Dala dala are minibus share taxis in Tanzania. Often overcrowded and operated at unsafe speeds, these minibuses developed as a response to an insufficient public transport system in the country. While the name may be a corruption of the English word "dollar", they are also referred to as thumni.Before minibuses became widely used, a truck with benches placed in the bed was the typical Tanzanian privately owned public transport. Called chai maharagwe, these were popular c. 1990.While dala dala may run fixed routes picking up passengers at central locations, they will also stop anywhere along their route to drop someone off or allow a prospective passenger to board.In contrast to most of these minibuses, in Dar es Salaam some dala dala are publicly operated as of 2008.
Kila mwaka,wamiliki wa magari ya daladala hupeleka vyombo vyao ili kupasishwa kuendelea kufanya route zao (kubeba abiria)
Ajabu zile gari sijui huwa zinakaguliwa na vipofu au watu wa aina gani, unakuta gari yote ni mbovu ila ni nzima tu kwa sababu bado inakimbia.
Ukiiangalia kuanzia kwa dreva...
Baada ya Mwananchi kuwasilisha hoja Mtandaoni kuhusu tatizo la maji kutitirika eneo la Gongo la Mboto, kituo cha magari yanayoenda mjini kinachoitwa Maliasili, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeshughulikia changamoto hiyo.
Mafundi wa DAWASA wamefika eneo la...
Sisi wananchi wa Igoma, Mwanza, tunakabiliwa na changamoto ya usafiri wa daladala kwenda maeneo mbalimbali, ikiwemo katikati ya jiji, Buhongwa, Airport na Ilemela.
Kwa sasa, tunategemea daladala zinazotoka Kisesa au Kishili. Hata hivyo, zinapofika Igoma huwa tayari zimejaa, hali inayosababisha...
Anonymous
Thread
daladala
ianzishe
igoma
latra
mkoa
mwanza
route
wananchi
Kuna kundi la vijana katika Stendi ya Daladala Mbezi Mwisho ambao huwazuia watu wanaoingia kwa magari au pikipiki binafsi kuwapeleka abiria wanaosafiri.
Vijana hao, ambao hawana utambulisho rasmi, hujifanya kuwa askari na wanapokamata chombo, hasa pikipiki, hukisogeza eneo la vyoo. Baadaye...
Anonymous
Thread
abiria
boda boda
daladala
mbezi mwisho
rushwa
stendi ya daladala
Imekuwa ni tabia ya muda mrefu kwa baadhi ya daladala jijini Mwanza kufupisha route nyakati za usiku, hali inayowaacha abiria kwenye maeneo ambayo siyo vituo vyao vya mwisho.
Kwa mfano, jana nilipanda daladala kutoka Kiloleli, ambapo konda alieleza kuwa gari hilo linaishia Kona ya Bwiru. Hata...
Mabwepande kuelekea Bunju B ni Shilingi 1,500 kwa Bajaj kitu ambacho ni gharama kubwa kwa wananchi wa hali ya chini, ushauri wangu zipatikane daladala zitoke Mabwepande ziende Tegeta Nyuki, ambapo kila mtu anaweza kuafodi nauli hata wanafunzi wa shule itawarahisishia sana.
Zipatikane daladala...
Kwa msafiri anayepanda daladala kutoka Uyole, Nanenane na maeneo mengine ya ukanda huo kuelekea Stendi Kuu ya Mabasi katika eneo la Uhindini, safari ambayo ilipaswa kuwa ya moja kwa moja imegeuka kuwa kero ya kila siku.
Kwa muda sasa, baadhi ya abiria wamekuwa wakilalamikia tabia ya baadhi ya...
Habari za kazi Wakuu, ninaandaa orodha ya njia na vituo vya daladala Dar es Salaam, na ningependa kupata msaada kutoka kwa wanaozifahamu hizi route.
Nimekusanya taarifa za njia hizi:
Buzastendi → Kawe kupitia Keko
Buzastendi → Kawe kupitia Buguruni
Buzastendi → Makumbusho kupitia Keko...
