soko la dunia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta imeteremka kwenye soko la dunia kwa 20%, je tutegemee nini kesho?

    Kufikia leo tarehe 2 Juni 2026, bei ya mafuta ghafi kwenye soko la dunia imeonyesha mabadiliko makubwa katika mwezi uliopita (Mei), ambapo bei imeshuka kwa takriban asilimia 15% hadi 20% kutegemeana na aina ya mafuta ghafi. Mchanganuo wa mabadiliko hayo kwa soko la leo uko hivi: '-Mafuta ya...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaingia soko la Dunia la Helium baada ya kusaini mkataba na mwekezaji Helium One Global. Serikali itamiliki hisa asilimia 17 tu

    Ndio kama mlivyosoma kwamba hisa za Serikali ni asilimia 17% tuu. https://www.instagram.com/p/DX1ya8oCn_S/?igsh=MWlja2xja2QxMHd2aw== My Take Kama hatuna pesa za kuingia kwenye ubia hakuna haja ya kusainiana.Pia soma (1) Mradi wa Kuchimba Gesi Adimu ya Helium kwenye Bonde la Ziwa Rukwa Kuanza...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Msigwa, soko la dunia hawauzi dizeli wala petroli! Na hayapimwi kwa kilo!

    Eti katoa bei za dizeli na petroli soko la dunia akijaribu kunyoosha kauli za Rais. Msigwa, ifike mahala mkubali kwamba kwenye nchi ya watu mil 65, watu wa serikali laki mbili tatu hawawezi kuwa wanajua kila kitu kuliko wengine wooote tuliobaki! Punguza kutoa macho na mapovu wakati unaongea...
  4. Inside10

    JamiiForums Tanzania Serikali yafafanua kauli ya Rais Samia kuhusu Bei za Mafuta

    Serikali kupitia Msemaji Mkuu wake, Gerson Msigwa, imetoa ufafanuzi wa kauli ya Rais Samia aliyotoa mchana wa leo Aprili 8, 2026, kuhusu bei za mafuta; Soma: Rais Samia: Bei ya mafuta Marekani na Ulaya ni Dola 800 na Euro 400/600 lita 1, Sisi tuko vizuri, tuna uhakika wa miezi 3 UFAFANUZI Leo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania BoT yasitisha kuuza akiba ya dhahabu kufuatia kushuka kwa bei katika soko la dunia

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesitisha mpango wake wa kuuza akiba ya dhahabu kufuatia kushuka kwa bei katika soko la dunia, hatua inayoashiria mabadiliko ya tahadhari katika mkakati wake wakati hali ya soko ikiendelea kuwa na msukosuko. Hadi mapema Machi 2026, BoT ilisema ilikuwa inamiliki...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta yapanda katika bandari zote kuanzia Machi 4, 2026

    Watumiaji wa bidhaa za mafuta Tanzania wataendelea kuugulia maumivu ya ongezeko la bei baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) kutangaza bei kikomo zitakazotumika Machi mwaka huu. Katika bei hizo, watumiaji wa mafuta ya dizeli wameshuhudia ongezeko la bei zaidi ikilinganishwa na...
  7. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Lazima bidhaa zote za plastic zitakuwa zinazalishiwa hapa Tanzania. Nia ni kuteka soko la dunia la plastic

    Hatutahitaji ruhusa ya nchi yeyote ile kwenye hili swala Petrochemical plant ni kiwanda kinachotengeneza raw materials kwa ajili ya bidhaa za plastics kama Ndoo, vikombe, mifuko n.k matanki nguo asilimia kubwa sana ya nguo zinatumia polyester nyuzi za plastics Mazulia -mazulia kama makapeti...
  8. Daby

    JamiiForums Tanzania Wana-uchumi: Dollar ndiyo inatumika katika manunuzi karibu Dunia nzima. Niaminishe USA ha-print pesa na kuzisambaza soko la dunia kupitia manunuzi!!!

    Mataifa mengi yakitaka kununua vitu nje ya nchi yanahitaji Dollar ya marekani. Marekani akihitaji kununua vitu anatumia Dollar. Kitu gani kitamfanya asi-print pesa zake anapohitaji kununua nje? Tanzania hatuwezi ku-print pesa yetu maana hatuwezi kuitumia kununua mafuta let say Iran...
  9. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Chana amezindua nembo ya asali ya Tanzania itakayotumika kuitambulisha bidhaa hiyo katika soko la dunia

    WAZIRI CHANA AZINDUA NEMBO YA ASALI YA TANZANIA Na Happiness Shayo-TABORA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua nembo ya asali ya Tanzania itakayotumika kuitambulisha bidhaa hiyo katika soko la dunia huku akitoa rai kwa Wafanyabiashara kuchangamkia fursa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Petroli na dizeli zashuka bei soko la dunia

