Nachingwea is a district in the Lindi Region of Tanzania. The district is bordered to the north by the Ruangwa District, to the east by the Lindi Rural District, to the south-east by the Mtwara Region, and to the south-west by the Ruvuma Region.
According to the 2002 national census, the Nachingwea District had a population of 162,081.The district has a hospital, a teacher's training college, a secondary school, four primary schools, a nursery school, and a day care centre. Nachingwea Airport and an army barracks also are in the district. The district was one of the centres for the groundnut scheme in the 1950s.The Nachingwea Medal is named after this place.
Zahanati ya Kijiji Cha Ndomondo, Kata ya Ndomoni, Wilaya ya Nachingwea tunateseka na huduma za afya kwa Watumiaji wa Bima (NHIF), Mganga Mkuu anawatoza ‘cash’ wagonjwa wenye Bima ili wapate huduma na ikitokea mgonjwa hana fedha basi anafukuzwa na kuambiwa aende kwenye kituo kingine kwa madai...
Anonymous
Thread
bima
hawataki
kijiji
nachingwea
nhif
wilaya
zahanati
Wananchi wa Kijiji cha Mkumba, Kata ya Mpiruka wilaya ya Nachingwea mkoa wa Lindi, wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama, hali inayohatarisha afya na ustawi wao.
Wananchi hao wamesema kuwa licha ya kuunganisha mabomba ya maji katika makazi yao kwa matumaini ya kupata...
Kwa zaidi ya miaka 7 sasa wafugaji wenye makundi makubwa ya Ng'ombe wa jamii ya wamang'ati na wasukuma wamevamia na kuingiza mifugo holela kwenye vijiji vilivyopo wilayani Nachingwea mkoani Lindi.
Wafugaji hao wamekuwa wakisababisha kuvurugika mfumo wa uzalishaji katika kilimo, kuua na kujeruhi...
Anonymous
Thread
imeshindwa
kuwadhibiti
nachingwea
serikali
wafugaji
Amewaambia Mwingereza alikimbia Nachingwea, nyinyi mnakwama wapi ???
Walilazimishwa kupanda karanga eti Ulaya wanahitaji mafuta ya karanga , wakaporwa ardhi zao, wakatandikwa kodi za mabanda wanayoishi including mabanda ya mbuzi, ya kila mke, kila kijana wako, na kulimishwa kama watumwa...
Sisi watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea tunapitia kipindi kigumu kutokana na kucheleweshwa kwa stahiki zetu mbalimbali, hususan malipo ya posho za kuhudhuria vikao. Tatizo kubwa linalolalamikiwa ni kwamba Mkurugenzi wa Fedha (DT) amekuwa hapitishi malipo hayo kwa wakati.
Kuna...
Anonymous
Thread
forum
habari
halmashauri
jamii
jamii forum
nachingwea
watumishi
wilaya
Mimi ni mwijiriwa mpya upande wa afya Mkoa wa Lindi, Wilaya ya Nachingwea Mwaka 2026, kero yetu, mimi na wenzangu ni mpaka sasa hatujapewa pesa ya kujikimu ila Walimu ambao tumeajiriwa nao wote wamepewa.
Kinachoumiza kila tukiulizia tunapewa majibu mabaya sana mbayo zaidi sisi ambao tumepangiwa...
Anonymous
Thread
afya
fedha za kujikimu
lindi
nachingwea
vijijini
watumishi wa afya
zahanati
Kero yetu ni kutolipwa fedha ya kujikimu, sisi ni Walimu Ajira Mpya mwaka 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, tukifuatilia tunapewa majibu ya kukatisha tamaa, na vitisho pia!!
Serikali itusaidie, maana hatuna pa kwenda!! Ajira mpya ya 2026, wamekuja, ndani ya wiki moja tu wakalipwa...
Anonymous
Thread
halmashauri
nachingwea
stahiki
uchunguzi
vitisho
walimu
watumishi
wilaya
Hatujalipwa pesa ya Kujikimu.
