serikali

  1. FRANCIS DA DON

    Je, kuna ubaya gani Serikali ikaruhusu sukari iagizwe kwa uhuru kama nguo Kariakoo?

    Tunafahamu lengo ni kulinda viwanda vya ndani, ila je, hivyo viwanda vya ndani vinakidhi mahitaji? Kama lengo ni kulinda viwanda vya ndani, mbona viwanda husika haviongezeki ukubwa wala idadi? Kwanini havikuwi pamoja na ukinzi wote huu at the expemse ya WaTZ kununua sukari shs. 6,000/= kwa...
  2. Kiboko ya Jiwe

    Kwa musiojua gharama za matengenezo ya magari ya serikali njooni

    Sijaiona picha ya sehemu za nyuma za gari hii. Ikiwa imeharibika hapo tu panapoonekana kwenye picha serikali itatumia zaidi ya milioni 50 kutengeneza gari hii. Gari itakaguliwa na TEMESA, serikali italipa gharama za ukaguzi, kisha TEMESA watatoa tenda kwenye garage binafsi kama vile KINAI, ADAM...
  3. Mto Songwe

    Serikali ya Tanzania itoe VISA free kwa wahindi, wachina, wakorea, wajapan katika hatua za mwanzo

    Napendekeza serikali ya Tanzania ichukue hatua katika haya mapendekezo yangu. 1. Napendekeza serikali ya JMT itoe visa free kwa raia kutoka India, China, Japan na Korea - katika mchakato wa visa free kwa mataifa mbalimbali tuanze na hayo mataifa manne kwanza kwa miaka 20 ya mwanzo. 2...
  4. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Bunge ya PAC yaridhika na kazi za Serikali Mtandao

    Dodoma, Dodoma Kamati ya Bunge ya kudumu ya Mahesabu ya Serikali yaani PAC imeeleza kuridhishwa na kazi zinazofanywa na menejimenti ya Serikali Mtandao wakati walipodhuru kituo cha Ubunifu na Uendelezaji Vipaji jijini Dodoma. Wakizungumza baada ya kukagua kazi zinazofanywa na kituo hicho...
  5. C

    Serikali badilisheni pori tengefu la Kibaha liwe eneo la makazi!

    Naomba kuishauri serikali kupitia wizara ya Ardhi kuangalia uwezekano kubatilisha matumizi ya pori tengefu lililopo Kibaha mkoa wa pwani liwe eneo la makazi ya watu na matumizi mengineyo! Eneo hili lilihodhiwa na shirika la Elimu Kibaha ambapo kwa sasa shirika hilo limefutwa! Pori hili...
  6. G

    Mnatuchukua vijana kutulimisha JKT, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu

    Acheni kutuchukua vijana Kwenda JKT mkatulimisha kisha mkatuacha MTAANI, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu ambao hata JKT HAWAJAPITA, halafu mtaani wanajisifu, Watu wamekaa JKT miaka 3 halafu mnambiwa mkajiajiri kujiajiri nyoko madako yenu.
  7. Poppy Hatonn

    Viongozi wa serikali wanatukanana kama wahuni wa Kariakoo

    Labda ipo njia ya kistaarabu zaidi ya kuandika haya mambo. Tunashangazwa wote nadhani katika haya maneno yanayosemwa kati ya Katibu Mwenezi Makonda na Waziri Bashe. Na pia wapo wengine. Haya ni mambo mabaya. Kama Mbunge Gwajima alivyokuwa anasema jana kwamba mtoto wa tajiri wa Unguja alitoweka...
  8. Mystery

    Makonda amesema kweli; wengi wa viongozi wa Serikali hii ya CCM wanafanya usanii kumpa sifa Rais Samia, lakini kivitendo wanamhujumu

    Pengine mtu mbaye anabeba vichwa vya habari kwa sasa kuliko mtu mwingine yoyote hapa nchini kwa sasa ni Paul Makonda aka Bashite. Watu wanajiuliza maswali mengi, iweje mtu huyu huyu, kwenye utawala wa awamu ya 5, chini ya Mwendazake, alionekana kuwa ni mhalifu mkubwa, leo hii kwenye utawala wa...
  9. BARD AI

    Serikali: Matukio 21 ya watu kutekwa na kupotea yamepatiwa ufumbuzi

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni ameeleza kuwa robo tatu ya matukio yaliyoripotiwa ya watu kutekwa na kupotea kwa mwaka 2023 tayari yamepatiwa ufumbuzi. “Sio kwamba labda watu wanapotea halafu hakuna kinachofanyika, watu hawawapati wahalifu, hawawapati wahanga sio sahihi, ameeleza...
  10. Roving Journalist

    Serikali: Mtambo wa Megawati 20 mfano wa Injini ya Boeing 747 umewasili kutatua changamoto ya umeme Mtwara na Lindi

    Serikali imesema imeendelea kutekeleza ahadi ya kupeleka umeme wa uhakika katika mikoa ya Lindi na Mtwara, ambapo Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba ameongoza mapokezi ya mtambo wa Megawati 20 utakaozalisha umeme kwa kutumia Gesi Asilia, mchakato ambao umefanyika...
  11. B

