dola

The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CCM ya viongozi vilaza kama Paul Chacha imeshatambua haikubaliki kwa sera mbovu na ufisadi. Wanadhani vyombo vya dola vitawabeba kila mwaka.

    Kila jambo lina mwisho wake. Mauaji ya Oktoba 29 mwaka 2025 bado yapo kwenye mioyo ya Watanganyika. Huko mbeleni Paul Chacha na wenzako mtakuja kuona na kutambua nini maana ya nguvu ya umma. Mageti ya ikulu yatavunjwa kwa kutumia meno.
  2. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola kuwa mali ya CCM: Kauli zinazofungua mjadala wa chama na dola

    Kauli ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Oganaizesheni, Paul Chacha, kwamba vyombo vya ulinzi na usalama ni “mali ya CCM”, imeibua mjadala mpana kuhusu uhusiano kati ya chama tawala, Serikali na vyombo vinavyotakiwa kulinda Jamhuri na wananchi wote...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Paul Chacha hakuna alichokosea, vyombo vya dola lazima vitii serikali ya chama tawala chochote.

    Paul Chacha, katibu wa NEC ya CCM amewatia jambajamba kubwa watu wasiojua kufikiria vizuri kwa hotuba yake kwa wanachama wenzake. Vyombo vya dola vyote vinalitumikia dola, vinalinda dola, vinakula kiapo kumtii Rais na katiba. Rais ndiye AmiriJeshi Mkuu wa vikosi vyote na Mkuu wa nchi. Bahati...
  4. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kutoka nembo ya bibi na bwana kuwa nembo ya CCM kuanzia dola mpaka mahakama.

    Hii nembo kwa sasa imekufa sio ya wananchi ni ya CCM. Leo ukitaka kuwa na cheo lazima kuwa CCM
  5. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kupata cheo au kupandishwa cheo lazima uwe CCM.Wamethibitisha kuwa vyombo vya dola ni vyao.

    Ili jambo limezungumziwa sana hapa JF. sio vyombo vya dola tu,mpaka makahama,wakurugenzi na kila idara. Wote waliopewa vyeo ni wananchama wa CCM na ndio maana maovu hawana yakalia kimya.
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania WAZIRI MKUU: SEKTA BINAFSI NI MUHIMU KUFIKIA UCHUMI WA DOLA TRILIONI MOJA

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema ushirikishwaji wa sekta binafsi ni muhimu katika kufanikisha malengo ya maendeleo ya Tanzania, hasa azma ya kufikisha thamani ya uchumi wa Taifa hadi dola za Marekani trilioni moja ifikapo mwaka 2050. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Jumapili, Septemba...
  7. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania HAKUNA CCM CHAMA CHA SIASA BALI CCM DOLA

    Kwa Tanzania ya leo, ni vigumu tena kuzungumzia CCM kama chama cha siasa kinachoshindana na vyama vingine kwa mazingira sawa. Kinachojitokeza mbele ya macho ya Watanzania ni mfumo ambao CCM imejikita ndani ya dola, inalindwa na dola na inatumia nguvu ya dola kulinda utawala wake. Hili si suala...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga CCM kujivunia kumiliki dola

    Katika miaka 65 ya utawal wake sifa na majivuno ya CCM haikupaswa kuwa kumiliki dola na majeshi yake na kuwapakiza wanachama wake masikini kwenye mabasi kuhudhuria mikutano ya chama chao. Katika miaka 65 ya kuwepo madarakani wastani wa kipato cha Watanzania ni duni sana kwa wastani wa $1,300...
  9. _-_-_-

    JamiiForums Tanzania Silaha ya Kisaikolojia: Jinsi Plato, Nyerere na Brass Bands za Majeshi ya Afrika Zinavyotumia Muziki Kulinda na Kuendesha Dola

    Wakuu, jioni ya leo mtanisamehe kwa kuandika uzi mrefu kidogo, lakini naamini utakuwa na manufaa makubwa kwa wale wanaopenda kufuatilia jinsi mifumo ya madaraka (State Machineries) inavyofanya kazi nyuma ya pazia.Mara nyingi tukifikiria kuhusu "Zana za Kuendesha Dola," vichwa vyetu vinakimbilia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna wannanchi wanavyopqmbana na vyombo vya dola, siku askari wakizidiwa itakuwaje?