Kila tukifuatilia, tunaambiwa pesa hazijatoka Hazina. Wilaya yetu hii walimu tulioripoti nao kazini wamepewa pesaa za kujikimu karibu wote.
Jambo jingine, hapa Hospitali ya Wilaya Nachingwea ,Viongozi wanatumia madaraka yao vibaya kuwahamisha vituo watu...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amewaonya watendaji na watumishi wa umma waache tabia ya kuzoea matatizo hasa katika sehemu zinazotoa huduma kwa wananchi.
Ametoa onyo hilo jana (Jumapili, Desemba 21, 2025) wakati akizungumza na wagonjwa na watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea mkoani...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Nachingwea mkoani Lindi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Liwaka ameonesha umahiri wake kwa kuchana mistari ya Hip Hop mbele ya Mgombea urais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokuwa kwenye kampeni Ruangwa mkoani Lindi.
Wanachama wanaodaiwa kuwa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Nachingwea mkoani Lindi, wameonekana wakirudisha vifaa mbalimbali na kadi za chama hicho, chanzo kikielezwa kuwa mgombea ubunge waliyemtaka ameondolewa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania nafasi hiyo
Chanzo: Habari Digital
Katibu wa Chama cha Makandarasi Wanawake Kanda ya Kusini, Mossi Mzee Nampembe, amejitokeza rasmi kuwania nafasi ya udiwani wa viti maalum kupitia Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) katika Kata ya Nachingwea, Wilaya ya Lindi mkoani Lindi.
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya...
Mfanyabiashara na Mchimbaji mdogo wa Madini na Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kuruthum Issa Runje, amechangia kiasi cha Shilingi milioni 4,555,183 kwa ajili ya kukata Bima ya gari chama hicho Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
Tundu Lissu apokelewa kwa furaha Nachingwea. Je, ni ngome ya CHADEMA? Hakika CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani.
CHADEMA wanaendelea kutoa elimu ya No reforms no Election kanda ya kusini.
Tarehe 20 Machi, Adnan Mpyagila, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Nachingwea, amefanya ziara ya kutembelea miradi ya ujenzi wa shule za sekondari. Ameangalia ujenzi wa Shule ya Sekondari Kata Mtua ,Kata Chiumbati, Rugwa Boys (mabweni), Shule ya Kata ya Nachingwea, na Shule ya Naipanga Sekondari...
Serikali imewapa siku tatu wawekezaji wote wa kigeni kuondoka katika maeneo ya mgodi wa madini Nditi uliopo wilayani Nachingwea mkoani Lindi na kuwaacha wachimbiji wadogo katika eneo hilo kwani ni eneo la rashi.
akizungumza mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mohamed Moyo akiwa ameambatana na kamati...
Uongozi wa Shule na Wanafunzi wa Sekondari ya Wasichana ya Nachingwea iliyopo Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi, wamemshukuru Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa kwa kuwapa kiasi cha Shilingi Milioni 4 kwa ajili ya futari
Soma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa Milioni 4 kwa wanafunzi wa...
Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh.Kassim Majali ametoa shilingi 4,000,000 kwa wanafunzi wa shule ya Msingi Nachingwea Girls iliyopo wilayani Nachingwea.
Majaliwa ametoa fedha hizo machi 6 alipotembelea shuleni hapo na kuongea na wanafunzi wa shule hiyo.
Aidha amesema kuwa shule...
Tarehe 3 Machi 2025 Maimuna Pathan, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, amekabidhi bati 90 kuunga mkono juhudi za ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Nachingwea. Bati hizi ni sehemu ya michango ya Pathan katika kuendeleza maendeleo ya Wilaya ya...
kuelekea uchaguzi 2025
lindi
mbunge
mbunge wa viti maalum
nachingwea
tanzania
ujenzi
ujenzi wa nyumba
umoja wa wanawake tanzania
uwt
viti maalum
wanawake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.