    Taarifa iliyotolewa na mamlaka ya udhibitui wa huduma za nishati na maji (EWURA) inaonesha kwanzia leo September 4, 2024 zimeshuka katika mikoa yote nchini. sababu za kushuka kwa bei yaPetroli na dizeli imetajwa kua ni kushuka kwa gharama za soko la dunia. Taarifa inasema kwanzia leo Septemba...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta yaendelea kushuka katika Soko la Dunia, OPEC+ yasema itaanza kupunguza usambazaji kuanzia Oktoba 2024

    NISHATI: Bei ya Mafuta imeripotiwa kuendelea kushuka zaidi katika Soko la Dunia karibu miezi 4 mfululizo ambapo hadi kufikia Mei 4, 2024, Bei ilifikia kati ya Dola za Marekani $76.76 (Tsh. Tsh. 200,727) hadi $77.52 (Tsh. 202,714) kwa Pipa. Hali hiyo imesababisha Nchi Zinazouza Mafuta (OPEC) na...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Astrazeneca yaondoa chanjo yao ya Covid-19 (Astrazeneca Covid-19 Vaccine) kwenye Soko la Dunia

    🇬🇧🇸🇪 AstraZeneca is withdrawing its Covid vaccine worldwide, The Telegraph reports. The pharmaceutical giant recently admitted in court for the first time that its vaccine can cause a rare and dangerous side effect. But the company claims the recall decision is purely commercial, as the...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Stanslaus Nyongo: Lini Serikali Itaanza Kununua Pamba toka kwa Wakulima Pindi Bei ya Pamba Inapoporomoka katika Soko la Dunia

    Mbunge Stanslaus Nyongo: Lini Serikali Itaanza Kununua Pamba toka kwa Wakulima Pindi Bei ya Pamba Inapoporomoka katika Soko la Dunia SERIKALI ipo katika hatua za awali za uanzishwaji wa Mfuko wa Kinga ya bei ya Pamba utakaotumika kumfidia mkulima wakati bei inaposhuka kwa kiasi...
  14. comte

    JamiiForums Tanzania Mafuta yanapanda bei kwenye soko la dunia

    Mwezi Juni 2023 mafuta kwenye soko la dunia yalikuwa 70 USD, mwanzo wa mwezi Septemba yamefika 90 USD. Inakadiriwa kufikia mwisho wa mwaka huu pipa litakuwa 120 USD bei iliyokuwepo kabla ya janga la COVID 19. Hii inetokea baada ya OPEC na wazalishaji wengine wa mafuta kupunguza uzalishaji na...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Bei ya mafuta yapanda ghafla kataka soko la dunia baada ya uzalishaji kupungua

    Bei ya mafuta imepanda baada ya wauzaji kadhaa wakubwa wa mafuta duniani kutangaza kupunguza uzalishaji kwa ghafla. Bei ya mafuta yasiyosafishwa ya Brent ilipanda kwa zaidi ya $5 kwa pipa, au 7%, hadi zaidi ya $85 biashara ilipoanza. Ongezeko hilo limekuja baada ya Saudi Arabia, Iraq na...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta yapanda kwenye soko la dunia

    Bei ya mafuta ya petroli imepanda leo Desemba 6, 2022 kwa asilimia 2 na kufikia dola 87.3 kwa pipa, saa chache baada ya kuanza kutekelezwa kwa hatua kadhaa za mataifa ya magharibi zinazolenga kupunguza mapato ya Urusi katika sekta yake ya nishati. Ongezeko hilo limeshuhudiwa baada kuanza...
  17. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta yaendelea kuporomoka kwenye soko la dunia

    Habari zinaeleza kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia inaendelea kuporomoka katika soko la dunia kutokana na wasiwasi wa mdororo wa uchumi. Habari zaidi ipo chini. --- An oil pumpjack operating as another stands idle in Los Angeles, California. Oil prices fell on Wednesday as Covid-19 curbs...
  18. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta soko la dunia imeshuka chini ya Dollar 90 Kwa pipa moja Ila EWURA wanasema imepanda

    Maajabu ya Tanzania ni kwamba Bei imeshuka kwenye soko la dunia tokea June Ila huku ewura wanatuambia imepanda
  19. C

    JamiiForums Tanzania Soko la Dunia mafuta yameshuka, Tanzania yamepanda. Nchi hii bora liende

    Kama una simu janja fuatilia bei ya mafuta duniani huko kwa wazalishaji, bei zimeshuka sana lakini Tanzania kila leo hadithi hazina kichwa wala miguu. Kiuhalisia wameshindwa kudhibiti mfumuko wa bei za bidhaa mbalimbali na hapo bado tutarajie bei za ndani ya nchi kupanda zaidi na zaidi maana...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Inakuaje bei za mafuta kwenye soko la dunia zinashuka ila Tanzania zinazidi kupanda?

    Wakuu habari, Leo tumeona bei mpya za mafuta zikipanda, na sababu tunajua tutaambiwa kuwa ni mabadiliko kwenye soko la Dunia. Lakini trend kwenye soko la dunia inaonyesha bei za mafuta zimekuwa zikishuka miezi ya karibuni, bei zilikuwa zimefika hadi Dola 124 kwa pipa mwezi Februari lakini...
Back
Top Bottom