    Wananchi wamekuwa na hasira na wamechoka. Wanapambana na askari wa vyombo vya dola. Siku raia wakiwawazidi nguvu askari itakuwaje? Huko Tabora naambiwa wananchi wametembea na Ak 47.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Marekani yarudisha Dola Milioni 2.5 kwa Gambia ubadhirifu uliofanywa na Rais wa zamani Yahya Jammeh

    Idara ya Sheria ya Marekani inarejesha takribani dola milioni 2.5, kwa Serikali ya Gambia zilizopatikana kutokana na vitendo vya rushwa wakati wa utawala wa Yahya Jammeh, ambapo fedha hizo zitatumika kulipa fidia kwa waathirika wa utawala huo. Yahya Jammeh, aliyekuwa Rais wa Gambia, pamoja na...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Burkinafaso wamejenga kiwanda cha kuzalisha sare za jeshi cha dola milioni 30

    Wameamua kuzalisha sare zao wenyewe kutoka kwenye pamba wanayolima wenyewe. Wanatarajia kuzalisha sare za majeshi na nguo za kiraia. Sasa hivi tutaona wanauza nje sare za kijeshi. Wanapunguza import na kuongeza ajira nchini mwao. Kila la kheri kwao.
  13. K

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027 na Mkakati wa "Dada wa Taifa": Mtego wa Kidemokrasia Ambao Dola Haidumu Kuushinda

    Utangulizi: Sauti ya Mange Kimambi na Karata Mpya ya Mapambano Mange Kimambi amekuwa nguzo muhimu katika kuibua mijadala ya kijamii na kisiasa nchini Tanzania kutokea uhamishoni. Licha ya changamoto za kufungiwa kwa akaunti zake za Instagram na serikali kushinikiza masharti makali dhidi yake...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwapa dola chama kinachoendeshwa na rimoti za Instagram

    Taifa hili halikuanzushwa rejareja kiasi hiko eti chama cha siasa kinachoweza kuendeshwa na mabinti wakaa Uchi wa mtandaoni kikapewe Serikali na kusimamia rasilimali za kipekee zinazopatikana Tanzania tu. Hebu tuwe na heshima kwa watanzania
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Dangote wafika dola bilioni 50

    Baada ya kuingiza kampuni yake ya mafuta kwenye soko la hisa utajiri wa Aliko Dangote wapaa kutoka dola 30 bilioni hadi dola bilioni 50. Kila la kheri kwake, azidi kuwekeza Afrika.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Op-Ed: kulalamika kwa Neville Meena: Je, ni udhibiti wa dola au ni kufa kwa muhimili wa nne wa nchi?

    Na Kijana Wa Ifoza Katika Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini uliofanyika leo, Septemba 8, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (RUJAT), Neville Meena, ametoa kauli inayochochea mjadala mzito kuhusu mustakabali wa tasnia ya habari nchini. Meena amedai...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari acheni kelele. Zanzibar sio dola huru. Pambaneni kuwe na serikali tatu.

    Zanzibar sio dola huru hii ni kwa mujibu wa Montevideo convetion of statehood Article one. Mtapiga kelele sana na hicho chama chenu cha wahafidhina wa Act Wazalendo lakini hamtafanikiwa.
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Deni ya US limefika dola trilioni 40, Je maendeleo ya nchi za magharibi yanatokana na mikopo?

    Hizi ni pesa nyingi sana. Nyingi mno. US ina watu kama milioni 350 na inadaiwa dola Trilioni 40. Afrika nzima ya watu 1.4 bilioni inadaiwa kama trilioni 1.5 tu. Nchi inaweza kukopa hela zote hizo na isiendelee kweli? Hayo mahela yanajenga vitu vingi mno. Barabara, bandari, hospitali, shule na...
  19. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Dola Yapungua Nguvu Dhidi ya Shilingi ya Tanzania $1

    Mabadiliko ya viwango vya kubadilisha fedha tarehe 2 Septemba 2026 yanaonesha kuimarika kidogo kwa Shilingi ya Tanzania (TZS) dhidi ya Dola ya Marekani (USD) na Rand ya Afrika Kusini (ZAR). Viwango vya Mabadilishano (NMB) Dola ya Marekani (USD): Bei ya kununua imeshuka hadi Sh2,590 (kutoka...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Chadema andeni mikakati ya kushika dola kabla ya 2030.

    CCM imekwama kila kona utawala huu haukubaliki ndani na nje ya CCM. Kuna dalili huu utawala usifike 2030 maana hata Mzee Warioba alishatamka haukuwekwa na wananchi. Je, mmejipanga kukamata dola? Je, mnaviongozi ambao watatosha kukamata nafasi zote muhimu?
Back
Top Bottom