taswira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Gaborone apigwa ngumi: TFF Ichukue Hatua Kulinda Taswira ya Tanzania

    Mpira sio uadui; mpira ni furaha, burudani na umoja. Kitendo kinachodaiwa kufanywa na kiongozi wa Yanga cha kumpiga ngumi kocha wa Gaborone United kinaharibu taswira ya mpira wa miguu nchini Tanzania. Matukio ya aina hii yanaweza kugeuza mpira kuwa uhasama, jambo ambalo ni hatari zaidi katika...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k. nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache. Watu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Watu kufurahia kifo cha Mume wa rais wao kinaleta taswira gani kwenye taifa?

    Hii ni picha mbaya sana taifa na binadamu kwa ujumla. Kwamba watu wanapiga ndulu kwa furaha tele kwa kuwa mume wa rais wao kafariki. Tunapata picha gani hapa? Watu wanalipa kisasi? Wana chuki kwenye mioyo yao? Taifa limepasuka kila kona.
  4. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Hii video ya wasira inaonyesha taswira halisi ya ngozi nyeusi

    Msikilizeni huyu mzee akipigania ubunge dhidi ya Ester
  5. R

    JamiiForums Tanzania Balozi Possi: Taswira ya Tanzania kimataifa ni nzuri sana

    Balozi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Geneva, Dkt. Abdallah Possi, ameeleza kuwa taswira ya Tanzania kimataifa bado ni nzuri, licha ya matukio yaliyojitokeza nchini tarehe 29 Oktoba kutajwa kuwa ni ya kusikitisha na ya bahati mbaya. Akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo cha...
  6. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania Wimbi la kesi za ugaidi litaathiri taswira ya nchi na sekta ya utalii kwa namna ambayo Serikali haikutarajia

    Watanzania, tukubali tusikubali, Serikali ya CCM haina viongozi wenye uwezo wa kuona mbali. Obviously, the mazafakas cannot see beyond their noses! Katika hali ya kawaida, hakuna kiongozi yeyote mwenye busara ambaye anaweza kuitangazia dunia kwamba nchi yake ina magaidi kila kona wakati ukweli...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Eneo la Michenzani, Jumba Namba 2 kuna uchafu ambao unaharibu taswira ya mji - Zanzibar

    Mimi ni mkazi wa Zanzibar na napenda kuwasilisha kero kuhusu hali ya usafi katika eneo la Michenzani, Jumba Namba 2. Eneo hilo limekuwa na mazingira ya uchafu ambayo hayalingani na hadhi ya eneo la mjini na lenye shughuli nyingi. Hali hii si nzuri kwa afya ya wananchi na pia inaharibu mwonekano...
  8. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Taswira ya kitabu cha historia ya Samia Hasani kitakuwaje

  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Hypothetically, Rais akiangalia tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva taswira yake inakua imechafuka?

    Naona wanakanusha, je hata kama si kweli , mheshimiwa Rais kuangalia 30 y Bongo flavor ni shida ? Najaribu kuwaza what if angeshangiliwa kwenye lile Tamasha, huu ufafanuzi ungetolewa kweli? Britanicca
  10. mike2k

    JamiiForums Tanzania Je, Taswira ya Kisiasa ya Tanzania Inawafukuza Wawekezaji Wakubwa?

    Ndugu wanajukwaa la siasa, huu ni mjadala wa kitaifa: Tunapojadili kwa nini miradi mikubwa ya kimkakati inaweza kwenda nchi jirani, tusitazame tu bandari, ardhi au soko. Tujiulize pia kuhusu ubora wa taasisi zetu za kisiasa na utawala. CCM imekuwa chama tawala kwa muda mrefu na ina wajibu...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Uono wa kiroho.. Pale taswira inapobaki tupu

    Ni jambo la kutisha kidogo, lakini lipo kati yetu ndani ya familia zetu na koo zetu Unapopitia changamoto za kimaisha Kama Uchumi Mahusiano Biashara Masomo Afya na maradhi... Taswira yako kiroho hupotea mbele ya macho ya nuru kwa wengine Pale unapojaribu kumwangalia mtu kwa jicho la ufahamu...
  12. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya raia wa China yanaendelea kuharibu taswira ya nchi yetu

