Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.
Soko la Mbao la Sabasaba lililopo Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza limewaka moto ambao chanzo chake bado hakijafahamika,
Moto huo ulioonekana usiku wa kuamkia leo Jumanne, Septemba 22, 2026 umefanikiwa kudhibitiwa kwa jitihada za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Polisi na wananchi.
Tukio hilo la...
Moto mkubwa umetokea usiku wa kuamkia leo, Septemba 21, 2026 katika Soko la Machinga jijini Dodoma na kuteketeza vibanda pamoja na mali za wafanyabiashara, huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana.
Baadhi ya wafanyabiashara katika soko hilo wamesema walianza kuona moshi kabla ya moto...
Kampuni za Tanzania bado zinakabiliwa na changamoto ya kutotambulika kwa kiwango kinachostahili katika mazingira ya biashara ya kimataifa. Hali hii inaweza kupunguza fursa za kampuni kupata uwekezaji, kuingia katika ubia wa kimkakati na kushirikiana na kampuni kubwa kutoka nje ya nchi.
Kwa...
Nimechaguliwa kozi ya it, kwa wale wanayo ijua hii kozi naomba wani fafanulie kuhusu fursa zake za ajira pamoja na kujiajiri Kama inawezekana,pia naomba na ufafanuzi wa hii kozi kuhusu urahisi wake na ugumu wake katika kuisoma ukiwa chuo?
Msimu wa Saba wa kampeni ya kuhamasisha unywaji wa kahawa umezinduliwa rasmi huku msisitizo mkubwa ukiwa kwa watanzania kujenga utamaduni wa kunywa kahawa ikiwa ni mkakati wa kukuza soko la ndani .
Uzinduzi huo umefanyika September 4,2026 kwenye makao makuu ya Bodi ya Kahawa...
Mwanamke mmoja aliulizwa swali na muandishi wa habari mwanamke kama ifuatavyo ifuatavyo:
Muandishi: Unafikiri siku hizi ni nani mwenye tatizo zaidi linapokuja suala la uchumba na mahusiano—wanaume au wanawake?
Wote?
Mgeni:
Nadhani ni akina mama wasio na waume(single moms).
Muandishi: Nini...
Mbunge wa Jimbo la Kawe Jijini Dar es salaam Mhe, Timoth Geoffrey Anyosisye ameishauri Serikali kukarabati Soko la Tegeta Nyuki, akisema miundombinu yake imechakaa na kusababisha wafanyabiashara pamoja na wateja kufanya shughuli zao katika mazingira magumu.
Timoth akiuliza swali bungeni jijini...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ameelekeza waliokuwa wafanyabiashara 30 wa soko la ndizi Mabibo (Mahakama ya Ndizi) kurejea kufanya biashara kwa udhamini wa maandishi kutoka ofisi za Serikali za Mitaa.
Prof. Shemdoe...
Ujenzi wa Soko Kuu la Kisasa katika Halmashauri ya Mji Bariadi, Simiyu, umefikia asilimia 48, likitarajiwa kuwa na uwezo wa kuhudumia wafanyabiashara zaidi ya 1,000 na kufanya shughuli za biashara kwa saa 24, hatua itakayochochea biashara na uchumi wa mji huo.
My Take
Sasa je huu ndio utakuwa mwisho wa wachuuzi na kuuzia shambani au?
Ngoja tuone
https://www.instagram.com/p/DciLX__irBz/?igsi=MW5ka3N4dmJoNnpybg==
My Take
Kwa bei hizi za hovyo zisizo na maana Kwa mkulima Kuna haja gani ya mnada...
Soko maarufu la Gikomba jijini Nairobi liko katika hatua mpya ya mabadiliko makubwa, huku majengo matatu ya kisasa yenye ghorofa kadhaa yakianza kuchukua sura. Mradi huo unalenga kubadilisha soko hilo kutoka eneo lenye msongamano na miundo ya muda hadi kituo cha kisasa cha biashara.
Kwa mujibu...
Zaidi ya miezi sita imepita tangu Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo itoe taarifa kwamba inafanyia kazi changamoto ya vyoo vilivyopo katika stendi ya mawasiliano, pembezoni mwa Soko la Maindi.
Nasikitika kusema kwamba hakuna kilichoendelea hadi sasa. Vyoo hivyo bado havifanyi kazi na kwa sasa...
Anonymous
Thread
bado
kazi
mawasiliano
mwezi
simu 2000
soko
stendi
stendi mawasiliano
ubungo
vyoo
Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, Hassan Nyange ametoa ufafanuzi kuhusu malalamiko ya wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feri, kuhusu madai ya ukiukwaji wa taratibu katika ukusanyaji wa ushuru.
Hoja ya awali ya Mdau hii hapa ~ Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feli, Manispaa ya Mtwara...
12 August 2026
Tanzania Yafungua Soko la Dhamana za Serikali kwa Wawekezaji wa Kimataifa
Tanzania relaxes forex rules to draw foreigners to bonds. 'The reform aims to broaden access to the government-securities market
Benefits of Investing in Government Securities
Treasury bills and Treasury...
Hivi ni lazima wafanyabiashara wote wakawa wanakimbilia china kufata mizigo yao?
Kwanini wengi hawakimbilii usa au europe kufata bidhaa na kuzileta nchini ilihali jeans saivi ya china dukani unaipata kwa 30k. Na jeans kama levi unaipata kwa kuanzia 40k kuendelea?
Tshirt pia nyingi unazipata...
Mamia kwa maelfu ya wafanyabiashara Waafrika, Waarabu na Waasia hufunga safari mara kwa mara na kwenda kununua bidhaa zao kwenye soko kubwa zaidi la bidhaa ndogo ndogo duniani lililoko huko Yiwu China. Mji huu, ambao ni wilaya ya viwanda na ni eneo lenye watu wengi, ulioko kwenye mkoa wa...
Soko la ajira la siku hizi limekuwa la ajabu sana.
Unaweza kuwa rejected kwa sababu yoyote isiyo na mashiko.
REJECTED.
Your current salary is too high — REJECTED.
You're over 40 — REJECTED.
You don't have enough experience — REJECTED.
You have too much experience — REJECTED.
Your notice...
Kila wiki inayopita kuna nyumba, jengo au fremu mpya inayopandisha antenna ya kusambaza internet. Wengi wameona fursa, wamenunua vifaa, wamevuta fibre na kuanza kuuza vifurushi vya Wi-Fi.
Lakini kinachonishtua si ongezeko la watoa huduma, bali kasi ambayo biashara hii inaanza kujiharibia...
Wafanyabiashara Soko la Mawenzi Morogoro wamegoma kufungua biashara wakishinikiza Serikali ipunguze Kodi ya pango la Vizimba.Wafanyabishara hao wamesema licha ya kutozwa Kodi kubwa lakini bado Soko hilo lina
Miundombinu mibaya jambo ambalo Wateja wanakimbia kufika hapo.Mkuu wa Wilaya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.