"Tunapogundua magari yanasababisha usumbufu, tumeanza kuyafungia ving'amuzi. Kwa kuwa tunaanza kwa awamu, tutaanza na daladala zote zitakazobainika kukiuka masharti ya leseni zao."
Hayo yamesemwa na Salum Pazzy, Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini...
Ukimsikiliza huyu kondakta vizuri unagundua kwa siku ana uwezo wa kulala na 50,000 Tsh mfukoni ambapo kwa mwezi ni kama 1,500,000 Tsh hiyo ni sawa na mshahara wa Daktari aliyesoma miaka 5 pale muhimbili.
Wengine watadai kuwa sio siku zote Kondakta anafanya kazi, basi tufanye ndani ya mwezi...
Nikiwakilisha Wakazi wenzangu wa Bunju Sokoni, naomba kuwasilisha kero kuhusu huduma ya usafiri wa daladala zinazofanya safari za Morocco hadi Bunju.
Tatizo kubwa linajitokeza hasa nyakati za asubuhi ambapo daladala hizo zinapofika Bunju Sokoni, baadhi ya madereva na makonda huchukua risiti...
Nikiwa mmoja kati ya Wakazi wa Goba, naomba kuwasilisha kilio chetu kuhusu changamoto kubwa ya usafiri wa umma inayotukabili sisi wakazi wa Goba na maeneo yanayotuzunguka.
Kwa sasa hatuna magari ya umma ya kutosha yanayotoa huduma moja kwa moja kama daladala za uhakika. Mara nyingi tunategemea...
Anonymous
Thread
daladala
gharama
gharama kubwa
goba
hizi
kituo
kituo cha daladala
kubwa
kutegemea
Kero yangu kubwa ni Bajaji na Daladala za Kimara kwenda Matosa wanapandisha na kushusha bei mfano asubuh Bajaj ni Shilingi 1,500 na usiku bei ni hiyohiyo ila mchana ni Shilingi 1,000 hiyo imekuwa inatuumiza wateja kutojua bei elekezi na Sh 1,500 hiyo ni nyingi hata kulinganisha umbali naomba...
Nina hoja kuhusu baadhi ya daladala zinazofanya safari kati ya Mwenge na Bunju, hasa nyakati za jioni. Kuna baadhi ya magari ambayo yamekuwa na utaratibu wa kuwatangazia abiria kuwa yanaishia Tegeta, hivyo abiria wanaosafiri hadi Tegeta hushuka hapo.
Pia soma ~ LATRA: Tumeanza kufunga...
Nimekuwa nikikumbana na changamoto kubwa katika usafiri wa Costa (mini bus) kati ya Masasi na Tunduru, umbali wa takribani kilomita 195.
Badala ya kutoa huduma ya safari ya masafa marefu, Costa nyingi husimama karibu kila eneo kama daladala, hali inayofanya safari inayopaswa kuchukua muda mfupi...
16 Julai 2026
Mkurugenzi Mkuu,
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA),
S.L.P 944
Dar es Salaam.
Ndugu CPA, Dkt. Habibu J. Suluo
YAH: MAOMBI YA KUFUNGUA NA KUSAJILI NJIA MPYA YA DALADALA (MAKUMBUSHO – MAWASILIANO – UDSM – CHANGANYIKENI – GOBA NJIA NNE)
Tafadhali husika na kichwa cha...
Hapa ni kwa Kituo cha Daladala cha "Kwa Yusuph" kilichopo Mbezi (Morogoro Road) kwa sasa kimegeuka kuwa stendi ya magari makubwa (malori) yanayosimama kwa ajili ya kupakia abiria pamoja na gari ndogo zinazosafirishwa kwenda mikoan na nchi jiran, (IT) bila kusahau mabas kwa nyakari za usiku.
Hii...
Anonymous
Thread
daladala
kituo
kituo cha daladala
kwa yusuph
malori
mbezi
mbezi mwisho
mwisho
yusuph
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema ni muhimu Wafanyabiashara kuwa na maisha yanayoendana na kipatao chao .
Mtaka amesema hayo leo Julai 13, 2026 wakati akizungumza na Wakulima wa Parachichi watakaoenda nchini India kujifunza Soko la Parachichi India ambapo amesema wapo Wafanyabiashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.