    Jeshi la polisi lifanye uchunguzi mapema ,tuwahakikishe usalama wawekezaji. Suala la mchina aliyeuawa mabibo Dar ni suala ambalo linaweza kuwapa hofu wawekezaji juu ya usalama wao nchini kwetu na kufanya tukose wawekezaji hasa wa nchi kubwa kama china. Lakini kampuni hizi zisimamiwe kampuni...
  13. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya CRC yakemea kampeni ya kuchafua taswira yake Mtandaoni

    Kampuni ya Continental Reliable Clearling (CRC) imesema kumekuwa na kampeni zinazoendelea kwa kasi mitandaoni zenye lengo la kuchafua hadhi na taswira ya kampuni hiyo mbele ya wadau na washirika wake wa kibiashara. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kampuni hiyo, kampeni hizo zimekuwa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Akili na ushahidi wa mashahidi ndio Taswira Yetu

    Hivi karibuni kumekuwepo na Kesi ya , Sasa katika uendeshaj wa Kesi hii kumekuwepo na mapungufu mengi, kuanzia Offisi ya mwendesha Mashtaka, na ma mashahidi wenyewe, kiasi kwamba Nina jiuliza hizi akili na Mali tunazo zichezea kwenye Kesi hii nikuonyesha ukomo wa akili zetu au , bado...
  15. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania kutumia takribani Sh. Bilioni 2.7 kukodi Kampuni ya Marekani ili ‘Kurekebisha Taswira ya Nchi’ baada ya Mgogoro wa Uchaguzi

    Januari 16, 2026 WASHINGTON, D.C. — Ikikabiliwa na uangalizi wa kimataifa kufuatia matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa 2025 ulioharibu sifa yake, Serikali ya Rais Samia imezindua operesheni kabambe ya kujenga ushawishi nchini Marekani. Tanzania imekodi kampuni inayoongozwa na Mbunge...
  16. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Vurugu za Oktoba 2025 zimebadili taswira ya Tanzania duniani

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema mwaka 2025, Tanzania ilikabiliwa na vurugu wakati wa uchaguzi ambazo hazijawahi kutokea tangu nchi ilipopata uhuru mwaka 1961. Soma pia: Waziri Kombo: Tumestahimili mtihani mzito wa Oktoba 29, Dunia...
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Mchezo wa Kirafiki au Jaribio la Kusafisha Taswira?

    Leo tarehe 11 Januari 2026, Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limetangaza mechi ya kirafiki itakayochezwa majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa Manispaa ya Kinondoni (KMC), Mwenge. Mchezo huo unawakutanisha timu ya Tanzania Sport Influencer—iliyoundwa na mashabiki wa Azam, Simba na...
  18. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nashauri ili kuanza kuboresha taswira yake atafutiwe ziara mikoa ya pembezoni kuliko kujificha.

    Anaanza kusahaulika mioyoni na midomoni mwa watu anapotea kimya kimya jambo ambalo so zuri nadhani. Nashauri mtafutieni ziara hata ya mchongo tu katika mikoa ya pembezoni. Ili angalau magazeti na TV zimuonyeshe. Ni ushauri tu. Hoja haipigwi mawe.
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Larry Madowo: Sijalipwa na mtu yoyote kuchafua taswira ya nchi yoyote

    Mtangazaji wa CNN na mwandishi wa makala kuhusu matukio ya Oktoba 29 yaliyotokea Tanzania amesema kuwa hajalipwa na mtu yeyote kwa lengo la kuichafua nchi yoyote. Ameeleza kuwa badala ya hoja na ushahidi uliomo kwenye makala kujibiwa au kukanushwa, amekuwa akishambuliwa binafsi. Aidha, ameweka...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Picha hii inakupa taswira gani ?

Back
Top Bottom