shule ya msingi

 1. L

  Walimu wa shule ya msingi Lusisi wilayani Wanting'ombe wamenikera

  Wadau corona ipo tuwe makini kwa kufuata maelekezo ya watalamu wa afya. Nije kwenye Mada. Shule zimefunga tarehe 17 Machi kutokana na hali halisi kwamba watoto watulie home, nmeamua kuwapiga vipindi mwenyewe. Kabla ya hapo niliwataka wajisomee wenyewe. Nilipowataka walete daftari zao...
 2. F

  Maajabu ya shule ya Msingi Kiomboi Bomani

  Halo JF. Waswahili walisema tembea uone. Katika tembea na pita zangu mkoani Singida hususan wilaya Iramba, natua KIOMBOI mjini yalipo makao makuu ya wilaya. Nakutana na maajabu ya shule ya Msingi Kiomboi Bomani. Katika shule hii kuna walimu wengi na walio wengi zaidi ni wanawake. Penye...
 3. Mr. Purpose

  Students Management Database System

  STUDY MATERIALS, STUDENTS DATABASE MANAGEMENT SYSTEM, EXCEL TEMPLATES (KWA MATUMIZI YA SHULE) KWAAJILI YA SHULE, WAALIMU NA WANAFUNZI SOFTCOPY SHULE YA MSINGI HADI KIDATO CHA SITA. Kwa wamiliki wa shule, website za elimu,na waalimu ambao watahitaji library nzima, yaani vyote vilivyo katika...
 4. kofia ya plastiki

  Ni biashara gani nzuri kufanya maeneo ya shule ya msingi?

  Kwa mwenye uelewa wa biashara ambazo zinafanya vizuri maeneo ya shule ya msingi naomba anifahamishe ni aina gani au bidhaa gani nzuri asante
 5. Sky Eclat

  Picha za shule ya msingi Chato; hakika maendeleo hayana chama

  SERIKALI YARIDHISHWA NA MAJENGO YA SHULE YA MSINGI CHATO Serikali imepongeza hatua ya ujenzi na ukarabati wa shule ya msingi Chato kwa kujenga majengo yanayozingatia ubora na thamani halisi ya fedha. Hayo yamesema na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga alipofanya ziara...
 6. May Day

  Hivi bado hatuoni haja ya kuwafundisha Watoto wetu elimu ya uzazi/viungo vyao vya uzazi tangu utotoni?

  Ni muda mrefu sasa nimekuwa najiuliza hili swali, haswa ninapokuwa na kijana Wangu mdogo wa kiume mwenye umri wa miaka kumi. Kuna wakati tupo sebuleni tunasikiliza Redio au TV, na habari inayosikika ni kuhusu Mtoto aliyelawitiwa, Binti aliyepewa mimba, Mwanamke aliyebakwa n.k. Hapa huwa...
 7. AI dennis

  Ukiota uko shule ya msingi

  Watu wengi wamekua wakiota wako shule za msingi walizosomaga na wako hawajui maana yake Tafsiri yake ni kwamba ukiota uko shule ya msingi maana yake kuna HBO unataka kufanya halina msingi mzuri Mfano kuna MTU anataka kuoa ghafla usiku anaota yuko shule ya msingi, anajaribu kuambiwa msingi wako...
 8. southern boy

  Nimetengeneza App Kwa ajili ya kusaidia watoto katika somo la hisabati

  Habari humu!! Hi post pia nimeiwekena kule kwenye jukwaa la technology sababu pia inahusu masula ya technology. Ningependa kuanza moja kwa moja kwamba nimetengeneza app hii kwa ajil ya kumsaidia mzazi/mlezi/mwalimu/kaka/dada kumpa mtoto mazoezi kwenye somo la hisabati mda ambao upo busy na...
Top Bottom