto. Africa Mwanamke hafundishwi kuongoza wala kuelekeza yeye kila kitu anasikiliza kwa...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kauli ya NCHIMBI, "Rais yuko tayari KATIBA Mpya" alimaanisha, Matukio ya Utekaji,Mauaji Oktoba 29 , LISSU, ni Maji ya Shingo kwa Samia !!

    Wakuu nawaambia Jambo Moja kabisa la UHAKIKA bila mbambamba. SAMIA na Genge lake, wajifarague vipi, waruke, wake, wasimame ,wakimbie, wapae, yaan Hizo zote ni mbwembweeena HAZIWASAIDIII KITU CHOCHOTE. Ukweli ni kua, Mbinyo wa KIMATAIFA Uliopo kwa Samia ,ambao nayeye anaujua na Washirika...
Back
Top Bottom