    Ridhiwani Kikwete: Serikali kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuibua miradi ya tasaf itakayoondoa changamoto zilizopo

    Serikali imesema miradi yote inayotekelezwa na TASAF (Mpango wa kunusuru kaya maskini) huibuliwa na jamii kwa kutumia utaratibu shirikishi unaohusisha na jamii yote na kwamba serikali itaendelea kutoa elimu kwa jamii nzima nchini kuhakikisha inaibua miradi inayotatua changamoto zao katika maeneo...
  12. Teko Modise

    Usajili wa magari ya serikali umefikia “STN” kazi iendelee

    Leo nikiwa town katika mishemishe nakuta chuma ya serikali imepaki. Kucheki namba ni STN. Nikajiuliza si ni juzi tu hapa STM ilianza? Ndio imejaa kwa kasi hivyo! Serikali yetu inamiliki magari mengi na sasa usajili umefikia “STN” hii ni kasi zaidi ya 5G
  13. K

    Vazi la Taifa ni utapeli wa serikali?!!

    "Hakuna vazi lolote duniani linaloitwa la taifa lililoundiwa tume. Hakuna! Kuwafanya Watanzania watumie muda wao kusaka vazi la taifa ni wild-goose chase (wehu) na diversionary tactic ili wasahau mambo muhimu yaliyowashinda watawala. Tusipotezeane muda wetu," Jenerali Ulimwengu NB- 2004-2005...
  14. amicky008

    Je, Serikali haioni umuhimu wa kuweka wabunge maroboti ili kupunguza gharama za kuendesha bunge?

    Matumizi ya akili bandia/mnemba tayari yameshaanza kutumika hapa nchini kwetu, tarehe 27 Januari yalifanyika majaribio ya mwalimu akiwa Kibaha akafundisha shule ya Dodoma na limefanyika jaribio lingine la daktari akiwa Dar es Salaam akafanya upasuaji Zanzibar na ukafanikiwa, je hatuoni sasa...
  15. Mganguzi

    Vita inayoendelea baina ya CCM na Serikali imekuwa nzito sana! Tuwaamue au tuwaache watoane ngeu?

    Pambano limekuwa moto sasa CCM ikiwa na point nyingi za ushindi wakati Serikali ikiwa na Hali mbaya sana, tuwaamue au tuwaache watoane ngeu? Kazi inayofanya Makonda ilitakiwa ifanywe na wapinzani lakini sasa wapinzani hata hawajui wafanye nini! Maana adui zetu wameamua kupigana wao kwa wao...
  16. BARD AI

    Kupoteza Kesi ya Madini ya Nikeli Kunagharimu Taifa dola milioni moja kila mwezi

    Mahakama ya Benki ya Dunia imetupilia mbali sababu nyingi za Tanzania za kubatilisha tuzo ya dola milioni 119 (zaidi ya TZS 309 bilioni) kwa mchimba madini wa nikeli kutoka Australia. lakini uamuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Eliezer Feleshi kuendelea kutaka kufutwa kwa tuzo hiyo katika...
  17. M

    Vx moja ya Serikali iuzwe ili kufanyia matengenezo hili Daraja

    Mbunge wa jimbo la Ulanga Salim Alaudin Hasham ametembelelea katika kata ya Mwaya kujionea uharibifu uliojitokeza wa daraja kuvunjika na kusababisha kata nne za Mwaya, Ilonga, Mbuga na Ketaketa kukosa mawasiliano Mbunge Salimu amesema kwa sasa ameishatoa taarifa ya changamoto hiyo kwa mamlaka...
  18. BARD AI

    Serikali yashusha Bei ya kununua Umeme kuanzia leo

    Shirika la Umeme la Kenya Power limetangaza nafuu ya punguo la bei ya Umeme kwa Wakenya baada ya kupunguza tozo za tokeni katika ukaguzi wa hivi punde wa bei ya umeme. Katibu Mkuu wa Nishati Alex Wachira alifichua kuwa gharama ya umeme kwa aina zote itapunguzwa kwa Ksh3.44 kwa kila uniti...
  19. BARD AI

    Ghana: Serikali yasitisha Kodi mpya ya Umeme baada ya Wananchi kuigomea

    Serikali ya ghana imesitisha mipango ya kutekeleza ushuru wa 15% kwa nguvu, kufuatia ghasia za umma kwamba itazidisha mzozo wa gharama ya maisha. Kodi ya ongezeko la thamani (VAT) ilipaswa kutozwa kwa watumiaji wa ndani wa umeme. lakini vyama vya wafanyikazi vilipinga ushuru huo mpya na...
  20. Msanii

    Ufalme unaojifitini lazima utaanguka. Umeme ni eneo ambalo serikali inajifitini

    Tazama hii video uone jinsi ambavyo seeikali ya CCM inavyolihujumu Taifa. Najiuliza, TRA wanapata wapi ujasiri kudai kodi kwa wajasiriamali wanaopigwa hasara na serikali kwa kukosa umeme wa uhakika? Nchi haiendeshwi namna hii. Tunapaswa kuiwajibisha CCM haijawahi kuleta unafuu zaidi ya...
Back
Top Bottom